Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Ni
Kingine vitabu hivyo unavyo viongelea vilikuwa bado vikijulikana kwa majina yake ya asili. Rejea katazi la Mtume kwa swahaba Umar kama sikosei au Abuu Bakr, alipokuw ameshika kipande Cha Taurati. Hoja yangu ya msingi, nataka ulete ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume, nikisema Biblia najua unanielewa vizuri.

Hii tarehe pia uliyo iandika si ya kweli, wewe habari za Uislamu huwa unazisoma toka kwenye vitabu gani ?

Maana naona kuna makosa kadhaa. Mtume alizaliwa tarehe 8, kama alivyo hakikisha Sheikh .al-Albaaniy
Kwani mkuu umesoma nimeandika Tarehe ngapi hapo Juu?..

Nimeandika Tarehe Mbili kwa sababu Kuna Khitilafu baina ya Wanachuoni wakimadhehebu kuhusu Tarehe..

Kuna kitu najua unakisahau Anaweza kuwa karekebisha vingi lakini hilo halipingiki kwamba Sheikh Nasir al din Albaaniy Ni Mwanachuoni wa Juzi tu Miaka ya 1900s na alikufa 1999..

Kabla ya hapo walikuwa wanaisema Tarehe ya Mtume kuwa ni Tarehe ngapi?..

Kwa Taarifa kila siku nakuambia Uislamu nimeuishi na nilikuwa Mmoja wa waislam ila kwa sasa sio..
........
I think You are not follow At all...
na yes Biblia Ilikuwepo Hata kipindi cha Yesu ilikuwa Inaitwa TANAKH na mpaka Sasa wanaitumia wayahudi..
Ambayo haina Agana jipya ...
Ila kipindi cha mtume ilikuwepo na nnimekupa ushahidi wote mayb kilichobaki ni ubishi
 
Majibu yako yote yapo kwenye hii video. Usisumbue watu kwa ufinyu wako wa fikra
Hakuna sababu yoyote aliyoongea yenye mantiki.

sana sana utagundua ni kitabu cha “age of reason”

yaani ni itikadi zilizowekwa kupata followers na hiyo imaweza kuwa sababu kubwa tofauti na hapo hakuna alichoeleza.
 
Ni

Kwani mkuu umesoma nimeandika Tarehe ngapi hapo Juu?..

Nimeandika Tarehe Mbili kwa sababu Kuna Khitilafu baina ya Wanachuoni wakimadhehebu kuhusu Tarehe..

Kuna kitu najua unakisahau Anaweza kuwa karekebisha vingi lakini hilo halipingiki kwamba Sheikh Nasir al din Albaaniy Ni Mwanachuoni wa Juzi tu Miaka ya 1900s na alikufa 1999..

Kabla ya hapo walikuwa wanaisema Tarehe ya Mtume kuwa ni Tarehe ngapi?..

Kwa Taarifa kila siku nakuambia Uislamu nimeuishi na nilikuwa Mmoja wa waislam ila kwa sasa sio..
........
I think You are not follow At all...
na yes Biblia Ilikuwepo Hata kipindi cha Yesu ilikuwa Inaitwa TANAKH na mpaka Sasa wanaitumia wayahudi..
Ambayo haina Agana jipya ...
Ila kipindi cha mtume ilikuwepo na nnimekupa ushahidi wote mayb kilichobaki ni ubishi
Mkuu,
Ulinifundisha kitu kinaitwa Gullible

Huyo mtu hata umueleze vipi hataweza kukuelewa, hawana tofauti na wanaojitoa muhanga!
 
😅😅
Mkuu Uzuri kwa maelezo yake mafupi na Mazungumzo naye nimeshajua Kasimama katiak Dhehebu gani katika Uislamu..
Hawa Mawahabbi (Answar Sunna) na Masalfiya..

