Mikasa/vituko vya lodge

Hahaha

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna mtu anapata safari ya Ruangwa Mjini kuna hotel inaitwa Green View vyumba 25k(fan) na 30k(ac) hii hotel ipo vizuri saaaana kwenye usafi changamoto ni kubalance maji ya moto na baridi labda na vile Visabuni vya Eva basi lakini kuhusu usafi nawapa kongole, Nimelala apo mwaka jana na mwaka huu pia.
 
Sinto sahau nlipataga dem tandika Lodge tulio enda sasa ...kunguni kama wote nakwambia mzuka ulikata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, nimefikia lodge moja hapa bukoba naona wemeniwekea kitambaa cha lether cheusi chini ya shuka, huu ni uchawi ni nn.

Nimeona nilale zangu chini tu sitaki ushirikina mm
 
Hahaa kuna baadhi ya wateja wanakuja na wenzi wao purukushani ni nyingi na ustaarabu tunatofautiana. Nimehisi kitu kama hicho huenda ikawa ndio sababu.
Ok, sasa nimekuelewa.! Kwa hiyo basi ngoja nitoe Mpira wao nipande kitandan nilale zangu.

Basi wahaya kwa maji ni exceptional au ni mbinu tu za purukushani ndo zinasababisha maji mengi???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Mkuu uliamua kujichukulia sheria mkononi sio?
 
Wanaogopa katerero isiloweshe godoro. Wanawake wa huko wanamwaga maji lita nzima shehe!!
Imebidi nimfuate mhudumu asbh hii nikamuuliza akabaki anacheka tu.

Ninapoondok nikamuohoji dereva boda akacheka then akanielekeza hbr za katerero.

Kwa asili wanawake wa bukoba pia wana maji changanya na katerr ndo hivo tena.

Sasa nina amani, ngoja nikapande zangu bus niende Omulushaka then Isingilo baada ya hapo niingie Mulongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…