mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kwa akili hizi mkuu,namimi nikujibu kwamba hakuitwa Yesu.au rejea yako inakwambia gabriel alitamka neno Yesu!!!Alibeba ila Mtoto hakuitwa Immanuel aliitwa Yesu...
Hii ni sawa na Ile ya Millelites (William Miller) kwenye Great Disappointment....
ndio,zote ni namba hizo ila jumla yake sio 9😅🤣🤣🤣🤣
Dah Ndo umefikia kujibu hivi mkuu..
Yaani Nikiandika 1+4 nikasema ni 9 niko sawa?
kwani kuna Yesu wangapi katika biblia?Halafu nilisahau kukwambia Kwamba mfalme wa Amani aliyetajwa kwenye biblia ni Mmoja tu..
mkuu unamjua melkzedeki🤣🤣🤣Melkizedeki Ndo anafahamika kama Mfalme wa Salem au Mfalme wa Amani hakuna Sehemu yesu Alitajwa kama mfalme wa Amani nimeoenda kupafahamuu...
ndio huyu anazungumziwa pale 9:6?
nyingine ni hii issaya 9:6Manipulation kwenye Biblia ni nyingi mkuu Ila nilikuwa nazungumzia ya Isaya 7:14