Salafi huwa wana tabu ya kuelewa na yeye kasimama kwenye moja kati ya hivyo...
Na wana Aqidah Mbovu kuliko Madhehebu Mengine..
Cc:- Kisai
 
Tatizo mkuu unasahau mapema Sana..
Sio wewe uliyeniambia jina la Emanuel ukiquote Isaya 7:14...😅😅
sikunukuu issaya usinilishe maneno,nilikupa maana ya jina Emanuel.ukitaka kujua lengo la ujio wa Yesu.
kwani si huwa tunawaambia kwamba alifanyika mwili akakaa kwetu tukauona utukufu wake!!!
Obvious ni wakristo wote na walijaribu Kuiweka Story ya Isaya mpaka kwa Mathayo..
Kitu ambayo nakiitaga the fail prophecy..
Ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha zaidi..
walijaribu,mkuu una madai mengi sana.
kwanza kabisa mkuu Ni Maria sio Malia..
Pili hakuna Mahali nimesema hakuwa Bikra Ila Focusing ya Kuhusisha Bikra Yake na Maandiko Ya Isya its Manipulation of the text..
Kwa sababu haikuandikwa hivyo...
kwahiyo kwa mujibu wa rejea zako ndugu myahudi wa kishumundu,ilifaa tumwite tu binti mdogo!!au kigoli!!

So yeye anaweza akawa bikra ia kuhusisha na Isaya 7:14 na kubadili Neno Ha'alima kusema ni bikra ili liendane na imani yao hilo ndo kosa..
wewe ni muumini wa imani ipi,au kote kwa moto???
Hakuna aliye Mwema kati yenu Wote wayahudi,Wakristo mnaoamini Utatu, na waislamu..
Wote mko sawa tu baba yenu mmoja 😅😅
hakuna aliye mwema chini ya jua hakika.
 
sikunukuu issaya usinilishe maneno,nilikupa maana ya jina Emanuel.ukitaka kujua lengo la ujio wa Yesu.
kwani si huwa tunawaambia kwamba alifanyika mwili akakaa kwetu tukauona utukufu wake!!!
Hilo halikuwa Lengo kwa mujibu wa Bibllia Lengo k ujio wa Masihi lipo ukitaka nitakuelewesha ulijue
walijaribu,mkuu una madai mengi sana.
Ndyo mkuu walijaribu..
Katika fail prophecy yao..

This was the prophecy

Mathayo 1:23
"Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi."

And This happened..

Mathayo 1:20-21

Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.

na Bahati mbaya kabisa jina Immanuel na Jina alilopewa Yehoshua (yoshua) au Yesu Yana maana Tofauti kabisa....
kwahiyo kwa mujibu wa rejea zako ndugu myahudi wa kishumundu,ilifaa tumwite tu binti mdogo!!au kigoli!!
BTW nimelipenda sana Jina Myahudi wa Kishmundu..au niwaambie Mods wanibadilushie 😅😅

Kwa mujibu wa Lugha si Kila Msichana ni Bikra kwahiyo ilifaa ibaki kama Msichana na sio Bikra kwa sbabu Bikra Ni neno linalojitosheleza na lingeweza kuandikwa kama walikuwa wanamaanisha hivyo

wewe ni muumini wa imani ipi,au kote kwa moto???

hakuna aliye mwema chini ya jua hakika.
Kwanini kila mtu mnataka au Ni Muamini...
Yaani mnataka Dunia nzima Tuijaze Faith..
That Aint be happening
 
Hilo halikuwa Lengo kwa mujibu wa Bibllia Lengo k ujio wa Masihi lipo ukitaka nitakuelewesha ulijue

Ndyo mkuu walijaribu..
Katika fail prophecy yao..

This was the prophecy

Mathayo 1:23
"Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi."

And This happened..

Mathayo 1:20-21

Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.

na Bahati mbaya kabisa jina Immanuel na Jina alilopewa Yehoshua (yoshua) au Yesu Yana maana Tofauti kabisa....

BTW nimelipenda sana Jina Myahudi wa Kishmundu..au niwaambie Mods wanibadilushie 😅😅

Kwa mujibu wa Lugha si Kila Msichana ni Bikra kwahiyo ilifaa ibaki kama Msichana na sio Bikra kwa sbabu Bikra Ni neno linalojitosheleza na lingeweza kuandikwa kama walikuwa wanamaanisha hivyo

Kwanini kila mtu mnataka au Ni Muamini...
Yaani mnataka Dunia nzima Tuijaze Faith..
That Aint be happening
Hili game ulishalimaliza!

Ukiona anaanza kukuingizia vimaneno vya uchokozi huko ni kwa mfa maji haishiwi kutapatapa.

Nilishakurate five star kwenye hizi mada.
 
