Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Niliomba ulinzi wa meneja,kuwa Mimi ni mteja tu nilikua sijui.
Pole Sana,,, maids wa jikoni na bar sijui tabia zao zinafanana! Anaweza kukupark hapo na mkaelewana kila kitu kumbe jamaa yake yupo pale amekaa! Then huyo jamaa yake atapangwa na ww unaenda kupewa mzigo kiulaini kabisa [emoji2]

Na ukiona amekataa leo sio hakutaki, Kuna mtu keshaelewana nae pengine kalipia kabisa room, wewe utapewa kesho !
 
Nilienda lodge moja Arusha !

Nilimtanguliza Dem, Sasa hakuwa na hela ya kulipia, so nikamwambia chukua room alafu nikifika nta-,clear ! Akafanya Kama nilivomuelekeza, Sasa nilivofika mhudumu alikuwa Ni kidada flan around 32, kilikuwa kimelewa !

Akaingia direct bila kugonga , akakuta Dem yupo mezan anakula (nilimletea chakula) , mm nimejilaza kitandani naperuz! Kikaja kikaaa kitandan kinadai hela, nikamlipa anaanza kujichekesha Mara story story,,, !!!! Mara nimefanana na bwana ake !! Tukacheka kibishi wote pale akatoka !

Baada ya kutoka Dem akanijia juu , huyu atakuwa mtu wako, mbona anakuchekea, Mara ameingia bila hodi na amekaa kitandan, Mara ni kwa nini nilimuambia aende pale then asijali room atapewa mm nikifika nitalipia ? Yani kwa kifupi alijijengea hoja za ajabu ajabu ,,,, alitaka kuondoka nikammbeleza akabaki ! Kitu cha kijinga Sasa kilitaka kunipeperushia njiwa [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Alichofanya ni kuungansha matukio
 
Mda mwingne Hawa madem akili zinawatosha wao tu ,,,,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka 2013 npo singida pale uhasibu nilienda lodge na side chick room yetu ilikua kwenye kona imejificha hivi, kwenye saa 4 tukaanza show kelele za kitanda ikabidi tuweke godoro chini tumepiga show na tukalala hpo hpo chini.

Kwenye saa 7 hv polisi wakaja wakamwambia mhudumu aamshe watu wote wanataka kukagua kama hakuna wahamiaji au majambazi hapo sisi tumeshusha na godoro chini na kwenye kitabu cha wageni nimeandika jina lingine siku hio nilishindwa chakufanya hata kurudisha godoro sikuweza ikabidi demu aanze kurudisha.

Ila nilishukuru sana muhudumu alisahau room yetu hatukutoka nje, imefika saa 11 asbh nikasepa nikamuacha demu amalizie ucngzi
 
mwaka 2013 npo singida pale uhasibu nilienda lodge na side chick room yetu ilikua kwenye kona imejificha hivi,,kwenye saa 4 tukaanza show kelele za kitanda ikabidi tuweke godoro chini tumepiga show na tukalala hpo hpo chini kwenye saa 7 hv polisi wakaja wakamwambia mhudumu aamshe watu wote wanataka kukagua kama hakuna wahamiaji au majambazi hapo sisi tumeshusha na godoro chini na kwenye kitabu cha wageni nimeandika jina lingine siku hio nilishindwa chakufanya hata kurudisha godoro sikuweza ikabidi demu aanze kurudisha,,ila nilishukuru sana muhudumu alisahau room yetu hatukutoka nje,,imefika saa 11 asbh nikasepa nikamuacha demu amalizie ucngzi
Polis wakuda sana.....wakikuona na pis kali wanakusumbua sna...!! Kwanza hakuna sheria ya kukagua vyumba nyakat za usku....!!
 
mwaka 2013 npo singida pale uhasibu nilienda lodge na side chick room yetu ilikua kwenye kona imejificha hivi,,kwenye saa 4 tukaanza show kelele za kitanda ikabidi tuweke godoro chini tumepiga show na tukalala hpo hpo chini kwenye saa 7 hv polisi wakaja wakamwambia mhudumu aamshe watu wote wanataka kukagua kama hakuna wahamiaji au majambazi hapo sisi tumeshusha na godoro chini na kwenye kitabu cha wageni nimeandika jina lingine siku hio nilishindwa chakufanya hata kurudisha godoro sikuweza ikabidi demu aanze kurudisha,,ila nilishukuru sana muhudumu alisahau room yetu hatukutoka nje,,imefika saa 11 asbh nikasepa nikamuacha demu amalizie ucngzi
Hofu yako ilikuwa Ni Nini mkuu, kwani ww mkimbizi? Jambaz ? Kuamshwa usiku ni usumbufu Sana
 
Back
Top Bottom