Mikasa/vituko vya lodge

Nilichogundua, mikoani huko ndani ndani wilayani hakuna lodge ya maana/yenye hadhi zipo chache Sana, mtu inabidi kushukia kwenye hayo hayo mazingira ,,, ndio maana unakumbana na hizi kadhia !

Ukisoma michango mingi ya wadau utagundua Ni huko ndani ndani Sana,,, ! Tanzania yetu Bado Sana kimaendeleo ! Huduma Bora na za msingi zipo mijini tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo kwa kiziwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo lodge ina vibaka, mlinzi anaanzaje kuingia na kupekenyua vitasa[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hatari sana
 
Nilienda lodge moja Tanga, sasa ile kufika akaja jamaa na dem(sijui mke wa mtu yulee)..
Sasa dada akawa anatuonesha chumbaa...
Ile amefungua chumba cha kwanza jamaa bila hata kukiangalia akamvuta dem wake na kubamiza mlango kwa kunyanduanaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Nilicheka sana, yani mwamba alikua anaona tunamcheleweshaa....au sijui alikua ashameza viagra yulee??[emoji23]
 
Watu wanatumia sungura na kasongo balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikuwa na cha kubisha,amenipa ushauri mzuri japo kwa kunichana..na ndo uanaume mze[emoji123][emoji123][emoji1787]
Hapa umeonesha ukomavu wa hali ya juu sana. Kumbe kweli uliteleza tu maana hapa umeonesha akili unazo sema siku ile ulijitoa tu akili. Pongezi kwa kuwa mtu unayekubali kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…