Mikasa/vituko vya lodge

Ni PM hilo chimbo mzazi please

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
wapi huko anakowapeleka kwa nauli ya 12500 kila siku
 
Usishangae mkuu, inabidi usikitike tu.
Jamaa hafikiri kuwa iko siku Mungu atamjalia amiliki guest, hoteli au nyumba, hafikirii kuwa aliyowafanyia wenzake yeye pia anaweza kufanyiwa.

Vv
Hapana mkuu ila mhudumu hakufanya fair jamaa kakaa masaa machache tu hata angerudisha nusu asingepungukiwa na kitu[emoji28][emoji28]
 
wapi huko anakowapeleka kwa nauli ya 12500 kila siku
Umegawanya kwa idadi kupata 12,500? Kwanini umeikiri wote wanaenda na kutoka sehemu moja? Kwann hujafikiri kuna anayelipa 10,000 mwingine 15,000 n.k kutegemeana na anakopelekwa?
 
Usiongee bila uthibitisho mwalimu gani anaelipwa pesa uliyoitaja?

Mwalimu anaenza primary analipwa 18000×30=540000

Asa uyo anaelipwa hiyo pesa uliyoitaja ni mwalimu wa Mama ako au?

Msiwe mnakurupuka ficha ujinga wako
540,000 hapo labda asiwe na mkopo wa elimu. Kama anao kwa hela hiyo kaumia.

Mkopo + kodi serikali + mifuko ya hifadhi ya jamii + bima ya afya

Akibaki na 260k huyo atuambie anatumia mbinu gani.
 
Unaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke[emoji38][emoji38]
Huyo jamaa hamnazo labda yeye anasemea Mkurugenzi wa Bar, nnawajua Wakurugenzi wanakula mil 40, 50 huko

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa aloo una hekaheka kweli kweli
 
Kero sana
 
540,000 hapo labda asiwe na mkopo wa elimu. Kama anao kwa hela hiyo kaumia.

Mkopo + kodi serikali + mifuko ya hifadhi ya jamii + bima ya afya

Akibaki na 260k huyo atuambie anatumia mbinu gani.
Mkuu mwalimu gani wa primary mwenye mkopo wa elimu ya juu?

Wengi ni dimploma na certificate

Degree hawapewe 500k wanaanza na 700k
 
Nilifikia Lodge moja ndogo maeneo ya Shekilango, nikawasiliana na Dogo wangu mmoja akaniahidi atapita akitoka Job....mida ya saa moja hivi nikawa nimekaa kwa nje ya Geti namsubiri maana aliniambia yupo njiani.

Wakati nimechili zangu ikaja Gari ndogo anaendesha Mdada na pembeni kuna Kajamaa, Mhudumu akafungua Geti Gari ikaingia...wakateremka, wakati wanashughulikia utaratibu wa kupata room yule Mdada akapokea simu, akaonekana ameshtuka.

Mara akaingia kwenye gari akawasha akaweka rivasi na Geti halijafunguliwa...na Yule Jamaa (Muhudumu) naye kalikuwa kauzu fulani basi yeye wala hakushtuka alisimama tu anamuangalia yule jamaa aliyekuwa naye ndio alipiga kelele "unagonga geti", akafunga breki ila ilibaki pointi tu atoke nalo.

Basi Jamaa (Muhudumu) polepole akafungua geti ndio Mdada akatoka spidi. Jamaa aliyekuja nae akabaki pale kwa muda kisha...baadae naye akasepa. huku mimi na Muhudumu tukiwa kwenye butwaa nikamuuliza "mbona unaona Mdada amepaniki hata hukutaka kumsaidia kufungua geti haraka aondoke?" Jamaa akasema "nilitaka agonge hilo geti ndio akili imkae sawa", ingawa kimoyomoyo nikajiuliza sasa yeye angefaidika nini ili hali hata hafahamiani nae.

Picha niliyoipata ni kama vile zoezi la cheating lilitibuliwa, huenda Mke wa Mtu aliulizwa "mbona umeonekana mitaa ya Shekilango?".
 
Nimechrka saana hiyo case ya mwanza..sikuwa kwenye mood nzuri leo ila kicheko kimekuja automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…