Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!

Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!

Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]
 
Nakumbuka naenda Ulanga,2014,kufika Kilombero kivuko kimesombwa na maji[emoji23][emoji23]ile siku siji kuisahau. Kuvuka tukafanikiwa kuvuka,kufika upande wa pili ziko Noah ndo zinapeleka watu Ulanga na Mahenge,pale ndipo nliposhuhudia kile nlichokuwa nakisikia kuwa Noah imepata ajali watu 15 wamefariki. Ilikuwa safari kafiri. Nimefika Ulanga,muhudumu wa Guest hajui nini maana ya risiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],akaniuliza au ni kile kitabu cha njano? Nkamwambia kalete nikione,kuleta nkamwambia hiki ndicho. Nkajiandika dau langu pale nkaondoka.
Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!

Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
 
Hahah long long memory best !!!!!!

Mlima unaitwa ndororo!

Kipindi nilimaliza six, nilipata tempo flani huko,,,, ! Dah! Maisha ya kule achaaa !!!!!! Naikumbuka mitaa ya mahenge , nawenge,,, uponera n.k!

Mabus ya huko kipnd hicho Ni Moro best ,,, alsaedy na kidinilo ndo zinaingia ingia !!! [emoji2][emoji2][emoji1]!

Samaki wa motooo na ndz kivukoni pale,,,, Bei maandazi kabisa [emoji2][emoji1][emoji2]
Umenikumbusha Mbali sana aiseee!!! Kipindi hiko niko kabichiiiii ndiokwanza nimemaliza olevo nilienda kumsalimia sista angu alikua anafanya kazi hapo NMB bank ile ya stand pale aisehh mahenge nilinenepaga balaaa!
Wachimba madini walikua wananitoleaje mimacho 😋😋😋 mi ndiokwanzaaa hata sikuwa nahili wala lile kuhusu mambo ya kikubwa😁!
 
Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!

Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]
Hahahaaa... sasa mimi nilipata best kutoka kasita seminary nae alikua na kiboy kwiro! kwahio binti wakiruhusiwa out kidogo anajifanya anakuja kunisalimiaie rafiki yake huku wale wa kwiro nao wanakuja make kwiro walikua huru sana! So makutano ilikua kwa sista hapo huku sister nae kaenda kwa Mume wake Moro town basi ilikua vurugumechi!!😁😁!
Ujanaa jamani kushikana shikana mikono kukumbatiwa ile kwa woga mpaka muda wao wa Kurudi shule unafika lol!
 
Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!

Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]
Best Ungefungwa wewe lol ulimdatisha denti wawatu! 😁😁😁 Hako ka Dem kalikua hakaitwi Mage kwei😂?? Nilikua na best mwingine alikua anaitwa Magreth ye alikua anadoma st Agnes sema yeye alikua mtoto wa askari kwao walikua wanakaa kotas za maaskari ukute ni huyo😁😁😁😁!!!😂
 
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.

NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Duhhhhhhh!!
hilo jina " London" limenikumbusha sehemu fulani hivi hahaa!
 
Umenikumbusha Mbali sana aiseee!!! Kipindi hiko niko kabichiiiii ndiokwanza nimemaliza olevo nilienda kumsalimia sista angu alikua anafanya kazi hapo NMB bank ile ya stand pale aisehh mahenge nilinenepaga balaaa!
Wachimba madini walikua wananitoleaje mimacho [emoji39][emoji39][emoji39] mi ndiokwanzaaa hata sikuwa nahili wala lile kuhusu mambo ya kikubwa[emoji16]!
Sipati picha wachimba madini !!! Na jinsi ulivyo na Shep [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41]
 
Hahahaaa... sasa mimi nilipata best kutoka kasita seminary nae alikua na kiboy kwiro! kwahio binti wakiruhusiwa out kidogo anajifanya anakuja kunisalimiaie rafiki yake huku wale wa kwiro nao wanakuja make kwiro walikua huru sana! So makutano ilikua kwa sista hapo huku sister nae kaenda kwa Mume wake Moro town basi ilikua vurugumechi!![emoji16][emoji16]!
Ujanaa jamani kushikana shikana mikono kukumbatiwa ile kwa woga mpaka muda wao wa Kurudi shule unafika lol!
Dah long memory dear,! Thanks a lot!

Kasita seminary, shule ya regina mund VP ? Nlikuwa na kadem pale , mnaishia kuongea na kuchati tuuu hakuna kupata mtelezo, walikuwa wanabanwa balaaaa ,[emoji2][emoji1]
 
Sipati picha wachimba madini !!! Na jinsi ulivyo na Shep [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41]
Weee best wengi wao wameunguaa!! Wanazuzua watu na pesa zao 🙌🙌🙌!!
Afu kipindi hiko nilikua hata sielewi vizuri Hayo mambo kizee kinakutokea hata hutilii maanani lol!
 
Dah long memory dear,! Thanks a lot!

Kasita seminary, shule ya regina mund VP ? Nlikuwa na kadem pale , mnaishia kuongea na kuchati tuuu hakuna kupata mtelezo, walikuwa wanabanwa balaaaa ,[emoji2][emoji1]
Ndio mapenzi ya kishuleshule enzi hizooik sio Vijana wa sikuhizi 😂😂😂!!
 
Khaaaaaa[emoji16]

Ni maporini sana?
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.

NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
 
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.

NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlipata usingizi kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.

NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Kweli hii ndo Tanzania
 
Dah kuna gesti nililala Masumbwe mbele kidogo ya kahama hazina cilling board alafu kuta fupi jamaa chumba cha pili aliopoa limdada lina makalio alafujamaa kama njiti mungu sikulala jamaa alikuwa anapiga mzigo dada analia kwanguvu mpaka mashine inasimama niliteseka sana.Alisababisha nimtamani huyo dada asubuhi
 
Na wewe ukaamsha nae asubuh[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom