mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sawa watakuja kuanzisha wanaojua kuandika.mimi siwezi.Out of topic,
Soma kichwa cha uzi anzisha uzi wako kuhusu Quran nitakuja Kuchangia mkuu.
Halafu utuonyeshe mungu huyo asiyekuwa na mikanganyiko.
Kwani basi ukiuliza wanaojiona wanajua dunia au mbingu ni nini? Viko wapi? Kuna mwenye maelezo? Atakujibu tu alivyosikia kwa watu au kusoma,Sasa kama huyo Mungu muweza na mwenye nguvu tulieaminishwa kuwa ana nguvu kumbe nae anafanya makosa kama ya kibinadamu, yaani Neno lake alilotuaminisha ni takatifu kumbe limejawa uongo na mikanganyiko, tunawezaje kuthibitisha au kuamini hata uwepo wake sio Uongo?
Ni sawa na kulazimisha maji kupanda mlima, ndivyo hivyo kulazimisha Mungu wa biblia/quran kuwepo wakati hawana vithibitisho.
Biblia/quran sio kithibitisho cha uwepo wa huyo Mungu maana hivyo vitabu havina logic wala ushahidi wa stories zake, pia huwezi kumthibitisha Mungu kupitia hizo ngonjera zake za uongo za vitabu vya dini.
Kuna wale wanaosingizia masuala ya Uumbaji, nipende tu kuwaambia ukweli mchungu, Mungu hausiki na uumbaji wa dunia wala kiumbe chochote dunian wala nje ya dunia, maana kiuhalisia Mungu nae ni kiumbe, je inawezekana kiumbe kuumba kiumbe mwingine?
Someni vizuri hizo ngonjera za vitabu vya dini zenu mtagundua kuwa kumbe hata binadamu akiwa na nguvu ktk jamii yake nae ni Mungu, kiumbe cha kiroho chochote ni Mungu, hata huyo Mungu wa Mbinguni nae ni kiumbe maana anaishi ktk ulimwengu, na sifa kuu ya kiumbe ni kuishi au kuwa covered/kupatikana/existence ktk ulimwengu wa Mwili au Roho.
Haiwezekani muumbaji aishi ktk kitu/ulimwengu aliouumba yeye mwenyewe je kabla hajazifanya hizo mbingu alikuwa wapi? Someni vizuri na mzielewe hizo stories zenu za uongo mtayajua madhaifu mengi ya huyo mnaemuita Mungu.
Narudia tena wanaopinga uwepo wa Mungu wako sahihi na wanaolazimisha uwepo wa Mungu wako sahihi pia maana hata sisi binadamu ni waungu kwa baadhi ya viumbe dhaifu hivyo tunavitawala, na wanaopinga uwepo wa Mungu wako sahihi maana huyo Mungu tulieaminishwa hayuko na wala hatowai kuwepo zaidi ya ngonjera za vitisho.
Umeona sasa kumbe unaamini upepo UPO KWA KUHISI KUWA KUNA UPEPO.ila haujawahi kuuona.ila mungu anasema kaumba dunia unabisha.kisa haonekaniMkuu mjinga,
Ni hivi nikiwasha feni nikaweka karatasi mbele yake itapepea Nina feel upepo, upepo unaweza kupimwa.
Upepo ukiwa mkali utaona outcome majani yana ruka light object vina move.
Thibitisha mungu kwa namna yoyote ile?
Mkuu mjinga,Sasa lete na wewe maandiko KUWA MUNGU HAJAUMBA DUNIA
unaweza kunionyesha nilipoandika nina amini upepo upo?Umeona sasa kumbe unaamini upepo UPO KWA KUHISI KUWA KUNA UPEPO.ila haujawahi kuuona.ila mungu anasema kaumba dunia unabisha.kisa haonekani
Wapagani ni watu gani? Hivi huyo mungu wenu aliyeumba watu kwenye makundi tofauti,hamuoni ana shida? Sasa kama tumeumbwa katika yeye, je,unawezaje dhibitisha hayupo kwenye hilo kundi la wapagani? Wahalifu?........Rhetorical questions! Ni maswali yasiyohitaji majibu ila yanamfanya msikilizaji afikiri zaidi. Mungu kuwauliza wapagani sio kwamba hajui majibu yake ila anawauliza ili wapate kutafakari zaidi.
Ayaa bhanaKama Mungu huyo yupo Nita muuliza maswali mengi sana anipe majibu ya kueleweka.
Ana umbaje dunia yenye shida halafu yeye anakula bata huko mbinguni?
🤣🤣
Alishindwaje kuumba dunia yenye bata kama anazo kula yeye huko?😅
Mungu si Binadamu.wala hafanani na binadamu,wala malaika.yupoje anajua yeye.uwezo wetu wa kujua umeishia hapa
Nimsapoti. Adhibitishe kauli gani? Kwani Allah si ndo mungu?Thibitisha kauli Yako, ukishindwa ichunge.
Mkuu,hao bata anakula basi? Ukiuliza utaambiwa tunaishi nae,hata hapa ulipo yupo. Hapo ni kwa kila mtu:Kama Mungu huyo yupo Nita muuliza maswali mengi sana anipe majibu ya kueleweka.
Ana umbaje dunia yenye shida halafu yeye anakula bata huko mbinguni?
🤣🤣
Alishindwaje kuumba dunia yenye bata kama anazo kula yeye huko?😅
Sijatoka kwenye mada, kama unakusudia hiyo mistari ya kwenye Biblia wenye Biblia yao watakuja kujibu.Nafikiri ungejikita katika mada mkuu.
Tumeweka mistari yenye mikanganyiko Hapo juu.
Unaweza ukaondoa contradiction hizo
Karibu sana.
Kila siku huwa nawaambia, hakikisheni mnakijua mnachokipinga.
Wewe umejuaje kwanza! Kama anakupenda kwa nini asikupe hayo maarifa ya kumjua?Mungu si Binadamu.wala hafanani na binadamu,wala malaika.yupoje anajua yeye.uwezo wetu wa kujua umeishia hapa
Mimi nipo UPANDE WA ALLAH.Nimekuuliza ni Mungu yupi unayemzungumzia wewe ili niwe specific
Binadamu wametengeneza miungu wengi sana
Naweza kumrejea Zeus kumbe wewe unamaanisha Yesu au Allah
Kama hakipo? Kuna haja gani ya kukijua!!Kila siku huwa nawaambia, hakikisheni mnakijua mnachokipinga.
Kazi yangu nimemaliza.
hapana. Nimeona unaruka ruka tu kujibu haya niambie unaamini upepo upo?unaweza kunionyesha nilipoandika nina amini upepo upo?
Mola ndio ameruhusu yote hayo yatokee.Mungu hayupo kwa sababu mabaya yapo. Angekuwepo yasingekuwepo, pili kutojua kwanini ulimwengu upo hivi haithibitishi mungu yupo, kukimbilia jibu la kwamba mungu ndo katengeneza ulimwengu hivi ulivyo ni kutafuta psychological relief juu ya maswali yanayohitaji majibu yasiyokuwa na ukakasi.
Kusema atheism ni ugonjwa, nionyeshe mtu alielazwa hospital akipatiwa dozi ya atheism.
Kuna MIPAKA.wakati baba yako anakwenda kuoga uwa anakuita kumuangalia?Wewe umejuaje kwanza! Kama anakupenda kwa nini asikupe hayo maarifa ya kumjua?
Umejuaje kama hakipo ?Kama hakipo? Kuna haja gani ya kukijua!!
Ehhh ndo jibu hilo? Hivi mliona wapi swali linakuwa jibu?Umejuaje kama hakipo ?