Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Wanaongea kiwepesi sana hawa watoto wanaokaa kwa wazazi wao na hesabu zao za kufikirika mimi nawajua washkaji kama watatu hivi ambao walikuwa bodaboda tena center kabisa ila walipopata ajira za ualimu serikalini wote waliacha pikipiki na kwenda darasani kushika chaki,na wanawekeza kweli kwenye kilimo na ufugaji kitu ambacho bodaboda hawezi kufanya
Kuna utofauti mkubwa sana kwa anae balance elfu 20 kwa siku asimalize na anae save elfu 20 kila siku.....if you know you know.
 
Makambako,: nimetoka Dar na IT, nimeshuka pale nitafute Guest karibu na stand kuu, naingia chumbani kuangalia chumba, nakuta mablanketi yametoboka katikati. Nikauliza hakuna mablanketi mengine, au chumba chenye blanketi nzuri. Mhudumu akajibu hakuna, yote Yako hivi hivi. Niliondoka kwenda kutafuta lodge nyingine.
[emoji2][emoji2][emoji2] kama mablanket yametoboka nawaza hiyo guest kiujumla ina hali gani
 
Wanaongea kiwepesi sana hawa watoto wanaokaa kwa wazazi wao na hesabu zao za kufikirika mimi nawajua washkaji kama watatu hivi ambao walikuwa bodaboda tena center kabisa ila walipopata ajira za ualimu serikalini wote waliacha pikipiki na kwenda darasani kushika chaki,na wanawekeza kweli kwenye kilimo na ufugaji kitu ambacho bodaboda hawezi kufanya
Ulikua ni uoga wao wa maisha tu mambo sijui security ya maosha mara nini sijui.

Trust me, kuna baadhi ya walimu wame make kupitia kazi yao na kuna baadhi ya walimu ni mafukara na ombaomba.

Kazi ya boda nimeifanya sana na sasa hivi nafanya kazi napokea lako 4+ ila natamani niirudie kazi yangu ya boda boda maana kipato hakitofautiani zaid sana kule nakua free pia kuwa jirana na vijiwe napata connection za kutengeneza pesa zaid.

Huku ofisin ni majungu na stress tupu.
 
Rudi sasa acha porojo
 
Kipindi nimeingia Dsm kwa mara ya kwanza nilichukua room ya 10k pale magomeni sasa usiku sana ikawa kimbembe kuna watu waliokotana sijui wapi huko wakakazana wee kidume nimedinda tu sina hali nzuri nimeshindwa kulala mida ya saa 6 hivi kukatulia inaonekana walitoka kwenda kupiga urabu sasa wanavorudi yule mwanaume naona alipitiliza kulala sasa na mimi nikastuka mlango unagongwa kwenda kufungua naona mmaza yuko mlangoni ile kumskiliza nikashangaa anapitiliza na kwenda kujitupa kitandani, Hee!!! mi nikasema si zari hili , nilimnyandua yule mama nilimaliza uchu wangu woote nami nikalala mida ya saa 10 hivi kuja kustuka mlango unagongwa kwa jazba kumbe yule jamaa alikuja kumuulizia yule mwanamke wake akiwa na mhudumu alivomuona tu bed aisee uliwaka ugomv mmoja matata sana alikuja kuamulia mlinz na mfanya usafi wa asubuhi ndo jamaa kuskiliza hata kilichotokea aisee nilishukuru kwa kupona licha ya vitisho kibaao asubuhi hiyo hiyo nikaamsha pale nikasaka Room sehemu nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee kwa hiyo bajet subiri kwanza.
Nilipelekwa na mwenyeji anayeishi dar kama sinaloa.
Kwanza pisi zenyewe ni kali sana na zinadangia had arabuni, turkey, south africa, malaysia na thailand.
Namaanisha ni pisi hasa bussiness class! Ila jmn bange, shisha, mirungi, fegi, pombe kali ndo tatzo.( katika hili nawaomba wazaz wa kaskazin mchunge sana binti zenu. Mna mbegu nzuri lakin ......)
Pili wao wanalipia wenyewe hotel kali unapowakuta .
Tatu hata ukiwaangalia bure lakin gharama za pombe zile na madikodiko utapigwa mzigo mlaka useme trat trab. Ndo nikajulia na keki yenye stimu!
Nne wateja wao ni connection za watumia dolale na ruble.
Kwakweli, nilichoma zaid ya milio, sikuli mzigo lakin nilienjoy bila hofu ya UTI.
Lakin usijar nitaulizia penye bei ya GDP ya tz. Unaweza kuendelea na riverside for the time being
Riverside Mikasa iko chini ya level yangu. Nitakwenda Mombasa kuona mijitu ikifanyana kwenye casino ndani ya casino.
Yaani ndani ya casino Kuna kule ndaani ndani wanakokaa wazee ambao Wana nguvu duni za kiume lakini wanataka waone vijana wanavyofanya ili nao labda huenda ninihii zikastuka.
Najua Hawa wa Dar hawawezi kuchukua hotel za Sinza ambazo ndio saizi yangu.
 
