Mikasa/vituko vya lodge

Dogo, acha u motivation speaker
 
Hakuna kitu kigumu kama kujiajiri hasa kwa mtaji mdogo kama wa bodaboda hakika utajifunga hirizi kiunoni mpaka uchoke mimi ninayekuambia hao bodaboda ni rafiki zangu sana tunakaa pamoja kubadilishana mawazo nawajua vizuri sana
Siwezi jua unazungumzia bodaboda wa wapi. Ila boda boda hawa waliopo karibu na office yangu ni wametusua maisha kwanza kijiunga na kijiwe chao tu unatskiwa ulipe milioni 4. Ndio utaongea nao lugha moja.

So usifananishe bodahoda wa huko mbwinde na wa town mkuu.
 
Wanakopa ili kuendeshea miradi yao kama ujenzi wa viwanda,mashamba nk ,na mwalimu anaweza kukopa bodaboda 3 akawapa vijana wanampigia kazi na sio bodaboda kukopa pikipiki akampa mwalimu amuendeshee kwa malipo
Na huo mkopo wa bodaboda 3 inatskiwa alipe kwa miaka 10 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemaliza ....... Waalimu wengi wanslipwa laki saba ukitoa makato yao anabakiwa na laki 5 na point.

Wengi wao kwa sababu hawana back gtound ya kuziona hela nyingi hapa wanahisi wanahela nyingi sana wakishika hizo laki 5 .

Wakati laki tano ukiigawanya kwa mwezi unapata mwalimu kwa siku anaingiza elfu 18 kwa masumbuko kibao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa jiulize elfu18 hii si faida ya mtu wa kipika vitumbua .....?

Sema mtaani walio wengi hawana elimu ya utunzaji wa hela ndio maana wanaona kama hawana hela.


Narudia tena bodaboda anae jielewa huwezi kumlinganisha na mwalimu yoyote yule take it.
 
Aisee nimecheka dah πŸ˜‚
 
Ofisi yako ipo wapi?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mang'ola baradhani

Nimeenda zangu Kwa Mambo yangu harakati mwanzo mwisho giza liaingia najiuliza ntalala WAP naanza kukagua maeneo salama zunguka center nzima nikajaona bar na gest kwa pamoja nikaikataa Ila muda ulivyoenda ilinibid nirud kulala pale.

Nipo kaunta nakula vyangu kufika saa tatu kule n usiku mkali mno watu washalala hvyo hata Biashara zspombe ufungwa ikafika muda wa kulala nikaenda chumban sasa kuoga n nje alafu kule maji n shida.

Gafla wakatokea Masai Kama 5 hv wanataka room yule muhudumu (Dem) akawapa Sasa wakaanza kumchombeza namie nilishamtania kumtaka.

Wale masai wakataka kuoga kwanza sababu maji shida yule dem kaniletea maji mimi kwanza wale masai wakamaind mie nikaenda kuoga sa wakati naoga naskia masai wanaomba mzigo kwadem mie nikamaliza kimya.

Naingiia kulala yule dada akawapa maji wale masai wote wakaenda kuoga kule bafu au vyoo vya gest vibaeza kuwa hata nane kwa nje basi akaja nami nikamtania vp anasema hama icho chumba hamia chumba changu nikawaza wee mara nikajikuta nimehamia kwake.

Sio muda mambo ikaanza sasa wale masai wakasikia miguno na vikelele vya mahaba sababu muda ule saa nne mji umetulia tuli na ujenxi n ule wa sealing bird za zamani hvyo kelele utaziskia tuu hvyo wakawa wanamuita nayule dada anawakazia nafkiri wale jamaa n wanunuzi wa Ng'ombe walitoka mnadani usukuman hvyo yule dem anawajua.

Yule Dem aliniacha hoi style yake ya kukatika n Kama anaendesha baiskeli vile sasa nikamkaxia kelele zikaxid wale masai wakatukana Sana sie tukaendelea mpaka usingiz, asubuh wale masai wananiangalia kwa woga hata kunisemesha wanaogopa aisee pombe sio nzuri Kama Kuna Mwanamke unahs unaeza jichanganya n Bora ukae mbali nae kuliko kunywa maana utalaximika kumtumia sababu ya pombe.
 
[emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚Nyuki
 
Na wewe ni Mmasai? Huu uandishi
 
Pombe ikizidi unashindwa ku-control baadhi ya maamuzi yako !

Sasa wamasai walitaka wale wote ? [emoji2][emoji1]
Mechi uliuza? Huyo Dem atakuwa Cha wote, sema wewe uliwahi tu !
 
Huduma inaitwaje hiyo, na inapatikana maeneo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…