Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Kuna gest nilichukua makambako,ile gest mhudumu ni mmaza hiv,sasa nilifika mchana nikachukua room kisha nikatoka nikaenda club kula tungi..nilirudi night kali niko vyoooombo kichizi yan,nilileta noma kichizi pale gesti..asubuhi naamka kukabidhi chumba,yule maza akaniambia ebu kaa hapo tuongee..akaanza kunipa wosia.."kwamba oooh we bado mtoto mdogo unalewa sana, yaani hapo ulipo hata 30 hujafikisha,cha ajab hata kuoa bado,hizo pombe mlikuwa mnashindana???..""unarudi usiku siku nyingine sikupokei"..hakujua mi mwenyewe sikuipenda ile gest..nilibugi tu
Malaika anamshaur shetani kuokoka....😅😅😅
 
Kipindi fulani mhudumu wa bar na guest alitoka kidogo kwenda kwao (kulikuwa na matatizo) kutafuta mwingine wa muda akakosa ikabidi nitie timu mwenyewe.

Muda wa saa saba mchana kaja jamaa na demu wake na rafiki wa demu wakaagiza bia mbili mbili na taratibu wakawa wanamwagilia moyo..

Wakati wakiendelea kumbe jamaa mfukoni hakuwa na salio la kutosha,akawa mkweli akanifuata na kunieleza ukweli,,,,.....kwamba ana 15k yaani 5000 chumba(faster), 10000 vinywaji sasa anaogopa kumwambia demu wake.

Nikamwambia amuite demu wake aniachie nimalizane naye, kumbe demu naye ni (dish)...akaanza kuropoka "kama hana hela anatuleta bar kufuata nini hebu tuondoke"...jamaa kajibu kama mnaondoka bila mzigo mtajiripia hizo bia.....jamaa akalipia bia zake tu akakaa pembeni...

Mi nikawafuata wale wadada walipe wakasema hawana hela nikasema basi nyie mtabakia hapa hadi mlipe gharama za vinywaji....

Tusichoshane ila kiufupi nilipata pesa ya vinywaji,room na kufarijiwa
 
Dumila.
Nilienda kikazi na jamaa mshikaji wangu. Tukapata ile lodge iko upande wa kushoto wa barabara kama unatoka moro kwenda Dom. Ipo mwanzoni kabisa unapoanza kuingia Dumila bondeni bondeni hivi imejitenga ila ndo ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zingine.

Mimi na jamaa yangu kila mtu alichukua rum yake. sasa mimi nilichukua room ambayo dirishani nikifunua pazia naona kila anayekuja pale. Mida ya saa 6 nikasikia kuna noah inakuja pale muziki uko juu sana hadi nikashtuka.

ucheki dirishani nikaona jamaa wawili wanashuka na demu mmoja wamemweka kati hivi alaf washapiga kilevi. Wakaja reception nilikuwa nawasikia kila walichokuwa wanaongea. Sasa walipoingia room walienda kumpiga mtungo yule dada aisee hatukulala.

Mwanamke alikuwa anapiga kelele ile ni mayowe kabisa kuna wakati anapiga kelele anasema mhudumu njoo niokoe wataniuaaaaaaa. hapo ni saa saba kwenda nane. baadaye pakatulia kidogo saa kumi wakaamsha popo tena mii sikulala kabisa. na zile kelele zinajua kuamsha nyege aisee ilibidi nipige chaputa moja ndo nikalala. Kesho yake mi na jamaa yangu tukasepa mapema sana njiani tunasimuliana.
[emoji706][emoji706]
 
Kipindi nimeamaliza fom4 mzee aliniachia ninsaidie kusimamia gest yake , siku moja wekeend jumapil majira ya saa sita usiku akaja jamaa anataka room yuko na manzi,nikampa room moja iliyokuwa imebaki, nikafunga zangu mlango wa upande wa gest niakahamia upande wa pili kiangalia video,ilikuwa nimebak na jamaammoja anaitwa Bonge tunacheki mieleka, basi ndani ya nusu saa tukasikia kelele upande wa gest,ikabidi nitoke nikaangalie in kuna nini, kufika nikakuta jamaa niliyempa chumba muda sio mrefu dem wake amepandisha mashetani na amekaa kwenye korido anaongea kimasai, kelele nyumba nzima,jamaa yangu bonge ikabidi amshike sikio aanze kumsomea dua, yale majini yakasema yanataka maziwa ya mtindi, muda hapo unaenda saa saba usiku, ilibidi tutoke na mshikaji tukaenda kwenye kiosk cha wapenba flan hivi tukaeagongea tukaomba watusaidie, tukachukua maziwa ya jelo ya mgando ya tanga fresh. tuliporud bonge akapiga tena dua demu akanyweshwa maziwa ya mtindi, akatulia,i akaanza kuongea kiswahili safi,na alikuwa mzigua, ila wakati alikuwa amepandisha alikuwa angea kimasai na kiswahil cha kimasai,baada ya hapo,jamaa aliondoka na mtu wake hata hawakulala tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja niwape na hii kipindi pia namaliza form four dingi mdogo akanichukua nikakae lodge yake hapo mjini kibaha ,siku moja akaja mchizi mmoja tall tall hivi yule bwana kumbe ni wale wazee wa mitaro bin amber rutty basi nikawapa room swafi kabisa, asubuhi mapema sana wakatoka kwa madai wanawahi mabus ya mbeya kipindi hiko stand iko pale maili moja karibu na kituo cha polisi ila utokaji wao ukanitia mashaka sana ikabidi niwahi kwanza room kuangalia usalama,bwana bwana mashuka yalikua na nnya balaa kuta zote nnya nnya tu jamaa alimfumua mtaro yule dada vibaya baya
Sasa ikawaje ulisafisha au uliwafuata?
 
Kipindi fulani mhudumu wa bar na guest alitoka kidogo kwenda kwao (kulikuwa na matatizo) kutafuta mwingine wa muda akakosa ikabidi nitie timu mwenyewe.

Muda wa saa saba mchana kaja jamaa na demu wake na rafiki wa demu wakaagiza bia mbili mbili na taratibu wakawa wanamwagilia moyo..

Wakati wakiendelea kumbe jamaa mfukoni hakuwa na salio la kutosha,akawa mkweli akanifuata na kunieleza ukweli,,,,.....kwamba ana 15k yaani 5000 chumba(faster), 10000 vinywaji sasa anaogopa kumwambia demu wake.

Nikamwambia amuite demu wake aniachie nimalizane naye, kumbe demu naye ni (dish)...akaanza kuropoka "kama hana hela anatuleta bar kufuata nini hebu tuondoke"...jamaa kajibu kama mnaondoka bila mzigo mtajiripia hizo bia.....jamaa akalipia bia zake tu akakaa pembeni...

Mi nikawafuata wale wadada walipe wakasema hawana hela nikasema basi nyie mtabakia hapa hadi mlipe gharama za vinywaji....

Tusichoshane ila kiufupi nilipata pesa ya vinywaji,room na kufarijiwa
Kufarijiwa[emoji23]. Nimeelewa
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Kitanda kama kaburi nimecheka sana..

Mi nilienda loji moja na kamanzi nimepiga show Kali sana mida ya SAA nane manzi analia njaa kidume c nikaamua nitoke nje ili ikanunue chips.. Loh! Nje nilikutana na mademu kama wanne wote wanataka hisani mweh...!! Nilichoka

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hahahaha!!
 
Back
Top Bottom