Majibu yako yote yapo kwenye hii video. Usisumbue watu kwa ufinyu wako wa fikra
Hakuna majibu yeyote zaidi ya stori za uongo uongo.

Kigezo cha huyo mtume kuwa mwarabu kwamba eti ndio Quran iwe kwa kiarabu ni stori na imani za hao waarabu.

Hata waafrika walikuwa na imani zao na mitume wao kwa imani zao.

Ninyi mmepumbazwa kuamini imani za waarabu.

Hivyo usifanye generalization ya imani yako kwamba ndio ya kweli.

Hiyo ni imani yako tu.
 
Hili game ulishalimaliza!

Ukiona anaanza kukuingizia vimaneno vya uchokozi huko ni kwa mfa maji haishiwi kutapatapa.

Nilishakurate five star kwenye hizi mada.
Haha Sijafika Hata 2 Star mkuu Kuna watu Wanajua Sana hizi mada kuna Jamaa mmoja nilikutana naye Algeria Dah Huyu jamaa anajua vitu vingi sana nilipiga naye sana story...

Sema tu waliopo Humu wengi hawajui hata misingi ya Imani yao..,
Hata Vitabu vyao pia hawavijui wanabisha bila kuwa na maarifa..
JPo shukrani mkuu
 
Hakuna majibu yeyote zaidi ya stori za uongo uongo.

Kigezo cha huyo mtume kuwa mwarabu kwamba eti ndio Quran iwe kwa kiarabu ni stori na imani za hao waarabu.

Hata waafrika walikuwa na imani zao na mitume wao kwa imani zao.

Ninyi mmepumbazwa kuamini imani za waarabu.

Hivyo usifanye generalization ya imani yako kwamba ndio ya kweli.

Hiyo ni imani yako tu.
Ukisikiliza hiyo video majibu ya jamaa ana confess kwamba patakosena unity

Baada ya kuulizwa kwanini tuendelee kuabudu kwa lugha hiyo ya kiarabu.
Jibu lake limeegemea kwenye itikadi zaidi na sio kutoka generalization logic ya Kwanini tuendelee kuabudu kwa lugha hiyo.

Vitabu vyote hivyo vimeandikwa katika jamii Fulani, ikihusu mila na tamaduni za jamii fulani. Wonderful enough nashindwa kuelewa hizi generalization zinatokea wapi?

Mkuu infroprenuer,
Yaani mfano wewe ni mchaga unaletewa stori kitabu kutoka uarabuni unaambiwa kimeshushwa na unabidi uamini hivyo!
 
Haha Sijafika Hata 2 Star mkuu Kuna watu Wanajua Sana hizi mada kuna Jamaa mmoja nilikutana naye Algeria Dah Huyu jamaa anajua vitu vingi sana nilipiga naye sana story...

Sema tu waliopo Humu wengi hawajui hata misingi ya Imani yao..,
Hata Vitabu vyao pia hawavijui wanabisha bila kuwa na maarifa..
JPo shukrani mkuu
Nafurahia sana uwepo wako hapa unanifundisha vitu vingi.
Muda mwingi najiona nina loose sana

Nipo na rafiki yangu wakike yeye alisoma masuala ya sheria , nikitoka naye out siku tukawa tunaongea unaona jinsi gani alivyo smart kwenye ku reason kila neno analoongea.

Mo dewji hapa bongo ni 5star akifika marekani ataenda kukaa na rihanna au oprah winfrey kwa level yake ila si Elon au bill gates.

Kwa wewe hapa ni five ⭐️ star.
 
Hilo halikuwa Lengo kwa mujibu wa Bibllia Lengo k ujio wa Masihi lipo ukitaka nitakuelewesha ulijue

Ndyo mkuu walijaribu..
Katika fail prophecy yao..

This was the prophecy

Mathayo 1:23
"Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi."
mbona pale juu umekataa!!!,nilikwambia kitambo kidogo shida yako mkuu umesoma vingi mpaka vinakudhuru,havina faida kwako tena.
And This happened..

Mathayo 1:20-21

Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.

na Bahati mbaya kabisa jina Immanuel na Jina alilopewa Yehoshua (yoshua) au Yesu Yana maana Tofauti kabisa....
wala hakuna tatizo katika hilo,labda kwakuwa umekariri,hata mtoto wa darasa la kwanza akiambiwa 5+5=10
anashika hilo,ukileta 6+4=10
lazima apate wenge.
Yesu ameitwa pia mfalme wa aman,lakini hujaileta hapa kama sehemu ya hoja zako.

