Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Juzi kati nilienda gest fulani pale dsm, kumbe kwa pembeni kidogo kuna kanisa....sasa usiku mzima tunasikia kwaya tu sijui walikuwa na mkesha, in short walinikata mood ya kunyandua nikawa nawaza wenzetu wanamtukuza Mungu sisi tunafanya upumbavu.
Ikabidi uanzishe maombi na wewe

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Nilikutana guest na imam mkubwa kabisa wa eneo ninaloishi. Mbaya zaidi sheikh alichukuwa demu wale micharuko. Kwa jinsi nilivyoelewa mzee alwahi kufika mshindo hivyo akataka kutoa hela pungufu.

Hii ilipelekea purukushani kwenye korido ya guest na kipindi hicho na mimi naingia kwenda fanya yangu. Hamadi uso kwa uso na imam. Nikampa salaam nikaendela kuingia Mikumi (hiyo lodge vyumba vyake vina majina ya maeneo mbalimbali)

Ijumaa iliyofuata naingia msikitini imam anatoa hutuba kuhusu zinaa. Tukaangaliana kila mtu lake moyoni.

Hilo swala mpaka leo hatujawahi liongelea na tukikutana salamu kubwa na imam wangu. Maisha yanaendelea.
giphy.gif
 
Nilikutana guest na imam mkubwa kabisa wa eneo ninaloishi. Mbaya zaidi sheikh alichukuwa demu wale micharuko. Kwa jinsi nilivyoelewa mzee alwahi kufika mshindo hivyo akataka kutoa hela pungufu.

Hii ilipelekea purukushani kwenye korido ya guest na kipindi hicho na mimi naingia kwenda fanya yangu. Hamadi uso kwa uso na imam. Nikampa salaam nikaendela kuingia Mikumi (hiyo lodge vyumba vyake vina majina ya maeneo mbalimbali)

Ijumaa iliyofuata naingia msikitini imam anatoa hutuba kuhusu zinaa. Tukaangaliana kila mtu lake moyoni.

Hilo swala mpaka leo hatujawahi liongelea na tukikutana salamu kubwa na imam wangu. Maisha yanaendelea.
giphy.gif
 
Juzi kati nilienda gest fulani pale dsm, kumbe kwa pembeni kidogo kuna kanisa....sasa usiku mzima tunasikia kwaya tu sijui walikuwa na mkesha, in short walinikata mood ya kunyandua nikawa nawaza wenzetu wanamtukuza Mungu sisi tunafanya upumbavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mambo mengi magumu tunayapitia ilasababu ya maisha tunachagua ku fit in

Juzi kati tulienda safari moja songwe... kutokana na changamoto ya usafili ofsin ilitubidi twende na center
Tulitoka iringa hadi mbeya ,wadau tumeuma bodi kule nyuma...barid ilitugonga vibaya sana
Tupo mtu kama 7hivi ..mwanzo story nyingi + kucheka
Ila baada ya mda kila mtu na baridi yake
kuingia mbeya tunakuta msongamano ni hatari, watu ni wengi balaa
Kumbe ili siku mheshimiwa rais alikua kule anafungua kama sio kufunga mambo ya nanenane
Hivyo gest zoote zilijaa
Tukiwa njiani kuna jamaa aliomba lift akauma bodi[emoji28]
Katika kupiga story jamaa alijua sisi ni wageni
Kwa moyo wake alibanana na sisi kututaftia gest
Zungukaa wapiii
Zungukaa wapii
Baadae ikaja patikana moja ila vyumba vyake sio pow kabisa

