Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Dah mwamba sio mazingira yale aisee!Hata blowjob bro hukutaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mwamba sio mazingira yale aisee!Hata blowjob bro hukutaka
Duh kweli alikua wa hovyoDah mwamba sio mazingira yale aisee!
Ni PM hilo chimbo mzazi pleaseKaterero ni kipaji cha wahaya na waganda/wanyaru, sio kila mwenye sehem za siri mkuu. Sema kusquirt wamejaliwa kila pande za dunia.
Ila yale maisha kama u msomi na mcha Mungu sio kabsa.
kama movie ya from dust till down!
Had choo na pa kuogea hakuna.
nilichofaidi Yule bwana wa kinyantuzu alikuwa na nguvu sana kias kwamba licha ya kuangukia chumba changu hakuchomoa hata kunitaka radhi hadi akakojoa.
Nilikuwa excited na kuathirika kias kwamba hadi leo nafurahia zaid kushuhudia binadam wakifanyana kuliko kuchosha viungo vyangu.
Bahat nzuri nimeshakuja dar nimekuta kuna huduma ya akina dada kusagana mbele yako unaenjoy miguno na ufundi. Ni maendeleo kwakweli ya kisekta!
...PLEASE, DON'T TAKE LIFE TOO SERIOUSLY..
..... LIVE RESPONSIBLY!
wapi huko anakowapeleka kwa nauli ya 12500 kila sikuUalimu unaonekana bora sababu ni kazi inayotokana na kiwango fulani cha elimu tofauti na bodaboda inayoonekana ni kazi isiyo na uhitaji wa kiwango fulani cha elimu. Ila kwa kipato, kutegemeana na eneo la kazi, aina za wateja na muda...boda anaweza akatengeneza kipato pengine kumshinda mwalimu japo si kwa kiwango cha juu.
Dar, kuna kijana ni boda anafanya kazi kuazia saa kumi asubuhi mpaka saa tatu asubuhi. Ana wateja wake kama wa4 ambao anawapeleka kazini mida hiyo kwa masaa tofauti ila ikifika saa tatu shughuli kamaliza na Tsh 50,000/= yake.
Halafu, Kuwa na mali ts about saving capacity na sio aina ya kazi
Hapana mkuu ila mhudumu hakufanya fair jamaa kakaa masaa machache tu hata angerudisha nusu asingepungukiwa na kitu[emoji28][emoji28]Usishangae mkuu, inabidi usikitike tu.
Jamaa hafikiri kuwa iko siku Mungu atamjalia amiliki guest, hoteli au nyumba, hafikirii kuwa aliyowafanyia wenzake yeye pia anaweza kufanyiwa.
Vv
[emoji23][emoji23][emoji23]Y'all some brave mfs. Sasa hayo mashetani yangekata joystick ungefanyaje? Hukuhofia wanaweza hamia kwako?
Umegawanya kwa idadi kupata 12,500? Kwanini umeikiri wote wanaenda na kutoka sehemu moja? Kwann hujafikiri kuna anayelipa 10,000 mwingine 15,000 n.k kutegemeana na anakopelekwa?wapi huko anakowapeleka kwa nauli ya 12500 kila siku
540,000 hapo labda asiwe na mkopo wa elimu. Kama anao kwa hela hiyo kaumia.Usiongee bila uthibitisho mwalimu gani anaelipwa pesa uliyoitaja?
Mwalimu anaenza primary analipwa 18000×30=540000
Asa uyo anaelipwa hiyo pesa uliyoitaja ni mwalimu wa Mama ako au?
Msiwe mnakurupuka ficha ujinga wako
Huyo jamaa hamnazo labda yeye anasemea Mkurugenzi wa Bar, nnawajua Wakurugenzi wanakula mil 40, 50 hukoUnaujua ukurugenzi?? Hahaha you know nothing my brother,Mtu anachukua mkopo wa 300m+ unafikiri ni Mtu gani, mshahara wa 2m+ bongo ni mwingi sasa mkurugenzi ni 15m+ ndani ya siku 30 Kaka plus malupulupu naomba nikucheke[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa aloo una hekaheka kweli kweliDodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.
Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.
Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.
Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.
Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.
Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Kero sanaKuna watu humu, sijui ni wivu au nn, wanaharibu threads za watu katikati kwa kuanzisha mabishano ya hovyo, na vijioja vya ajabuajabu, mpaka thread inapoteza maudhui yaliyokusudiwa na mwandishi. Cha ajabu ni kwamba hata mods hawafuti comments zao
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Acha utoto, kaanzishe uzi wenu540,000 hapo labda asiwe na mkopo wa elimu. Kama anao kwa hela hiyo kaumia.
Mkopo + kodi serikali + mifuko ya hifadhi ya jamii + bima ya afya
Akibaki na 260k huyo atuambie anatumia mbinu gani.
Muda mwingine ni Mungu tu anaepusha ila Nyege na Tamaa za kimwili zinatupitisha njia ambazo ukikaa kutafakari upya unajua Mungu tu kaingilia katiMkuu una roho gani ? Mtu kaingia tu ndan na kumlala ? Na mechi uliuza ! Mengine Ni majini, wezi n.k
Mkuu mwalimu gani wa primary mwenye mkopo wa elimu ya juu?540,000 hapo labda asiwe na mkopo wa elimu. Kama anao kwa hela hiyo kaumia.
Mkopo + kodi serikali + mifuko ya hifadhi ya jamii + bima ya afya
Akibaki na 260k huyo atuambie anatumia mbinu gani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji91][emoji91]Natamani siku moja niende kwenye korido za lodge nianze kuropoka "Oyaa kila siku nakuambia shemeji sio muaminifu huamini..njoo ujionee Kwa sauti! Then nasepa..najua huku nyuma naacha kivumbi!
Nimechrka saana hiyo case ya mwanza..sikuwa kwenye mood nzuri leo ila kicheko kimekuja automaticallyDodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.