Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah hao watu mngewaua kwa presha kudhani wamefumaniwa
Shilima ulilala lodge gan mkuu hii ya mwanzo ukiwa unaingia kijijini tokea kikubiji,au ile ya kule mwisho baada ya kufika sokoni.,Dah nakumbuka kuna miaka niliende kucheza ndondo huko.....Sijui yale mabasi (TATA) za mbaga bado zipo?.Kuna moja nililala hapo Mwamashimba karibu na hospital Mungu ndio anajua.Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji ππππ,Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Ile ya mzee Samwel mwenyewe ya mwishoni kabisaa et ndio ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zote kwa Shirima, japo kwanzia hapo Hungumalwa ,Mwamashimba, na Shirima kuna umalaya utadhani sio kijijini duuuhShilima ulilala lodge gan mkuu hii ya mwanzo ukiwa unaingia kijijini tokea kikubiji,au ile ya kule mwisho baada ya kufika sokoni.,Dah nakumbuka kuna miaka niliende kucheza ndondo huko.....Sijui yale mabasi (TATA) za mbaga bado zipo?.Kuna moja nililala hapo Mwamashimba karibu na hospital Mungu ndio anajua.
Mwamashimba umalaya ni lazima hio ni kutokana na kale ka mgodi (machimbo ya dhahabu) hapo shilalu wao center yao ni hapo mwamashimba.Ile ya mzee Samwel mwenyewe ya mwishoni kabisaa et ndio ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zote kwa Shirima, japo kwanzia hapo Hungumalwa ,Mwamashimba, na Shirima kuna umalaya utadhani sio kijijini duuuh
Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji ππππ,Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
ππππNilikaa Hungumalwa 2011-2012. Wasukuma wananyanduana balaa. Yaani kukiwa na giza kidogo hata chini ya mti wananyanduana.
Hahaha kumbe we ni mwenyeji huko mkuu, mimi nilakaa miezi miwili niliona siku haziendi kabisaaMwamashimba umalaya ni lazima hio ni kutokana na kale ka mgodi (machimbo ya dhahabu) hapo shilalu wao center yao ni hapo mwamashimba....Kule Shirima kipindi cha mavuno panachezwa sana mpira na mkusanyiko wa watu unakuaga mkubwa sana...Ni kweli kwa mzee samwel ndio palikua panaonekana pana hadhi
Hahaaaa kote huko ni km home karibu tena mkuuuWashenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Daah ni miaka sasa sijatia mguu huko one day nitafika nikiwa sipo kikazi nije kuzurura nitokee na Road ya Bunambihu kwenda kutokea Old Shinyanga hapo kwenye muhimu kidogoHahaaaa kote huko ni km home karibu tena mkuuu
M nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....Hahaha kumbe we ni mwenyeji huko mkuu, mimi nilakaa miezi miwili niliona siku haziendi kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Siku moja nipo mkoa X nishapanga game na kidemu flani hivi.. mida kama ya saa 10 hivi nikafika lodge ili niandae mazingira..
muhudumu akasema vyumba vipo sasa katika kunipeleka vyumba kuviona [emoji23][emoji23] si nikaingia Chumba watu wanakulana.
hawakufunga ata mlango na yule muhudumu alijisahau juu ya kile Chumba, aisee walishtuka sana walijua ndo wamefumaniwa.. sitasahau hiyo
Kuna kitu umekumbuka etππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Nakuona SamWashenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Aisee hata pale segera kuna lodhe ya hivyo, kitanda kina tailizi kabisa sema hakina uvunguKwa Dar makumbusho kuna lodge inaitwa Msisimko ina vitanda kama makaburi.
Mkuu nauna umetaja jina langu hapo@mbarikaM nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....