SafiNo 5[emoji378]View attachment 2458942
Ukiwa safarini sawa,ila Short time jina la kweli la niniInakuaje ukuandika jina halisi na demu kazima na wakakupata?
Ajali haina kinga, ni vyema ukiandika ukweli unaweza kujitetea ila uwongo utakuweka matatani zaidi...usipuuze ya wahenga "ukweli utakuweka huru"
Mimi naandikaga majina yangu yote matatu kwa usahihi,ninapotoka,ninapokwenda hadi namba za simu...liwalo na liwe
Hata sijabishaKuna mdau aliandika nikacopy[emoji1787]
NilipambanaUlkkimbia.
Mkuu sina cha kuficha,Ukiwa safarini sawa,ila Short time jina la kweli la nini
Labda lakuchemshia maji ya kuogaJagi la kuchemshia maji limefikaje lodge?
Fix sema fresh nimecheka mno
Hii imekaa poaNo 5[emoji378]View attachment 2458942
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyau umenichekeshaKatika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]
nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.
Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,
Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.
nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni
Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
Mhh...duhhhJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Natamani siku moja niende kwenye korido za lodge nianze kuropoka "Oyaa kila siku nakuambia shemeji sio muaminifu huamini.."njoo ujionee".. Kwa sauti! Then nasepa..najua huku nyuma naacha kivumbi!
Aseehh Leo mmecheka mimiDodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.
Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.
Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.
Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.
Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.
Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Si ulikuwa na gari ni heri ungelala kwenye gari tu jombaa...Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Duh htr mkuu! Mngelala tu kwenye gari, mazingira yanaonekana sio rafiki kabisaJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tuππ! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!Wasalaam!
Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala !
1. Dar es Salaam
Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception mhudumu akanipatia chumba, nikasain na kulipa! Nikakumbuka sina Kinga nikarudi kuuliza Kama wanauza, kalikuwa kadada hivi, yaani kalishangaa vile kama nimeulizia kitu Cha ajabu Sana, akasema hana nikarudi room, nikampigia mgeni wangu aje Nazo! Ajabu pale room ukutani kulikuwa na Sheria zao, mojawapo inasema mteja haruhusiwi kuingia au kutumia kilevi akiwa mle, mimi nilikuwa na take away zangu nimeingia Nazo, kwa jeuri nilivyoondoka niliziacha chupa! Mpaka leo najiuliza ile ni lodge au hostel? Mmiliki ni mchungaji? Yule mhudumu alikuwa mtawa? Ajabu Sana !
2. Mahenge- Ulanga
Miaka fulani kabla daraja la kilombero halijatengenezwa , nilipata safari ya huko , nilifika usiku Sana, (enzi za Moro best/alsaedy, now sijui ni bus gani zinaenda huko), nikapanda boda inipeleke lodge/Gest, tulienda sehemu Kama mbili nafasi zimejaa, tunapata moja, Bei ilikuwa 5000, dah kitanda Kama kaburi, Yani Ni zege limetengenezwa godoro linawekwa juu unaambiwa karibu ! Nilikaa Kama siku 4, asubuhi nilihama kutafuta lodge nyingine !
3. Babati
Nilikuwa nasafiri, nikafika jion, sikuwa na uharaka wa kuunga safari, nikaona nipumzike na kuyasoma mazingira, lodge moja hivi nilishukia, Yule mhudumu wakati ananisainisha, nikamtania kidogo! Nikaenda room, nikaoga nikatoka kwenda kula na kupata kinywaji , wakati narudi kulala yule mhudumu wakati ananipa funguo, naona anacheka cheka, ! Aft 4/3 mins akaja kugonga anauliza mbona Niko alone? Nikihitaji kampani nimuambie , nikajibu sawa! Dem akijirahisisha Sana napoteza mzuka!
4. Shinyanga
Muda mwingine shughuli zangu zinanilazimu kusafiri safiri hasa wilayani anghalabu, siku nimefika usiku kwa uchovu wa safari nikatafuta sehemu ya kupumzika, napewa room, nakuta ndoo mbili za zimejaa maji na kopo! Aloo, nakumbuka sikuoga, asbh nilinawa uso kwa maji nilokuwa nayo ya kunywa, nikaondoka zangu!
Visa Ni vingi, nilishawahi kuibiwa bag Lina doc kadhaa, Ni ile unafika unalipa siku kadhaa, then unavyotoka asbh unamuachia mhudumu funguo ili afanye usafi, narudi nimeibiwa baadhi ya vitu, mhudumu ooh Kama uliingiza mwanamke akakuibia na kweli sikua nimeingiza mwanamke, nilileta shida, hadi boss wake akaja, ananitisha ananipeleka police, Mara nasumbua wateja, nikamwambia tangulia nikukute huko, nakuapia hii nyumba utaigeuza Banda la kuku, mikwara kibao, akaanza kushuka, tukayajenga kiume, nikatumiwa doc nyingine nikaenda kuziprint.
Huko hapafai mkuu.
Kabisa mkuu, afu tulikuwa na gari mbili kabisa.Si ulikuwa na gari ni heri ungelala kwenye gari tu jombaa...
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, ilikuwa mistake sana.Duh htr mkuu! Mngelala tu kwenye gari, mazingira yanaonekana sio rafiki kabisa
Hahah long long memory best !!!!!!Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kivukoni!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]