BTW nimelipenda sana Jina Myahudi wa Kishmundu..au niwaambie Mods wanibadilushie 😅😅

Kwa mujibu wa Lugha si Kila Msichana ni Bikra kwahiyo ilifaa ibaki kama Msichana na sio Bikra kwa sbabu Bikra Ni neno linalojitosheleza na lingeweza kuandikwa kama walikuwa wanamaanisha hivyo
labda kama una wivu na yeye kuitwa bikra.
tukirejea katika chanzo chako,malaika gabriel akijadiliana na mariam kihusu jukumu lililo mbele yake,kinasemaje,alimtaja kama nani??
Kwanini kila mtu mnataka au Ni Muamini...
Yaani mnataka Dunia nzima Tuijaze Faith..
That Aint be happening
hakuna mtu anayetaka hilo,labda hilo ni takwa lako rasmi kila mtu aone ulichoona wewe kwamba ni uongo basi kila mtu aone ni uongo pia.
 
k
Haha Sijafika Hata 2 Star mkuu Kuna watu Wanajua Sana hizi mada kuna Jamaa mmoja nilikutana naye Algeria Dah Huyu jamaa anajua vitu vingi sana nilipiga naye sana story...

Sema tu waliopo Humu wengi hawajui hata misingi ya Imani yao..,
Hata Vitabu vyao pia hawavijui wanabisha bila kuwa na maarifa..
JPo shukrani mkuu
Mkuu kama unaamua kusoma uislam then soma uislam achana na mambo ulikaa na mu Algeria mkapiga stori na yeye kujua vitu vingi na kuhitimisha kwamba watu wengi humu hawajui historia ya dini zao kwa mtazamo wa kona uliyosimamia

(Nimesema hivyo kwa kua kwenye uzi wako ule wa vikao vya nicaea ulisema hujui mengi kuhusu uislam na Qur'aan)

that is subjective na hivyo tunatakiwa kuwa objective

Uislam ni dini ya elimu sio mitazamo ya watu na vile wanavyoamua kuelewa kwa matakwa ya nafsi zao
 
Ukisikiliza hiyo video majibu ya jamaa ana confess kwamba patakosena unity

Baada ya kuulizwa kwanini tuendelee kuabudu kwa lugha hiyo ya kiarabu.
Jibu lake limeegemea kwenye itikadi zaidi na sio kutoka generalization logic ya Kwanini tuendelee kuabudu kwa lugha hiyo.

Vitabu vyote hivyo vimeandikwa katika jamii Fulani, ikihusu mila na tamaduni za jamii fulani. Wonderful enough nashindwa kuelewa hizi generalization zinatokea wapi?

Mkuu infroprenuer,
Yaani mfano wewe ni mchaga unaletewa stori kitabu kutoka uarabuni unaambiwa kimeshushwa na unabidi uamini hivyo!
Watu wanashindwa kufikiri sawasawa kwa vile wameshakuwa Brainwashed na dini zao.
 
mbona pale juu umekataa!!!,nilikwambia kitambo kidogo shida yako mkuu umesoma vingi mpaka vinakudhuru,havina faida kwako tena.
Mkuu Nasikitika Kuona You are not Follow..
Nimekataa na ntaendelea kukataa kwamba Kilichondikwa kwenye Isaya haikuwa Bikra atachukua Mimba ila ilikuwa Msichana atachukua mimba...

Kuandika hapo ni kuonyesha pia japo Kumefanyik Textual Translation Manipulation lakini bado Walisahau wanacholinganisha hakikutimia...

wala hakuna tatizo katika hilo,labda kwakuwa umekariri,hata mtoto wa darasa la kwanza akiambiwa 5+5=10
anashika hilo,ukileta 6+4=10
lazima apate wenge.
Yesu ameitwa pia mfalme wa aman,lakini hujaileta hapa kama sehemu ya hoja zako.
Mkuu!
5+5= 10
6+4=10
Na hata
9+1 =10
Na 8+2 =10

