Kwahiyo sisi ni mafala ? Kwani uzi una limitations huu? Hiyo mitongozano ndiyo baadaye inaleta visa vya lodge, acha matusi mkuuHuu uzi kuna mafala wameharibu wanabishana out of topic wengine wanaitana kutongozana.
Ujue watu wa masihara na wachangamshaji wa jf ni pamoja na wewe. Usiwe mwepesi wa ku mind mautanj ya watuHeshima ni kitu cha bure.
Nyie ndio mafala ndio. Uzi ulikuwa unavisa vizuri tu mmekuja kuanza kutongozana hapa.Kwahiyo sisi ni mafala ? Kwani uzi una limitations huu? Hiyo mitongozano ndiyo baadaye inaleta visa vya lodge, acha matusi mkuu
Unaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke😆😆Kwa taarifa yako nimeifanya kwa miaka 3 na nimefanya utafit huo kwa kuuliza classless.
Swali langu lilikua very technique, asilimia 95 walisema bora kazi ya boda boda.
Swali langu lilikua, ikitokea mtu anakuchukua ukafanye kazi kwake kwa mwezi anakulipa laki 5 mfano kuuza duka, je utakubar!
Nafikir ni mitizamo tu maana namkumbuk dogo mmoja ana miaka 24 kajenga nyumba kwa kazi ya boda boda japo ndio wapo ambao maisha yanawaendea kombo na wapo walio fanikiwa.
Nimejifunza heshima ya pesa nayo ni muhimu maana bado boda kuchoma elfu 10 kwa ajili ya wanawake ni kawaida sana.
Jambo la msingi tusidharau kazi.
Wapo watu wanauza kuku tu lakin maisha wamewin kuliko unaefikir mkurugenzi.
Ujue watu wa masihara na wachangamshaji wa jf ni pamoja na wewe. Usiwe mwepesi wa ku mind mautanj ya watu
Ni vile wanakujua mcheshi na huna makuu.
Usimsalue kijana wa watu
Acha kazi iongee [emoji106]
Binafsi nakupenda ingawa sikujui hata kwa sura unafananaje[emoji2]
Umeharibu na wewe wanaume huwa hatupanic bro.Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi
Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti
Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili
Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]
Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
Upo vizuri,unaongea lugha ya kitajiri Sana Mungu akusaidie upata financial freedom coz that's our destination.It's matter of perception
Tunaiona Dunia kulingana na vile mtazamo watu ulivyo.
Kuna watu wanaona aibu kuajiriwa hasa wakigundua cash flow inavyofanya kazi, hakuna sifa ya mtu kuishi paycheck hadi paycheck.
Ila pia hakuna sifa ya mtu kuwa boda boda hasa ikiwa wewe ndio dereva
Kwa maana nyote ninyi mpo kwenye category Moja ya Income hivyo haiwezi kuwafanya mpate financial freedom.
Ila pia concern ya watu ipo kwenye:
Security
Risk & Return
PORTIFOLIO
Hivyo kwa maelezo hayo bora mwalimu na ajira yake kuliko boda boda na Cash earnings yake ya kila siku.
Faida za kuwa mwalimu ni nyingi ila tusimdharau boda boda.
Kumbukeni Tupo Afrika ambapo Social security services hazipo guarantee
Sasa mimi namjua mwalimu mwenye miaka 28 ana lodge mzuri tu pale mangaka, unadhihirisha haujawahi kuwa bodaboda wewe kwasababu hamna bodaboda wa kukataa ajira ya ualimu munaongea kiwepesi sana humu ndani
Sio kila mkurugenzi analipwa hiyo pesa, wengine wamezidiwa mshahara na nurses.!!!!!Unaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke[emoji38][emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Chema tu mzee,kuna tukio linafanana na hilo.Aaaah......mie chichemi!!!
Kupelekana lodge kunaanzia kwenye mitongozo kumbe wewe ndiye fala , unampeleka mtu lodge bila mitongozo uliona wapi? Ebu tuache kama unataka mtongozo pia semaNy
Nyie ndio mafala ndio. Uzi ulikuwa unavisa vizuri tu mmekuja kuanza kutongozana hapa.
Pelekaneni lodge ndio mje mkomenti kwenye uzi.
We nyoko sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16] umenichekesha aiseMnakumbuka enzi zile guest vyoo na bafu viko uani. Vyumba huku na huku katikati korido.
Basi niliingia guest ya hivyo na Malaya, nikapiga mzigo baadae nikaenda toilet uani. Kurudi nikasahau chumba na kuingia kwenye chumba kulikua na mwanamke Yuko uchi kitandani, kumbe naye bwanake ameenda uani. Taa ilikua imezimwa Ila unaona kwamba Kuna mtu kitandani. Kufunga na kufumbua Ile njemba yenye chumba ikarudi na kunikuta nimevaa taulo tu.
Jamaa aliamini nilienda kumfanya demu wake.
Aroo. Mpaka kuja kumaliza Hilo Soo Ni pale Malaya wangu aliposikia zogo na kuja kunitetea.
Twende lojiiiiiKwahiyo sisi ni mafala ? Kwani uzi una limitations huu? Hiyo mitongozano ndiyo baadaye inaleta visa vya lodge, acha matusi mkuu
Wewe kichwa maji huu uzi unaelezea vituko vya lodge sio kuitana kutongozana hapa.Kupelekana lodge kunaanzia kwenye mitongozo kumbe wewe ndiye fala , unampeleka mtu lodge bila mitongozo uliona wapi? Ebu tuache kama unataka mtongozo pia sema
Kumbe fala kweli, unasema hauli ila unaliwa?, sorry i thought you're a man?Wewe kichwa maji huu uzi unaelezea vituko vya lodge sio kuitana kutongozana hapa.
Halafu huwa sili mizoga iliyojichokea.
Endelea kuwashwa tu. Naheshimu uzi wa watu sina budi kukupuuza kichwa maji.Kumbe fala kweli, unasema hauli ila unaliwa?, sorry i thought you're a man?
Unaheshimu uzi wa watu huku unatukana? Endelea tu tukujue ulivo punga, be a manEndelea kuwashwa tu. Naheshimu uzi wa watu sina budi kukupuuza kichwa maji.