Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Gesti mmh siwezagi kusimuliaga hapana ila ninachoweza kusema nilikuwa na mzimikia mwanaume mmoja hivi nikashangaa hanipapatiko nikasema ngoja nijitahidi manjonjo kwenda naye guest nilijuta kupenda watu bila yakuwajua yaani mashine kama kidole basi ikabidi tuangaliane na hadi naleo tuliachana naitakuwa mkewe wanamsaidia

Kingine nilicheka sana siku hiyo tulieenda lodge nzuri tu mie na kipenzi changu . Sasa tulipoenda ile anza kwenda chumbani anza weee kwa aibu kidogo yule maza wa counter katuaibisha hebu chukueni kinga muende mkafanyane kwani munamuogopa nani hapa naumelipa chumba dah hatari tokea hapo niliamua kutulia zangu nakama nimpenzi wangu kama hana geto aache tu
 
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji 😁😁😁😁,Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.

Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
 
Shilima ulilala lodge gan mkuu hii ya mwanzo ukiwa unaingia kijijini tokea kikubiji,au ile ya kule mwisho baada ya kufika sokoni.,Dah nakumbuka kuna miaka niliende kucheza ndondo huko.....Sijui yale mabasi (TATA) za mbaga bado zipo?.Kuna moja nililala hapo Mwamashimba karibu na hospital Mungu ndio anajua.
 
Ile ya mzee Samwel mwenyewe ya mwishoni kabisaa et ndio ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zote kwa Shirima, japo kwanzia hapo Hungumalwa ,Mwamashimba, na Shirima kuna umalaya utadhani sio kijijini duuuh
 
Mwamashimba umalaya ni lazima hio ni kutokana na kale ka mgodi (machimbo ya dhahabu) hapo shilalu wao center yao ni hapo mwamashimba.

Kule Shirima kipindi cha mavuno panachezwa sana mpira na mkusanyiko wa watu unakuaga mkubwa sana.

Ni kweli kwa mzee samwel ndio palikua panaonekana pana hadhi
 
Nilikaa Hungumalwa 2011-2012. Wasukuma wananyanduana balaa. Yaani kukiwa na giza kidogo hata chini ya mti wananyanduana.
Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji 😁😁😁😁,Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
 
Mwamashimba umalaya ni lazima hio ni kutokana na kale ka mgodi (machimbo ya dhahabu) hapo shilalu wao center yao ni hapo mwamashimba....Kule Shirima kipindi cha mavuno panachezwa sana mpira na mkusanyiko wa watu unakuaga mkubwa sana...Ni kweli kwa mzee samwel ndio palikua panaonekana pana hadhi
Hahaha kumbe we ni mwenyeji huko mkuu, mimi nilakaa miezi miwili niliona siku haziendi kabisaa
 
Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Hahaaaa kote huko ni km home karibu tena mkuuu
 
Siku moja nipo mkoa X nishapanga game na kidemu flani hivi.. mida kama ya saa 10 hivi nikafika lodge ili niandae mazingira..

muhudumu akasema vyumba vipo sasa katika kunipeleka vyumba kuviona [emoji23][emoji23] si nikaingia Chumba watu wanakulana.

hawakufunga ata mlango na yule muhudumu alijisahau juu ya kile Chumba, aisee walishtuka sana walijua ndo wamefumaniwa.. sitasahau hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Nakuona Sam
Ndiyo tabia yako lkn
Najua ulikua na dem siku hiyo
 
Back
Top Bottom