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi

Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti

Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili

Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]

Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
Una usela mavi fulani hivi
 
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Wahuni sio watu wazuri
 
Kuna utofauti mkubwa sana kwa anae balance elfu 20 kwa siku asimalize na anae save elfu 20 kila siku.....if you know you know.
Usiongee nadharia tu waulize hao bodaboda hilo swali la kati ya kuwa walimu na kuwa bodaboda bora kipi? Niliwahi kuishi kijiji fulani hivi nikazoeana na mwalimu mmoja wa sekondar ni mpambanaji sana ana ng'ombe kama 20,ana canter,shamba la mikorosho kama heka 15 na ukisikia mtu anashamba heka 15 huyo mapato sio ya msimu ya korosho sio ya kitoto ila bado anafundisha mbali na kuwa na vyote hivyo
 
Ulikua ni uoga wao wa maisha tu mambo sijui security ya maosha mara nini sijui.

Trust me, kuna baadhi ya walimu wame make kupitia kazi yao na kuna baadhi ya walimu ni mafukara na ombaomba.

Kazi ya boda nimeifanya sana na sasa hivi nafanya kazi napokea lako 4+ ila natamani niirudie kazi yangu ya boda boda maana kipato hakitofautiani zaid sana kule nakua free pia kuwa jirana na vijiwe napata connection za kutengeneza pesa zaid.

Huku ofisin ni majungu na stress tupu.
Bila shaka wewe haujawahi kuwa bodaboda na kama unabisha nenda vijiwe vya bodaboda halafu kawaulize kati ya kuwa walimu na kuendelea kuwa bodaboda kipi wanachagua halafu uone majibu yao
 
Yaani unamsema huyo mwalimu ambaye kujenga nyumba yake mwenewe ni hadi akope ......? [emoji16][emoji16] naona hujakutana na boda boda wanao jielewa
Ndicho wanachofuata watu hicho kwenye ajira za serikali kwanza unakuwa na uhakika wa kipato halafu nikuambie kitu mo dewj,bakhresa wote hao wanakopa bank ili kuendeleza mambo yao
 
Makambako,: nimetoka Dar na IT, nimeshuka pale nitafute Guest karibu na stand kuu, naingia chumbani kuangalia chumba, nakuta mablanketi yametoboka katikati. Nikauliza hakuna mablanketi mengine, au chumba chenye blanketi nzuri. Mhudumu akajibu hakuna, yote Yako hivi hivi. Niliondoka kwenda kutafuta lodge nyingine.
Lodge ilikuwa imechoka sana
 
Katerero ni kipaji cha wahaya na waganda/wanyaru, sio kila mwenye sehem za siri mkuu. Sema kusquirt wamejaliwa kila pande za dunia.
Ila yale maisha kama u msomi na mcha Mungu sio kabsa.
kama movie ya from dust till down!
Had choo na pa kuogea hakuna.
nilichofaidi Yule bwana wa kinyantuzu alikuwa na nguvu sana kias kwamba licha ya kuangukia chumba changu hakuchomoa hata kunitaka radhi hadi akakojoa.
Nilikuwa excited na kuathirika kias kwamba hadi leo nafurahia zaid kushuhudia binadam wakifanyana kuliko kuchosha viungo vyangu.
Bahat nzuri nimeshakuja dar nimekuta kuna huduma ya akina dada kusagana mbele yako unaenjoy miguno na ufundi. Ni maendeleo kwakweli ya kisekta!
...PLEASE, DON'T TAKE LIFE TOO SERIOUSLY..
..... LIVE RESPONSIBLY!
Kwamba unaenjoy watu wakifanya ushuhudie live. ?????????? Ndo starehe yako ?
 
Kipindi nimeingia Dsm kwa mara ya kwanza nilichukua room ya 10k pale magomeni sasa usiku sana ikawa kimbembe kuna watu waliokotana sijui wapi huko wakakazana wee kidume nimedinda tu sina hali nzuri nimeshindwa kulala mida ya saa 6 hivi kukatulia inaonekana walitoka kwenda kupiga urabu sasa wanavorudi yule mwanaume naona alipitiliza kulala sasa na mimi nikastuka mlango unagongwa kwenda kufungua naona mmaza yuko mlangoni ile kumskiliza nikashangaa anapitiliza na kwenda kujitupa kitandani, Hee!!! mi nikasema si zari hili , nilimnyandua yule mama nilimaliza uchu wangu woote nami nikalala mida ya saa 10 hivi kuja kustuka mlango unagongwa kwa jazba kumbe yule jamaa alikuja kumuulizia yule mwanamke wake akiwa na mhudumu alivomuona tu bed aisee uliwaka ugomv mmoja matata sana alikuja kuamulia mlinz na mfanya usafi wa asubuhi ndo jamaa kuskiliza hata kilichotokea aisee nilishukuru kwa kupona licha ya vitisho kibaao asubuhi hiyo hiyo nikaamsha pale nikasaka Room sehemu nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu una roho gani ? Mtu kaingia tu ndan na kumlala ? Na mechi uliuza ! Mengine Ni majini, wezi n.k
 
Back
Top Bottom