Mikasa/vituko vya lodge

Hungumalwa mbona lodge classic zipo ndilima motel kuna yegela ina free WI-FI au ulipelekwa Bujomo?
 
Ndondo wewe ni wa Ngudu au Hungumalwa?
 
M nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....
Kulikuwa na League hungumalwa team zote izo zilishiliki watu walishusha adi wachezaji wa primier league kina siraji, nyangi , mtegeta, mayanga

ajabu kombe akachukua NGUDU NA hakununua walikuwa wao tu kina kelvin mamingu

Mp alishastaafu mpira pacha wake sungura alifariki mwaka jana
 
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo.

Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
 
Mimi niliachia kimba juu ya kitanda baada ya mhudumu kunitolea nje nisimle [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Naikumbuka mno fainal ya 2019 Kelvin maningu Ana mdogo wake anapiga kiungo ni sam maningu nae ni balaa tupu

2019 captain wa stand hakuwq baraka Damian kweli almaarufu chopa? Bonge ivi mido
 
WAMASAKI CUP japo naskia alishaugua ugonjwa wa akili sikuizi wamasaki
 
Pale Mbeya nilichukua Lodge fulani nikaweka mizigo nikaenda kutafuta chakula na kinywaji, nikarudi nikiwa vyombo pombeka vya kutosha.

Nikamtongoza dada wa mapokezi akubali nikamla pale pale reception, kweli pombe haifai mgeni akija kuchukua funguo nabonyea ndani ya reception.

mara akanifanya ATM yake asubuhi akaomba hela ya kula, usiku nikamla tena palepale reception, akazidisha kuombaomba hela, ikabidi siku iliyofuata nikasepa sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…