Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Iyo Moro town mida Kama mbili nanusi flani usiku,jamaa kaipita na demu wake hajatupa salamu,kaumita muhudumu kazama ndani,
Mara anatoka mwamba ndani anatolea maelekezo muhudumu kuwa anakuja on time.nikaisi watakuwa wameshindana Mambo ya bei kumbe kaenda kununua condoo,Mimi fasta kagongewa demu kagungua vipi panalika akaza kujipindapinda Nini nikafika dau kaamishwa demu kaingizwa kwenye room yangu fungal mlango kwa njee,jamaa kapita kufika geto Hamna kitu kaaza kutukana Sana,miksa kutishia maisha ya raia alichukuwa demu wake,watu tupo kinywaa kumbee jamaa pale ni kitani kwao kabsa.alizungua mpaka mida mibovu miksa kuambia jamaa wa lodge amrudishie ela yake nae muhudumu kakaza,baada ya kuone kerro badhi ya wapangaji waktoka kumchapa vibao akaona siyo kesi akawa mpole tuu na kuondoka Mimi mda ya saa Tano chakat a mbususu kwelikweli mpaka kunakucha.jamaa ya lodge asubuhi namtoa chick akasema Kama jamaa angejuwa kuwa Yuko kwako ungenua shida Sana,sababu dogo ni home boy kabsa pande zile,nikaona isiwe tabu nibadili na lodge.Ogopa bardi ubakini.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Wewe una uchu sana,

Take care[emoji16]
 
Maalumu kwa Genuine na Jang na wengine wenye tabia kama yao i.e Mrejesho wa kesi ya Kelsea
________________________
Katika maisha yangu huwa sipendi marafiki wanaomshobokea mwwnamke wakiamini kuwa hawawezi kuishi bila wao! Wanaume dizaini kama ninyi mkiumizwa na mapenzi huwa mnalia kama mbwa waliochapika kipigo cha mbwa koko! Mmeonesha udhaifu sana! Kama mnamshobokea mwanamke ambaye hamumfahamu, je ikitokea Nimemtenda Kajala, si mngeniponda mawe hadi nife?
Kawaida mwanaume anatarajia mbususu kutoka kwa mwanamke, na ninyi akili zenu zimewatuma kuwa mkimtetea Kelsea atawapa mbususu mpige 3some, mumejaa ujinga! kiufupi "hamna akili". Kwani hii post mmeipita bila kuisoma?
Na hili nalo mkalitizame
Huwa naumia sana kuona wanaume tunazidi kujishusha na kujipotezea thamani ilihali tu first preority katika uumbaji wa Mola, tena alitufinyanga kwa mikono yake mwenyewe

Mwanaume hakutakiwa kuwa mtu wa kuumiza kichwa kwenye mambo yasiyo ya msingi. Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha familia yake na hata siku moja asijaribu kujibizana na kichwa cha mwanamke kwa kuwa ubongo wa mkewe umetokana na ubavu wake. Just imagine kiubavu kichanga cha mwanaume ndicho kilichotengeneza mwili mzima wa mwanamke kuanzia sura nzuri aliyonayo, figure, rangi na hata ubongo alionao

Huwa naumia sana kukutana na jianaume linalia lia huku machozi yake ya aibu yakiambatana na mafua makali yenye radi juu pamoja na kupanda na kushuka, ukimuuliza sababu anakwambia Nasra kaniumiza. Shwain[emoji35] Nikikutana na mwanaume wa hivi namtandika viboko hadharani

Unalikuta jianaume limepiga magoti huku linaushika mguu wa bia wa binti tena ambaye si mkewe huku linaomba msamaha [emoji35] Tandika kabisa bakora, huko ni kushusha heshima ya mwanaume

Unamkuta mwanaume anatongoza mwanamke zaidi ya mara mbili, imekuwa wimbo wa taifa kusema unamkaririsha verse? Mwanamke anatakiwa kutongozwa mara moja, akizingua achana naye[emoji35] Sasa bwana mkubwa, na mkuyenge wako wote ulionao unamkimbilia binti aliyekukata mithili ya mbwa yatima aliyekosa matunzo, unatafuta nini [emoji35]

Unamkuta mwanaume tena bila aibu anambembeleza mtoto wa kike kwenye simu eti aje gheto. Kuwa'Ock kabisa[emoji35] Inaumiza sana. Piga simu, mwambie nakutumia elfu ishilini uje chap, kata simu! Ambatanisha muamala! Mambo ya kulia lia huo ni umama

Unakuta mwanaume amekaa na mwanamke somewhere eti wanazungumza na kupanga maisha! Maaaishaaa! Ala! Kasema nani, na unakuta hakuna kitu cha maana wanachozungumza zaidi ya kuwasema watu tu pamoja na ma ex wao! Mwanaume unapata wapi muda huo? Tafuta pesa, acha ujinga!

