DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ni
Nimeandika Tarehe Mbili kwa sababu Kuna Khitilafu baina ya Wanachuoni wakimadhehebu kuhusu Tarehe..
Kuna kitu najua unakisahau Anaweza kuwa karekebisha vingi lakini hilo halipingiki kwamba Sheikh Nasir al din Albaaniy Ni Mwanachuoni wa Juzi tu Miaka ya 1900s na alikufa 1999..
Kabla ya hapo walikuwa wanaisema Tarehe ya Mtume kuwa ni Tarehe ngapi?..
Kwa Taarifa kila siku nakuambia Uislamu nimeuishi na nilikuwa Mmoja wa waislam ila kwa sasa sio..
........
I think You are not follow At all...
na yes Biblia Ilikuwepo Hata kipindi cha Yesu ilikuwa Inaitwa TANAKH na mpaka Sasa wanaitumia wayahudi..
Ambayo haina Agana jipya ...
Ila kipindi cha mtume ilikuwepo na nnimekupa ushahidi wote mayb kilichobaki ni ubishi
Kwani mkuu umesoma nimeandika Tarehe ngapi hapo Juu?..Kingine vitabu hivyo unavyo viongelea vilikuwa bado vikijulikana kwa majina yake ya asili. Rejea katazi la Mtume kwa swahaba Umar kama sikosei au Abuu Bakr, alipokuw ameshika kipande Cha Taurati. Hoja yangu ya msingi, nataka ulete ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume, nikisema Biblia najua unanielewa vizuri.
Hii tarehe pia uliyo iandika si ya kweli, wewe habari za Uislamu huwa unazisoma toka kwenye vitabu gani ?
Maana naona kuna makosa kadhaa. Mtume alizaliwa tarehe 8, kama alivyo hakikisha Sheikh .al-Albaaniy