Mwana Damu pekee aliye fanikiwa kumuona Mungu uso kwa uso ni MUSA pekee
Namwenginevatakaye muona atakufaa hata ishiii
Soma KUTOKA 33 yote hasa mstar wa 11 na 20
Najua mistari hiyo hauta weza kuielewa kwasababu una jaribu kusoma Biblia kama Phyisics
Maana:
Kumuona Mungu uso kwa uso maana yake kama Kumuna Mungu kama unavyo muona rafiki yako it means unaweza uka mshika..saa hiyo Mungu akiwa katika umbo kamili la Mungu
Najua una jiuliza kwamba mtu hawezi kumuona Mungu katika umbo lake la Uungu kwa macho ya kawaida ?
Jibu ni kweli (KUTOKA 33:20)
Lakini hii hamaanishi kwamba Mungu haonekani usije ukaelewa vibaya tena
Kuna Mwili wa nyama na pia Kuna Mwili wa roho
Mungu ni roho sio Mwili huu unao endaa choonii
Nataka ujue kutofautisha kati ya Mwili na Roho
Ingawa najua hapa nakuchanganya zaidi....ila itakuja kuelewa siku mojaa
Kwahiyo katika machoo ya rohooo Mtu anaweza akamuona Mungu uso kwa uso lakin Katika macho ya mwili akimuona atakufaa
Sijui kama hata hayo macho ya roho unayaelewajee nikianza kukuelewesha hapa mpaka uelewe na hivyo hauna IMANI huta weza kuelewa
Sasa mkichukua huu mstari wa KUTOKA 33:11 na ule unaosema kila jicho Lita muona
Mtasema Kuna Contradiction kumbe mme kurupuka tuu
Hamna Contradiction yeyote
Maana wakati huo wakila jicho kumuona mpaka WEWE utamuona, hautakua katika Mwili wa kibinadamu na WEWE utakua katika rohoo
Swali jingine nahisi kwamba una jiuliza
Sasa Mungu haonekani kwa macho ya nyama WEWE unajuaje kama yupo?
JIBU:Nimeona matendo ya Mungu kwa ishara nyingi na maajabuu yake kwanjia ya Imani na ishara hizo ni dhahiri katika hali ya kibinadamu ambavyo kwangu Mimi vimetosha kunidhihirishia kwamba Kwamambo hayo Mungu yupo
Mfano wa Mambo mawili (hayo machache tuu)
1. Kumuombea mtu mwenye mapepo nikiwa na Miaka 9 tuu (kipindi hicho namimi nilikua na jaribu tu hayo mapepo ni kweli au uongoo)
Sio kumuombea tu ndo kulinifanya niamini Bali kuliambatana na ishara za Mungu nyingi mbayo kwamaneno ya kawaida haya elezeki
Ndomana nakwambia mtafute Mungu na nguvu zake haya mambo yapo sio mpaka mtuu akuelezee
YEREMIA 33:1-2
WEWE muite Mungu kwa kumtafuta kwa ukamilifu ata kuitikia na kukuonesha mambo MAKUBWA, MGUMU usiyo uajua
Sasa WEWE unataka mtu akwambie sijui Nini au mpaka a fanye calculation
2: MIUJIZA MINGI ambayo Mungu kanifanyia
Navingine Vingii sanaaaa...
Sasa kama hivyo havitoshi Sema WEWE unataka kuona Nini ndo uaminii Mungu yupo
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app