Unakuta mwanaume anajishusha thamani kupita kiasi, kweli mwanaume unafikia hatua ya kuzama chumvini, kupiga deki 0715 ya mwanamke! Unatumia 15k kununua olive oil, eti unam massage apate stimu ili akojoe!? Yaani nauli utoe wewe, tuma na ya kutolea ni wewe, baby naumwa ni wewe, baby simu imepasuka kioo ni wewe halafu bado unajihangaisha kiasi hicho? Nitaanza kupita kwenye magesti mlango hadi mlango nikikukuta unafanya foreplay ni viboko kwa kwenda mbele

Unamkuta mwanaume anakwambia mmoja tu anatosha, kwa hiyo hao 1,634,860 waliobaki unatarajia wataolewa na nani? Nakuuliza, nipe jibu [emoji35]

Jana nimepita kiwanja X, nimekutana na kibinti kama cha chuo hivi kinakula pweza huku kinamuuliza muuzaji, ishafika shn'gapi? "elfu 40" Muda huo dume X lenye kitambi chake linaumia tu sema linashindwa kusema, shwain[emoji35] Nisingekuwa nawahi familia ningewacharaza bakora hadharani

Mwanaume ukijiskia, panda, piga tako zako mbili, kojoa, shuka, ulale! Kama ajakojoa mwambie apande apige pande zake 40 akojoe alale! Akishindwa, mwambie anywe jagi tatu za maji atakojoa akiwa usingizini[emoji35]

Wanaume turejee uanaume wetu, tuache utoto! Tazama tunavyozidi kupukutishwa na akili za hawa viumbe, fanyeni masihara, tutakwisha! [emoji24][emoji24][emoji24]
Sensa ijayo tutabaki 21m out of 61m. Hamtaamini! Mikuyenge unatokomea wakuu!

Nawasilisha, uzi ulindwe!
Jifunze, katika maisha yako usimnyenyekee mwanamke. Mwanamke ni kiumbe dhaifu anayehitaji msaada wa mwanaume ili aishi[emoji35]
Huyo mdada umemkosea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
>Basi mwambie akupe utelezi! Au kwa kuwa ni famous humu? Na hautokuja kuamini pindi utakapobaini kuwa hiyo ni ID yangu nyingine! Shwain[emoji35]
Umekosea sana, kama mtu hataki utani na wewe Kwani lazima?
>Na wewe punguza kuvaa kesi zisizokuhusu, ninyi ndo huwa mnatoa dhamana, mnakimbiwa na wenye kesi, aliyekwambia kuwa mimi na kelsea hatuna utani ni nani?
Kuna huyu mzabzab ,ana kipaji cha kuchakata mbususu za wake za watu na watoto wa form four B, bila kusahau mbususu ya Kelsea . Beesmom em toa uthibitisho juu ya hili basi[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] Unanichokoza makusudi
Haki ya nani, leo nahakikisha nalamba ban![emoji35][emoji35]
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Dahhhh
JF sihami aisee [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Natamani siku moja niende kwenye korido za lodge nianze kuropoka "Oyaa kila siku nakuambia shemeji sio muaminifu huamini..njoo ujionee Kwa sauti! Then nasepa..najua huku nyuma naacha kivumbi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Mkuu umeua,huyo wa Mwanza daah[emoji2][emoji2]vipi papuchi yake ilikuwaje??
 
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi

Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti

Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili

Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]

Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
Sasa bro ndio ile slimest chance i had to date her wee unataka ndio iwe sifuri kabisa ama? 🤣🤣🤣🤣 Mie nipo site huku na mafundi nalamba vumbbi la cement
 
1997 tabora,nimeingia gesti,madirisha ya mbao,sikufunga,nimeanza game mwanaume nachanga Tako vibaya game limenoga,mafala wakanichoma unyasi tundu dogo...niliruka,kipindi hicho habari za popo bawa zinavuma,nikaenda kufungua dirisha,tukaendelea na dhambi

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi
Haya yote yametoka wapi? Unaniletea hasira zako unanijua??? Nina ujinga na utani mwingi lkn siwezi kumtania mtu tena nisiemjua utani wa aina hii unaoniletea. Unanilazimisha kwani lazima? Tatizo lako unadhani michezo yako ya kuliwa nyuma kila mmoja anaifanya.

Kule kwenye uzi wako umejidai unaomba msamaha kiunafki lkn nikuambie sijapenda hicho unachokiita utani. Tafuta watu wa aina yako ndio uwapelekee huu unaoita utani. Kutumia ID fake kuna watu mnajimwambafai sana humu. Sitaki mazoea ya kipumbavu iwe mwanzo na mwisho.
 
Haya yote yametoka wapi? Unaniletea hasira zako unanijua??? Nina ujinga na utani mwingi lkn siwezi kumtania mtu tena nisiemjua utani wa aina hii unaoniletea. Unanilazimisha kwani lazima? Tatizo lako unadhani michezo yako kila mmoja anaifanya.

Kule kwenye uzi wako umejidai unaomba msamaha kiunafki lkn nikuambie sijapenda hicho unachokiita utani. Tafuta watu wa aina yako ndio uwapelekee huu unaoita utani. Kutumia ID fake kuna watu mnajimwambafai sana humu. Sitaki mazoea ya kipumbavu iwe na mwanzo na mwisho.
Heee Jamani kwani Ile Hela mmekubaliana kule kuwa itatumwa Kwa Wakala Wa Njia ya simu haikufika?

Mbona kama kule tayari mmeshakubaliana[emoji1787][emoji114]
 
Back
Top Bottom