kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
- Thread starter
- #1,001
Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]