mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Mkuu hungumalwa ni mkoa gan?Mkuu hungumalwa watu wanatiana balaa. Ulichukua lodge ya karibu na stendi nini!!!? [emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hungumalwa ni mkoa gan?Mkuu hungumalwa watu wanatiana balaa. Ulichukua lodge ya karibu na stendi nini!!!? [emoji28][emoji28][emoji28]
Hungumalwa ni kata ipo wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza...Ipo barabara kuu ya mwanza shinyangaMkuu hungumalwa ni mkoa gan?
Okay sawaHungumalwa ni kata ipo wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza...Ipo barabara kuu ya mwanza shinyanga
Nilishafanya ila sio starehe yangu hata kidogoKwa hiyo mkuu tangu uzaliwe hujawahi kufanya mapenzi??
Tembea uyaone ndugu. Hakuna fix hapo.We brother unatupiga fix. Nimecheka sana asubuhi hii.
Hungumalwa mbona lodge classic zipo ndilima motel kuna yegela ina free WI-FI au ulipelekwa Bujomo?Washenzi wale wasukuma wa Hungumalwa na kule Shirima kwa mzee Samwel mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Hungumalwa sikulala watu wananyanduana makelele mwanzo mwisho.
Shirima nikaenda chukua chumba nikidhani huku ni mwisho nimejitenga na kelele weee sitakaa nilale huko tena maishani mwangu ikitokea safari za huko naenda na kurudi
Ndondo wewe ni wa Ngudu au Hungumalwa?Shilima ulilala lodge gan mkuu hii ya mwanzo ukiwa unaingia kijijini tokea kikubiji,au ile ya kule mwisho baada ya kufika sokoni.,Dah nakumbuka kuna miaka niliende kucheza ndondo huko.....Sijui yale mabasi (TATA) za mbaga bado zipo?.Kuna moja nililala hapo Mwamashimba karibu na hospital Mungu ndio anajua.
Pale ukimwi upo ni parking ya maloli na kila mwaka mwenge unalalaNilikaa Hungumalwa 2011-2012. Wasukuma wananyanduana balaa. Yaani kukiwa na giza kidogo hata chini ya mti wananyanduana.
Ila kusoma maujinga unaweza mkuu.Mimi kusimulia maujinga huwa siwezi.Sijui hiyo akili mnaitoa wapi?Merde!
Tulikua tunatoka mwanza mjiniNdondo wewe ni wa Ngudu au Hungumalwa?
Kulikuwa na League hungumalwa team zote izo zilishiliki watu walishusha adi wachezaji wa primier league kina siraji, nyangi , mtegeta, mayangaM nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....
Karibu na stand ni ndilima uyo alipelekwa mwenge kwa sabaMkuu hungumalwa watu wanatiana balaa. Ulichukua lodge ya karibu na stendi nini!!!? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo.Kulikuwa na League hungumalwa team zote izo zilishiliki watu walishusha adi wachezaji wa primier league kina siraji, nyangi , mtegeta, mayanga
ajabu kombe akachukua NGUDU NA hakununua walikuwa wao tu kina kelvin mamingu
Mp alishastaafu mpira pacha wake sungura alifariki mwaka jana
Mimi niliachia kimba juu ya kitanda baada ya mhudumu kunitolea nje nisimle [emoji2][emoji2][emoji2]Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.
Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.
Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.
Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Naikumbuka mno fainal ya 2019 Kelvin maningu Ana mdogo wake anapiga kiungo ni sam maningu nae ni balaa tupuKevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo....Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
Dinesh yupo hadi fainal ya mwaka huu amecheza waliingia NDUGU na HUNGUMALWAAfu kuna dogo mmoja mwarabu alikua anatoka ngudu hao tuliwapiga fainal ligi ya ng'ombe pale kawekamo
WAMASAKI CUP japo naskia alishaugua ugonjwa wa akili sikuizi wamasakiKevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo....Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
Emmy wa Mwanza kile chembamba?Huyo dem kiziwi wa kwanza nahisi anaitwa emmy