Lakini 7+ 34 haiwezi kuwa sawa na 10 hata ukiilazimisha au 34+ 40 haiwezi kuwa sawa na kumi..
nimekuambia kwamba kimaamdishi ,Kimantiki,Kisarufi , kilugha Na Kimaana..
jina Yeshua,Yesu ,Yehoshua....
Ni Tofauti na jina Immanuel..
Labda uniambie Mungu aliyetabiri Jina kwenge Isaya Alisahau Jina kwa hiyo akampa jina Jingine Gabriel..

labda kama una wivu na yeye kuitwa bikra.
tukirejea katika chanzo chako,malaika gabriel akijadiliana na mariam kihusu jukumu lililo mbele yake,kinasemaje,alimtaja kama nani??

mkuu!
as well As biblical Textual Critic (Textual analysis) It concern Simuonei Wivu yeye kuitwa bikra..
ILa nachopinga ni Translation Manipulation iliyofanywa kwenye isaya..

hata kama angeitwa Malaika Aliyeshuka na Akamzaa Yesu it was Very Good Starter na ndio maana Siwi na Tatizo hata wanaomuita Mama wa mungu "Theotokos"..
 
k

Mkuu kama unaamua kusoma uislam then soma uislam achana na mambo ulikaa na mu Algeria mkapiga stori na yeye kujua vitu vingi na kuhitimisha kwamba watu wengi humu hawajui historia ya dini zao kwa mtazamo wa kona uliyosimamia

(Nimesema hivyo kwa kua kwenye uzi wako ule wa vikao vya nicaea ulisema hujui mengi kuhusu uislam na Qur'aan)

that is subjective na hivyo tunatakiwa kuwa objective

Uislam ni dini ya elimu sio mitazamo ya watu na vile wanavyoamua kuelewa kwa matakwa ya nafsi zao
Mkuu OHB11
Nikiposema Sijui mengi kuhusu Uislamu Sikusema Sijui kabisa kuhusu Uislamu..

Kutokujua Mengi Kunamaanisha kuwa Ujuzi wangu katika Uislam sio mkubwa sana japo kwa kiasi upo..

Na kusema nilipokuwa Algeria kupiga story Huo mualgeria kwanza mkuu kwa bahati mbaya hakuwa Muislamu alikuwa ni Orthodox..

Na utajuaje kama mtu anajua vitu vingi wakati wewe hujui?

Tulikuwa tukielekezana baadhi ya Vitu na alikuea Far away kuvielezea Vizuri sana kuliko Hata Viongozi wengi wa kidini..

kuhusu Uislamu mkuu Nina kielimu cha Thanawi tu
Na nilipita pita vijishule kwa masheikh mbalimbali na nimehifadhi Vijitabu na Vijihadithi kadhaa tu mkuu na nina kielimu Cha Aqidah ,Fiqh (Japo siwezi kujiita Fuqha), Elimu ya Hadith (Mustalahul Hadithi au Mustalah Alhadith japo siwezi kujiita Muhadithiina)..Na vijielimu Vingine vya Tarekhe vya kujiokoteza mkuu...

Shukrani sana kwa mawazo yako ya kusoma Bado naendelea kusoma sitaacha
 
Mkuu Nasikitika Kuona You are not Follow..
Nimekataa na ntaendelea kukataa kwamba Kilichondikwa kwenye Isaya haikuwa Bikra atachukua Mimba ila ilikuwa Msichana atachukua mimba...

Kuandika hapo ni kuonyesha pia japo Kumefanyik Textual Translation Manipulation lakini bado Walisahau wanacholinganisha hakikutimia...
hakikutimia vipi,maria hakubeba mimba!!
au tayari alikuwa nayo?
Mkuu!
5+5= 10
6+4=10
Na hata
9+1 =10
Na 8+2 =10

