Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

2006, vp mungure alikuwa bado yupo na dame?
Dame nilimuacha pale ila aliondoka baadaye miaka kadhaa mbele.

Mungure alifariki kwa ajali ya gari nilisikia ni pale kilala, gari iliacha njia Ikamvaa maana alikua anatembea kwa miguu pembezoni mwa road,
Yule mama mzungu alikuja kuondoka baadaye kurudi nchini kwao
 
Dame nilimuacha pale ila aliondoka baadaye miaka kadhaa mbele,
Mungure alifariki kwa ajali ya gari nilisikia ni pale kilala, gari iliacha njia Ikamvaa maana alikua anatembea kwa miguu pembezoni mwa road,
Yule mama mzungu alikuja kuondoka baadaye kurudi nchini kwao
duh, vp Mzee Jamaica nae, yule Mzee yule ukimuomba akuongezee nyama anakuambia kata mkono wangu ule
 
mwaka 2013 npo singida pale uhasibu nilienda lodge na side chick room yetu ilikua kwenye kona imejificha hivi,,kwenye saa 4 tukaanza show kelele za kitanda ikabidi tuweke godoro chini tumepiga show na tukalala hpo hpo chini kwenye saa 7 hv polisi wakaja wakamwambia mhudumu aamshe watu wote wanataka kukagua kama hakuna wahamiaji au majambazi hapo sisi tumeshusha na godoro chini na kwenye kitabu cha wageni nimeandika jina lingine siku hio nilishindwa chakufanya hata kurudisha godoro sikuweza ikabidi demu aanze kurudisha,,ila nilishukuru sana muhudumu alisahau room yetu hatukutoka nje,,imefika saa 11 asbh nikasepa nikamuacha demu amalizie ucngzi
Usiku wanakagua[emoji23]

Dawa yao watoka uchi tu.
 
%%$&
giphy.gif
 
Back
Top Bottom