Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Nilishawai kugawa namba ya manzi niliekutana nae club njombe. Niligawa kwa mfanyakazi mwenzangu basi jamaa kampigia simu manzi akaja logde akamtafuna usiku kucha. Ile asubui natoka nikakutana manzi reception aroooo kumbe ni mzuri. Sikufanya makosa tena nikarudi na room kwangu nikaenda kupiga cha asubui [emoji23][emoji23].
 
Kwa taarifa yako nimeifanya kwa miaka 3 na nimefanya utafit huo kwa kuuliza classless.

Swali langu lilikua very technique, asilimia 95 walisema bora kazi ya boda boda.

Swali langu lilikua, ikitokea mtu anakuchukua ukafanye kazi kwake kwa mwezi anakulipa laki 5 mfano kuuza duka, je utakubar!

Nafikir ni mitizamo tu maana namkumbuk dogo mmoja ana miaka 24 kajenga nyumba kwa kazi ya boda boda japo ndio wapo ambao maisha yanawaendea kombo na wapo walio fanikiwa.

Nimejifunza heshima ya pesa nayo ni muhimu maana bado boda kuchoma elfu 10 kwa ajili ya wanawake ni kawaida sana.

Jambo la msingi tusidharau kazi.

Wapo watu wanauza kuku tu lakin maisha wamewin kuliko unaefikir mkurugenzi.
Unaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke😆😆
 
Ujue watu wa masihara na wachangamshaji wa jf ni pamoja na wewe. Usiwe mwepesi wa ku mind mautanj ya watu
Ni vile wanakujua mcheshi na huna makuu.
Usimsalue kijana wa watu
Acha kazi iongee [emoji106]
Binafsi nakupenda ingawa sikujui hata kwa sura unafananaje[emoji2]

Rafiki sikatai hayo masikhara hata mm ninayo lkn naangalia nini niandike sio kila kinachokuja kichwani naandika tu. Kilichonikera ni kumuambia sijapenda alichokiandika ule ni udhalilishaji alafu mtu anakuja juu na matusi. Hapo tu ndio alinikwaza.
 
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi

Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti

Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili

Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]

Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
Umeharibu na wewe wanaume huwa hatupanic bro.
Ni vile huenda amejihisi hayupo secured ndo maana amejikwaa kwa kauli hiyo ya ukakasi
Ila na wewe kwa bandiko hili umemkosea.
 
It's matter of perception
Tunaiona Dunia kulingana na vile mtazamo watu ulivyo.

Kuna watu wanaona aibu kuajiriwa hasa wakigundua cash flow inavyofanya kazi, hakuna sifa ya mtu kuishi paycheck hadi paycheck.

Ila pia hakuna sifa ya mtu kuwa boda boda hasa ikiwa wewe ndio dereva

Kwa maana nyote ninyi mpo kwenye category Moja ya Income hivyo haiwezi kuwafanya mpate financial freedom.

Ila pia concern ya watu ipo kwenye:
Security
Risk & Return
PORTIFOLIO

Hivyo kwa maelezo hayo bora mwalimu na ajira yake kuliko boda boda na Cash earnings yake ya kila siku.

Faida za kuwa mwalimu ni nyingi ila tusimdharau boda boda.

Kumbukeni Tupo Afrika ambapo Social security services hazipo guarantee
Upo vizuri,unaongea lugha ya kitajiri Sana Mungu akusaidie upata financial freedom coz that's our destination.
 
Sasa mimi namjua mwalimu mwenye miaka 28 ana lodge mzuri tu pale mangaka, unadhihirisha haujawahi kuwa bodaboda wewe kwasababu hamna bodaboda wa kukataa ajira ya ualimu munaongea kiwepesi sana humu ndani

Ualimu unaonekana bora sababu ni kazi inayotokana na kiwango fulani cha elimu tofauti na bodaboda inayoonekana ni kazi isiyo na uhitaji wa kiwango fulani cha elimu. Ila kwa kipato, kutegemeana na eneo la kazi, aina za wateja na muda...boda anaweza akatengeneza kipato pengine kumshinda mwalimu japo si kwa kiwango cha juu.

Dar, kuna kijana ni boda anafanya kazi kuazia saa kumi asubuhi mpaka saa tatu asubuhi. Ana wateja wake kama wa4 ambao anawapeleka kazini mida hiyo kwa masaa tofauti ila ikifika saa tatu shughuli kamaliza na Tsh 50,000/= yake.

Halafu, Kuwa na mali ts about saving capacity na sio aina ya kazi
 
Unaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke[emoji38][emoji38]
Sio kila mkurugenzi analipwa hiyo pesa, wengine wamezidiwa mshahara na nurses.!!!!!
 
Ny
Nyie ndio mafala ndio. Uzi ulikuwa unavisa vizuri tu mmekuja kuanza kutongozana hapa.

Pelekaneni lodge ndio mje mkomenti kwenye uzi.
Kupelekana lodge kunaanzia kwenye mitongozo kumbe wewe ndiye fala , unampeleka mtu lodge bila mitongozo uliona wapi? Ebu tuache kama unataka mtongozo pia sema
 
Mnakumbuka enzi zile guest vyoo na bafu viko uani. Vyumba huku na huku katikati korido.
Basi niliingia guest ya hivyo na Malaya, nikapiga mzigo baadae nikaenda toilet uani. Kurudi nikasahau chumba na kuingia kwenye chumba kulikua na mwanamke Yuko uchi kitandani, kumbe naye bwanake ameenda uani. Taa ilikua imezimwa Ila unaona kwamba Kuna mtu kitandani. Kufunga na kufumbua Ile njemba yenye chumba ikarudi na kunikuta nimevaa taulo tu.
Jamaa aliamini nilienda kumfanya demu wake.
Aroo. Mpaka kuja kumaliza Hilo Soo Ni pale Malaya wangu aliposikia zogo na kuja kunitetea.
We nyoko sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16] umenichekesha aise
 
Back
Top Bottom