Mikasa/vituko vya lodge

Malaika anamshaur shetani kuokoka....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kipindi fulani mhudumu wa bar na guest alitoka kidogo kwenda kwao (kulikuwa na matatizo) kutafuta mwingine wa muda akakosa ikabidi nitie timu mwenyewe.

Muda wa saa saba mchana kaja jamaa na demu wake na rafiki wa demu wakaagiza bia mbili mbili na taratibu wakawa wanamwagilia moyo..

Wakati wakiendelea kumbe jamaa mfukoni hakuwa na salio la kutosha,akawa mkweli akanifuata na kunieleza ukweli,,,,.....kwamba ana 15k yaani 5000 chumba(faster), 10000 vinywaji sasa anaogopa kumwambia demu wake.

Nikamwambia amuite demu wake aniachie nimalizane naye, kumbe demu naye ni (dish)...akaanza kuropoka "kama hana hela anatuleta bar kufuata nini hebu tuondoke"...jamaa kajibu kama mnaondoka bila mzigo mtajiripia hizo bia.....jamaa akalipia bia zake tu akakaa pembeni...

Mi nikawafuata wale wadada walipe wakasema hawana hela nikasema basi nyie mtabakia hapa hadi mlipe gharama za vinywaji....

Tusichoshane ila kiufupi nilipata pesa ya vinywaji,room na kufarijiwa
 
[emoji706][emoji706]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ikawaje ulisafisha au uliwafuata?
 
Kufarijiwa[emoji23]. Nimeelewa
 
Hahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…