Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Mkuu wewe sio binadamu ni mnyama au?

Binadamu ni watu.

Utofauti hapo ni lugha tu.

Labda kama una maana nyingine
 
Apana mimi siwapi usipesho but the situation do so na kupiga marufuku uhuru mwingine wa kuchagua, kwanin? Hayo maneno ya kusema dini ni dira yangu na nipo kwenye dunia ya dini umeyatoa wapi?
 
Utakuwa una matatizo ya akili sio bure.yaani watu watokee tu.basi tusingekuwa tunazaliwa.ila kama tunazaliwa.ina maana kil mtu ana baba yake na mama yake.hyo chain itazunguka mpaka itamfikia binadamu wa kwanza
 
Mkuu wewe sio binadamu ni mnyama au?

Binadamu ni watu.

Utofauti hapo ni lugha tu.

Labda kama una maana nyingine
Maana ya mtu ni kiumbe chenye awareness/conscious na binadamu inamanisha huyo ni kizazi cha Adam.
Binadamu wote ni watu lakini si watu wote ni binadamu.
 
Apana mimi siwapi usipesho but the situation do so na kupiga marufuku uhuru mwingine wa kuchagua, kwanin? Hayo maneno ya kusema dini ni dira yangu na nipo kwenye dunia ya dini unaweza kunionyesha niliposema hivo au ukathibitisha kwa namna nyingine?
Mpaka sasa hujajitoa kwenye minyororo ya fikra zilizo confrontational na territorial kama za dini. Zile za "let's ban anything different to us. La illa ilalah. Yesu ndiye njia pekee ya uzima". Wewe unaweza kuja kisayansi tu lakini unalazimisha vile vile. All this is wrong.

RIght to self determination is primary. People have the right to be dumb, to be wrong. Ditto freedom of conscience. Freedom of worship, or to not worship.

Uhuru wa kuamini nankutoamini ni uhuru mmoja uleule.

Dunia ya watu kuwa right kwa kulazimishwa ni mbaya kuliko dunia ya watu kuwa wrong kwa uhuru wao.

Unachotakiwa kufanya ni ku demonstrate reason na kuacha watu wachague wenyewe.

Dini zinagombea waumini kwa kuchafua watu wasioziamini na kuingilia haki zao za self determination. Zinawatishia moto na kuwadanganya na pepo.

Kwa nini na wewe unataka kulazimisha watu kuwa njia yako ni sahihi kama dini? Kwa nini huachi arguments zako na reason zijioneshe, halafu watu waamue watakavyo?

Au na wewe unataka kujenga dini nyingine ya kisayansi yenye pepo yako na moto wako, na kulazimisha watu wafuate dini yako ya kufuata unachoamini wewe?

Kama uko fact based, na watu wengine wameamua kuwa hawakuelewi, kwa nini uwalazimishe?
 
Utakuwa una matatizo ya akili sio bure.yaani watu watokee tu.basi tusingekuwa tunazaliwa.ila kama tunazaliwa.ina maana kil mtu ana baba yake na mama yake.hyo chain itazunguka mpaka itamfikia binadamu wa kwanza
Hata wewe una matatizo ya Akili yani Mungu atokee tu, from no where?

Halafu una amini?

Nakwambia hivi dunia haijatokea,dunia ipo siku zote na Haijawahi kutokuwepo.
 
Hata wewe una matatizo ya Akili yani Mungu atokee tu, from no where?

Halafu una amini?

Nakwambia hivi dunia haijatokea,dunia ipo siku zote na Haijawahi kutokuwepo.
Kutokujua kwako wapi MUNGU KATOKA.sio sababu ya kusema MUNGU HAYUPO.wewe sema haujui mungu katoka wapi SIO HAYUPO.
 
Hata wewe una matatizo ya Akili yani Mungu atokee tu, from no where?

Halafu una amini?

Nakwambia hivi dunia haijatokea,dunia ipo siku zote na Haijawahi kutokuwepo.
Kwani unajua AKILI ZIMETOKA WAPI?si umejikuta tu una akili.sasa kwanini uje duniani uambiwe kuna mungu ukatae?
 
Kwani unajua AKILI ZIMETOKA WAPI?
Kuna ulazima upi wa kwamba Akili zimetoka mahali fulani?

Huko akili zilipotoka, na kwenyewe kulitoka wapi?
si umejikuta tu una akili.sasa kwanini uje duniani uambiwe kuna mungu ukatae?
Kuambiwa hata uongo unaweza kuambiwa.

Kuambiwa kuna Mungu hakuthibitishi kwamba Mungu yupo, ni maneno tu ya kuhadithiwa.

Thibitisha Mungu yupo na si maneno ya kuambiwa au mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Kutokujua kwako wapi MUNGU KATOKA.sio sababu ya kusema MUNGU HAYUPO.wewe sema haujui mungu katoka wapi SIO HAYUPO.
Na wewe kutokujua kwako Dunia imekuwepo vipi, Sio Sababu ya kusema kwamba Dunia iliumbwa na Mungu.

Wewe, Sema hujui dunia imekuwepo vipi, sio kuhalalisha uongo uongo wa kwamba Mungu ndiye Muumbaji wa dunia ilhali huna uthibitisho.
 
Kwani kuoa mzinzi ni DHAMBI! DHAMBI ni uzinzi! Kajitwaoie mke wa uzinzi maana yake Hosea amuoe amsitiri ...aongoke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…