Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Haishauriwi kiusalama, ila nishalala zaidi ya mara 5 chumba hicho hicho na sababu ni kuwa nilikuwa napiga simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sbb gani haishauriwi kiusalama ? May be ukute umemchukua mke wangu au una deals chafu ! Binafsi nikienda dodoma Kuna mahali huwa nalala, mhudumu nampigia simu , Cha kushangaza nawekewa same room !
 
Tatizo lako ni ukosefu wa pesa.
Pale kuna Hotel na Lodge nzuri, nyingi sana

Ukianzia hapo Bweri, barabara yote imejaa vibao vya Hotel.

Kwenda Makoko

Hapo sijataka hapo Mjini

Nenda Nyakato huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hotel na lodge za Musoma hazina Majina? Bweri kuna guest chafu mnaziita lodge. Musoma hamna hotel ya maana toka Musoma Hotel iungue 😂😂
 
Kwa hiyo hotel na lodge za Musoma hazina Majina? Bweri kuna guest chafu mnaziita lodge. Musoma hamna hotel ya maana toka Musoma Hotel iungue [emoji23][emoji23]
Hamna hoteli ya maana pale mjini. Siku moja nimetoka mji wa kitalii Arusha tukaenda Musoma kikazi.

Tukampigia jamaa yetu wa hapo Musoma atupe jina la hoteli nzuri akatupa (ingawa sikumbuki jina) Tulipofika tukashuka na mabegi yetu tukiwa na uhakika wa hoteli tuliyopewa na mwenyeji wetu.

Tukaombwa tuoneshwe vyumba ili kila mtu achague, kuingia chumba cha kwanza, cha pili nikarudi nikatoka nje na begi langu dereva akanifata ananiambia vipi mbona umetoka nikwamwambia siwezi kulala hoteli ya hovyo kiasi hiki, nikamwambie twende tukazunguke huko mitaani tutafute hoteli ya maana (tena nilimuambia mbele ya yule mtu wa reception) Tukawasha gari tukaondoka, tukazunguka sana, sana, tukazunguka vichochoro vyote hoteli ni za hovyo sana hapo Musoma mpaka giza linaingia nikamwambia dereva ile hoteli tuliacha mwanzo ndio ina unafuu, hizi hazifai kabisa.

Ikabidi turudi pale pa mwanzo kwa aibu jinsi nilivyotoa maneno ya dharau mwanzo mimi nikajificha kwenye gari dereva akashuka na begi langu akajifanya ni yeye anachukua hapo (akidanganya mimi ameshaniacha kwenye hoteli nyingine kwa hiyo ni yeye amerudi hapo).

Akapewa kile chumba nilikataa akaweka begi tukaingia mtaani huko kula bata usiku saa nne nikarudi nikaingia kulala hata hawakunikumbuka.

Pachafu sana.
 
Hamna hoteli ya maana pale mjini. Siku moja nimetoka mji wa kitalii Arusha tukaenda Musoma kikazi. Tukampigia jamaa yetu wa hapo Musoma atupe jina la hoteli nzuri akatupa (ingawa sikumbuki jina) Tulipofika tukashuka na mabegi yetu tukiwa na uhakika wa hoteli tuliyopewa na mwenyeji wetu. Tukaombwa tuoneshwe vyumba ili kila mtu achague, kuingia chumba cha kwanza, cha pili nikarudi nikatoka nje na begi langu dereva akanifata ananiambia vipi mbona umetoka nikwamwambia siwezi kulala hoteli ya hovyo kiasi hiki, nikamwambie twende tukazunguke huko mitaani tutafute hoteli ya maana (tena nilimuambia mbele ya yule mtu wa reception) Tukawasha gari tukaondoka, tukazunguka sana, sana, tukazunguka vichochoro vyote hoteli ni za hovyo sana hapo Musoma mpaka giza linaingia nikamwambia dereva ile hoteli tuliacha mwanzo ndio ina unafuu, hizi hazifai kabisa. Ikabidi turudi pale pa mwanzo kwa aibu jinsi nilivyotoa maneno ya dharau mwanzo mimi nikajificha kwenye gari dereva akashuka na begi langu akajifanya ni yeye anachukua hapo (akidanganya mimi ameshaniacha kwenye hoteli nyingine kwa hiyo ni yeye amerudi hapo). Akapewa kile chumba nilikataa akaweka begi tukaingia mtaani huko kula bata usiku saa nne nikarudi nikaingia kulala hata hawakunikumbuka. Pachafu sana.
Utakuwa ulilala Mlima Mkendo. Ndio sehemu pekee yenye unafuu kwa Musoma. 😂😂😂😂
 
Igunga 2000s
Nilipata lodge moja mpya mpya hivi. Siku ya pili nikampa mistari muhudumu akanielewa ila akaniambia nihame lodge ili aje kulala kwa uhuru. Nikahama ila jioni nikaenda pale kwake kupata msosi.

Sasa pale alikaa na jamaa pembeni kila akihudumia anarudi pale. Nimamtext vipi akajibu jamaa anamsumbua sana na pia ni polisi .

Usiku akaja lodge kwangu nikala mzigo tukalala. Usiku saa 6 nasikia sauti kwenye korido kumbe askari wanakagua wageni. Demu akanitonya amesikia sauti ya yule jamaa anayemsumbua kwa hiyo nijiaandae kwa lolote. Ikafika zamu yangu jamaa wakakomaa sikuandika kwenye daftari halafu niliyelala naye aamke naye ahojiwe....Hakuna namna ikabidi aamke. Yule askari akamtambua yule demu, akaweka ngumu nikalale kituoni kwa kosa la kutoandika kwenye daftari la wageni. Wakanitoa nje demu akabaki ndani.

