Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Hungumalwa mbona lodge classic zipo ndilima motel kuna yegela ina free WI-FI au ulipelekwa Bujomo?
 
Shilima ulilala lodge gan mkuu hii ya mwanzo ukiwa unaingia kijijini tokea kikubiji,au ile ya kule mwisho baada ya kufika sokoni.,Dah nakumbuka kuna miaka niliende kucheza ndondo huko.....Sijui yale mabasi (TATA) za mbaga bado zipo?.Kuna moja nililala hapo Mwamashimba karibu na hospital Mungu ndio anajua.
Ndondo wewe ni wa Ngudu au Hungumalwa?
 
M nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....
Kulikuwa na League hungumalwa team zote izo zilishiliki watu walishusha adi wachezaji wa primier league kina siraji, nyangi , mtegeta, mayanga

ajabu kombe akachukua NGUDU NA hakununua walikuwa wao tu kina kelvin mamingu

Mp alishastaafu mpira pacha wake sungura alifariki mwaka jana
 
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo.

Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
 
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mimi niliachia kimba juu ya kitanda baada ya mhudumu kunitolea nje nisimle [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo....Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
Naikumbuka mno fainal ya 2019 Kelvin maningu Ana mdogo wake anapiga kiungo ni sam maningu nae ni balaa tupu

2019 captain wa stand hakuwq baraka Damian kweli almaarufu chopa? Bonge ivi mido
 
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo....Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
WAMASAKI CUP japo naskia alishaugua ugonjwa wa akili sikuizi wamasaki
 
Pale Mbeya nilichukua Lodge fulani nikaweka mizigo nikaenda kutafuta chakula na kinywaji, nikarudi nikiwa vyombo pombeka vya kutosha.

Nikamtongoza dada wa mapokezi akubali nikamla pale pale reception, kweli pombe haifai mgeni akija kuchukua funguo nabonyea ndani ya reception.

mara akanifanya ATM yake asubuhi akaomba hela ya kula, usiku nikamla tena palepale reception, akazidisha kuombaomba hela, ikabidi siku iliyofuata nikasepa sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom