Mikasa/vituko vya lodge

Hakuna kitu kigumu kama kujiajiri hasa kwa mtaji mdogo kama wa bodaboda hakika utajifunga hirizi kiunoni mpaka uchoke mimi ninayekuambia hao bodaboda ni rafiki zangu sana tunakaa pamoja kubadilishana mawazo nawajua vizuri sana
Tell her
 
Sijakuelewa, umewekeza kuliko mbunge halafu unatamani ubunge kuliko shuhuli zako!???
 
Sijakuelewa, umewekeza kuliko mbunge halafu unatamani ubunge kuliko shuhuli zako!???
It's matter of perception
Tunaiona Dunia kulingana na vile mtazamo watu ulivyo.

Kuna watu wanaona aibu kuajiriwa hasa wakigundua cash flow inavyofanya kazi, hakuna sifa ya mtu kuishi paycheck hadi paycheck.

Ila pia hakuna sifa ya mtu kuwa boda boda hasa ikiwa wewe ndio dereva

Kwa maana nyote ninyi mpo kwenye category Moja ya Income hivyo haiwezi kuwafanya mpate financial freedom.

Ila pia concern ya watu ipo kwenye:
Security
Risk & Return
PORTIFOLIO

Hivyo kwa maelezo hayo bora mwalimu na ajira yake kuliko boda boda na Cash earnings yake ya kila siku.

Faida za kuwa mwalimu ni nyingi ila tusimdharau boda boda.

Kumbukeni Tupo Afrika ambapo Social security services hazipo guarantee
 
Kilala kuna guest moja tu..kumbe uwa ni buku 5
 
Em tuache ujinga na ubishi ili uzi uendelee na lengo husika
Tuhitimishe hiv kila kazi ni bora na ni mbaya inategemea nidham ya pesa ya mhusika
Nilikuwa mwl zaman na niliwekeza mpk nikaacha ualim na sahiz nina uwezo
Nina shemeji yangu nilimleta mjini kuwa boda 2yrs ago now ana pikipiki 4 na home amejenga ameezeka
Tumehitimisha tuendeelee na mikasa ya lodge
 
Mkuu uliokota dodo kwenye mpera
 
Kama uzi wa kimasikhara kuna raia nazo zinachatisha wanawake tu wakitegemea kimasikhara
Sasa wee fursa inajileta kwa nini usitake kumkula demu wa jf kimasikhara
 
kitalembwa sema neno kwa hawa wajasiriamali na bodaboda uzi unakosa ladha na wengine wanachambana huku
Binafsi naheshimu Sana kazi yoyote halali inayomuingizia mtu kipato !

From no where mtu anakuja anamdharau boda boda ? Kuna watu wananyonga Tai kila siku mahofisini huko take home ni 450,000 kwa mwezi, wanaishi kwa mawazo wananuka madeni !!

Mimi nachoamini Ni nidhamu ya hela na malengo,,,, usijaribu kutumia ziadi ya kipato chako, mfano kwa siku unaingiza 30k alafu matumizi yako yanazidi hapo lazima ukwame!

Kuna wakurugenzi wanalipwa milions na kujikadiria posho lakini nao wanalalamika hela haiwatoshi ! Hao boda tunaowadharau wapo waliojenga, na wanaendesha families zao pia kusomesha kwa hicho hicho kipato tunachokidharau,,, !

Kuna jamaa yangu mmoja anapark maeneo ya sokoni, huwa wastani kila siku analaza 15k-25k(InAtegemea na siku),,, hapo familia imekula na mafuta kaweka,,, ! Ila hio boda ni yake ,,, anarelax hana presha ya kazi Wala sijui madeni , anaishi kwa Aman na familia yake,,,, !
 
Naomba comment yako bora iwe ya mwisho kuhusu walimu na boda boda maana tunawakera wanaofuatilia maudhui ya uzi.

Shida kuna jamaa alianza kwa dharau kusema eti boda sijui anapiga miayo anabisha na mkurugenzi.

Sub thread closed.!
 


Walimu na bodaboda tumefunguliwa uzi wetu twende tukajifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…