Nikaona nikileta masihara nitalala polisi.Nilikuwa nafahamiana na DC. Usiku ule nikampigia akaongea na askari wakaniacha. Yule askari akaniweka pembeni akaniuliza kama namkumbuka? Nikamjibu ndio. Akaniambia hongera,yaani yule demu nimemtongoza wiki nzima simpati leo wewe unakula kizembe tu.
Kuna siku hapo Igunga nipo zangu bar na washikaji wanakula vyombo, mie napiga Redbull mdogo mdogo sina time. Mara akajichanganya demu wa askari fulani hivi mgeni, demu aliliewa kiasi alinifata moja kwa moja akanikalia kwenye mapaja afu akaninong'oneza kuwa "kaka nimekupenda naomba ukanitomb* leo"

Kidogo yule jamaa askari akaingia anamtafuta demu wake. Kupiga jicho si akaniona nimempakata, akaja na moto kweli yani kama anataka kulianzisha. Ila tulimtuliza tukampiga mikwara sana kuwa awe na adabu maana yeye ni mgeni na tunaweza kumfanya chochote.

Ilibidi awe mpole tu nikamwachia demu wake aondoke nae japokuwa demu alikuwa mbishi kweli kweli kunielewa.
 
Hamna hoteli ya maana pale mjini. Siku moja nimetoka mji wa kitalii Arusha tukaenda Musoma kikazi. Tukampigia jamaa yetu wa hapo Musoma atupe jina la hoteli nzuri akatupa (ingawa sikumbuki jina) Tulipofika tukashuka na mabegi yetu tukiwa na uhakika wa hoteli tuliyopewa na mwenyeji wetu. Tukaombwa tuoneshwe vyumba ili kila mtu achague, kuingia chumba cha kwanza, cha pili nikarudi nikatoka nje na begi langu dereva akanifata ananiambia vipi mbona umetoka nikwamwambia siwezi kulala hoteli ya hovyo kiasi hiki, nikamwambie twende tukazunguke huko mitaani tutafute hoteli ya maana (tena nilimuambia mbele ya yule mtu wa reception) Tukawasha gari tukaondoka, tukazunguka sana, sana, tukazunguka vichochoro vyote hoteli ni za hovyo sana hapo Musoma mpaka giza linaingia nikamwambia dereva ile hoteli tuliacha mwanzo ndio ina unafuu, hizi hazifai kabisa. Ikabidi turudi pale pa mwanzo kwa aibu jinsi nilivyotoa maneno ya dharau mwanzo mimi nikajificha kwenye gari dereva akashuka na begi langu akajifanya ni yeye anachukua hapo (akidanganya mimi ameshaniacha kwenye hoteli nyingine kwa hiyo ni yeye amerudi hapo). Akapewa kile chumba nilikataa akaweka begi tukaingia mtaani huko kula bata usiku saa nne nikarudi nikaingia kulala hata hawakunikumbuka. Pachafu sana.
Nilivyosoma hapo ulivyotoka na begi,akili ikaniambia akikosa huko sijua alirudi na sura gani pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna hoteli ya maana pale mjini. Siku moja nimetoka mji wa kitalii Arusha tukaenda Musoma kikazi. Tukampigia jamaa yetu wa hapo Musoma atupe jina la hoteli nzuri akatupa (ingawa sikumbuki jina) Tulipofika tukashuka na mabegi yetu tukiwa na uhakika wa hoteli tuliyopewa na mwenyeji wetu. Tukaombwa tuoneshwe vyumba ili kila mtu achague, kuingia chumba cha kwanza, cha pili nikarudi nikatoka nje na begi langu dereva akanifata ananiambia vipi mbona umetoka nikwamwambia siwezi kulala hoteli ya hovyo kiasi hiki, nikamwambie twende tukazunguke huko mitaani tutafute hoteli ya maana (tena nilimuambia mbele ya yule mtu wa reception) Tukawasha gari tukaondoka, tukazunguka sana, sana, tukazunguka vichochoro vyote hoteli ni za hovyo sana hapo Musoma mpaka giza linaingia nikamwambia dereva ile hoteli tuliacha mwanzo ndio ina unafuu, hizi hazifai kabisa. Ikabidi turudi pale pa mwanzo kwa aibu jinsi nilivyotoa maneno ya dharau mwanzo mimi nikajificha kwenye gari dereva akashuka na begi langu akajifanya ni yeye anachukua hapo (akidanganya mimi ameshaniacha kwenye hoteli nyingine kwa hiyo ni yeye amerudi hapo). Akapewa kile chumba nilikataa akaweka begi tukaingia mtaani huko kula bata usiku saa nne nikarudi nikaingia kulala hata hawakunikumbuka. Pachafu sana.
Kosa mlilofanya Ni kutomsikiliza mwenyeji wenu ! Hapo alipowaelekeza ndo palikuwa na unafuu
 
Niligonga Dem gest inaitwa big Joe lodge-Tegeta nikamdanganya naenda kununua Fegi sikurudi, halaf nilimuahidi 30,000 siwezi kuchezea hela kizembe
Mtoto wa watu umemgeuza Kama samaki alafu usimpe hata ya sabuni mkuu, ulikosea Sana sio Jambo la kujisifia ! Bora ungemtumia hata nusu Yake, alikupa mwili wake wa thamani
 
Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.

Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,

Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.

nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni

Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
 
Hahahaaa hii ndio kiboko yao
 
Ulimnyoosha

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
"Dirisha la bafuni halina wavu wala nondo" hiyo ni hoteli au pagale!![emoji38][emoji38] maana hapo hata majoka yanaweza kuingia chumbani kiulaiini.
 
Back
Top Bottom