Lakini 7+ 34 haiwezi kuwa sawa na 10 hata ukiilazimisha au 34+ 40 haiwezi kuwa sawa na kumi..
zinawezakuwa sawa kwa sababu zote ni namba zinazotoka 0-9,labda useme haziwezi kuleta jumla ya matokeo ya hesabu 10,kama kule juu.
nimekuambia kwamba kimaamdishi ,Kimantiki,Kisarufi , kilugha Na Kimaana..
jina Yeshua,Yesu ,Yehoshua....
Ni Tofauti na jina Immanuel..
Labda uniambie Mungu aliyetabiri Jina kwenge Isaya Alisahau Jina kwa hiyo akampa jina Jingine Gabriel..
ndio maana nikakwambia hata jina"mwana kondoo"ni lake pia,utadai hapana huyu ni mtoto wa kondoo anayezungumziwa palipotajwa!!!
mkuu!
as well As biblical Textual Critic (Textual analysis) It concern Simuonei Wivu yeye kuitwa bikra..
ILa nachopinga ni Translation Manipulation iliyofanywa kwenye isaya..
manipulation ukirejea rejea ipi?hii hii unayodai ni ya kutunga ama una nyingine!
hata kama angeitwa Malaika Aliyeshuka na Akamzaa Yesu it was Very Good Starter na ndio maana Siwi na Tatizo hata wanaomuita Mama wa mungu "Theotokos"..
 
hakikutimia vipi,maria hakubeba mimba!!
au tayari alikuwa nayo?
Alibeba ila Mtoto hakuitwa Immanuel aliitwa Yesu...
Hii ni sawa na Ile ya Millelites (William Miller) kwenye Great Disappointment....

zinawezakuwa sawa kwa sababu zote ni namba zinazotoka 0-9,labda useme haziwezi kuleta jumla ya matokeo ya hesabu 10,kama kule juu.
😅🤣🤣🤣🤣
Dah Ndo umefikia kujibu hivi mkuu..
Yaani Nikiandika 1+4 nikasema ni 9 niko sawa?
ndio maana nikakwambia hata jina"mwana kondoo"ni lake pia,utadai hapana huyu ni mtoto wa kondoo anayezungumziwa palipotajwa!!!
Halafu nilisahau kukwambia Kwamba mfalme wa Amani aliyetajwa kwenye biblia ni Mmoja tu..

Melkizedeki Ndo anafahamika kama Mfalme wa Salem au Mfalme wa Amani hakuna Sehemu yesu Alitajwa kama mfalme wa Amani nimeoenda kupafahamuu...

Na BTW mwana na Mtoto ni kitu kimoja ...
Ila bikra na Msichana na vigu tofauti..
na Imanuel na Yesu ni vitu tofauti..
macho pia huna mkuu..
manipulation ukirejea rejea ipi?hii hii unayodai ni ya kutunga ama una nyingine!
Manipulation kwenye Biblia ni nyingi mkuu Ila nilikuwa nazungumzia ya Isaya 7:14
 
Mkuu Kisai!
I apreciate Utetezi wako..
Ila unaposema Kipindi Mtume yupo hapakuwepo na Bible unatumia Kigezo gani?

Lets see...

Mtume anakadiriwa kuzaliwa 15 Rabiul awali..Mwaka wa 570......
Au 8th June 570 siku ya Ijumaa
Biblia agano la kale mpaka Malaki Lilikuwepo na walikuwa wakizisoma Moja moja waliita vyuo...Magombo na mengine..
Kwa mfano chuo cha Nabii isaya ...
Chuo cha Daniel..

Miaka ya 80 AD mpaka 200 AD vitabu vya agano jipya Viliandikwa..

Na vilikuwa Unified Na canonisation na Baadhi council mbalimbali kuanza na Council of Naecea mwka 325 AD, council of Rome mwaka 382, Council of synod au Regional Synod mwaka 393, council of Carthage Mwka 397...
Na hapa ndo vikapatikana vitabu mbalimbalu sura mbalimbali za kweny biblia zenye uhalali wa kusomwa....

So Mtume alipozaliwa alikuta Vitabu hivyo Vikisomwa kote Duniani kwenye ukristo...
Na fair enough ni kwamba hata makka kipindi cha mtume kulikuwa na Wakristo na wayahudi (Alkitab)...

Quran iliandikwa kutoka katika Qiraa mbalimbali na iliunganishwa na kuwa Qiraa moja katika khulafa ya Uthman mwaka 653 mpaka 656...
Na ndo inayotumika mpaka leo...

So kulikuwa na Mapadre na wasomi wa biblia wakati huo including Waraqa ibn Nawfal...
Aliyemwambia Muhamed kuwa Yeye ni choosen one...

Japo Mtume Alikuwa na mijadala mingi sana na Wayahudi na wakristo...
Pambana nao hao. Wenzio wameagizwa wasiwe na urafiki na infedels. Soma hiyo Qur'an 3:28
F8kZahGXgAA762_.png
 
Back
Top Bottom