Tulilala hapo ili saa kum na moja tuanze safari ya kwenda songwe segemu inaitwa nkana ,kana kitu kama hivyo
Asubuh tuliamka kwenda huko kijijini
Tulifika saa5 hivi
Tukaiona kazi iliyotupeleka
Tukaandaa mazingira ili kesho yake tusitumie mda mwingi kuifanya na kutafuta vyumba tena
Pale hapakutusumbua vyumba ila sasa hivyo vitanda daaah..
Waliponionesha chumba kucheki shuka limenyooka balaa nkasema mimi hapa hapa...,nkaweka bag nkatoka nje kufata maji ya kunywa... nkafungua bag nkatoa taulo na wavu wa kuogea nkaingia bafuni nkaoga vizuri
Nkarud room si nkajitupia kitandani[emoji28]
Aloo kumbe lile ni shuka tu limenyooka ila lile godoro pale katikati unene wake ni kama kidore
Nkaishia tu kuumia
Nkatoa shuka nione godoro daaaaaah nlichoka
Na pale gest ni chache sana
Ikabidi nivumilie ila nlilala kule miguuni na ilibidi nilale ki upanaa[emoji28]
Asubuh yake tukaingia site tukapiga kazi ikaisha
Tumemaliza saa2 usiku
Wadau wengine woote wakagoma kulala kule kijijini
Wakidai gest na bar hakuna
Uzuri dereva hakua na shida
Haoo chuma ikawashwa tena kutoka huko vijiji vya singwe kurudi mbeya
Ila safari hi nlitumia ujanja kidogo nkakaa mbele
Saa6 tukaingia mbeya
Ilitubidi tukareport kwenye moja ya matawi ya ofisi ili tulaze gari na kuacha documents kwa mlinzi
Wakati tumefika tu mbeya tukiwa nanenane kama sikosei(me sio mwenyeji wa mbeya) wale wadau wakashuka wakasema wao wanaenda kula vitu bar
Mimi na dereva ,foremen na wenzangu wawili hivyo watano tukabaki tukisema kule tunapoenda tuta pata gest
Kuna dereva wa bajaji mmja bonge hivi aliwabeba wale jamaa akapotea nao
Tukafika ofsin tukaacha gar na doc
Tukaanza zunguka kutafuta gest
Aisee ile siku sitakuja sahau
Ndio kwa mala ya kwanza najua kama kuna wapiga debe wa gest
Na anachukua hela yake kwa kila kichwa
Kila gest ina kasoro +uchovu wa kazi+ safari
Kuna nyingine vitanda vibaya vidogo vichafu
Galama inaenda 25,30
Me sina neno ila wenzangu (dereva na foremen) ndio kinala
Wao hawasemi kama hawataki ila wakiingia tu ndani ya chumba wanaangalia wanauliza na bei afu wanageuka
Kimya[emoji23][emoji28][emoji28] na mimi na wenzangu tunafata nyuma kama tela vile na ma begi
Nguo zenyewe chafuuu buti ndio usiseme
Hapo tushakula maeneo ya palepale stendi
Ile kuzunguka zungukaa tukakutana tena na bonge
Akatuuliza bado tunatafuta vyumba tuu tykamjibu ndio...
Tukamwambia tunataka vyumba vizuri tu hata kama kwenye 25-30 ila kiwe kizuri
Akatupakia haaao sijui tunaenda wap
Kuna balabala ya rami moja tukashuka nayo ila mteremko na matuta hivi
Kwenye ile peda ya bleki ya bajaji kuna ki chuma kikachomoka
[emoji19][emoji19] chuma iko 80 imetunguka nkahisi kufa hapa
Jamaa akatuambia oya hapa inabid tusimamie gia hivyo tusishtuke tujishikilie[emoji1]
Tuta kama nne tukaruka nazo kavu
Akarudi gia ya 4,3,2,1[emoji28][emoji28] nadhan hapa wachache watanielewa hi kitu
Kusimamia gia ka bkeki chuma ikiwa imekolea sio kitoto
Ikasimama nkashuka nkazunguka nyuma ya bajaji nkakojoaa nkaachia upepo kidogo tukarud ndani[emoji16]
Haoo hadi gesti moja hivi
Jamaa kashuka akasema subilini nkacheki
Tukaona anashuka kama kolongoni hivi
Tukamsitisha tukasema huko hatuji hata kuangalia tu hatujiii
Tukawasha chuma hadi upande wa pili
Tukapata lodge moja matata sana
Na palikua na vyumba kama tulivyo ila vyenye hadhi ya tofauti
Hapo mshale wa saa unaenda saa8 karibu na nusu
Ile gest ilikua bomba sana sana sana
Safii vitanda vizuri
Yaan kifupi ni pazuri sana( na maji ya moto yapo)
Tukaongea na mhudumu akatupa kwa bei punguzo kidogo kwakua ilishakua too late na nadhan hata boss alishafunga hesabu
Tukalala hapo[emoji1316]
Pale 8/8 kuna lodge nzuri/20000 upande wa kuingilia magari
 
Back
Top Bottom