Mzee umewasikiliza ma punguani umeshindwa kuweka detail zote kisa li mdude flani ivi linasema stor ya kutunga wakat unatunga alikuepo acha kuskiliza watu na izo negative comments achana nazo
Si ndiyo hapo yanajifanya yanaponda na bado yanasoma..mfyuuuMkuu LwandaMagere
Shukrani kwa kisa ulichokileta jukwaani. Binafsi nimeinjoi kukisoma. Lakini zaidi nimefurahia kuisoma mitaa niliyokulia pia. Nimekaa Bomani hapo na nimesoma Buhemba mazoezi, hivyo mitaa unayoitaja mingi nimeiishi. Maisha ya Tarime yalinijenga mno, hasa namna ya kukabiliana na ubabe kwa ubabe, so kusoma hapa mitaa hii imenipa kumbukumbu nzuri.
Kuhusu critics, usiziweke sana akilini. Ukiona mtu anakuponda huku anasoma hadi episode ya mwisho, jua anakukubali kiaina. So write what and how you feel. Tusiofurahia ulichoandika tutakuponda ila bado tutarudi tena kukusoma. Jukwaa lahitaji waandishi wengi so keep them stories coming.
Umeona eeehhNa nyie wazee wa kulaumu tumewachoka.
Wanakera sanawatoto wadogo wanazingua sana awakatae
Haya nawewe usisahau kutuletea story za ujambazi.. tafadhaliDah mkuu mimi nimezaliwa Tarime nimekukulia huko pia nimesoma Turwa Primary Secondary niliaoma Nkende yani kwa jinsi unavyoelezea maeneo ya mji naamini hiki kisa ni cha kweli
Bomani ya Tarime ndio kama Masaki huku DSM kwa wazito na viongizi wa serikali
Sema miaka ya 2,000 kulikua na mambo ya kishirikina na ujambazi sana ule mji mimi nina stori za ujambazi nilizowahi shuhudia nikiwa mdogo ni mambo ya kutisha
Sema sasa hivi Tarime iko shwari makabila mengi watu wengi mambo ya ovyo yamebaki vijijini tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa Mimi hata maswali nisingejibu...yani unatufanyia msaada wa kutupatia mkasa na bado tunakuvimbia...kudadekii!!.ona sasa mwisho ulivyodorora.
Binamu zake ashura humu wanamatatizo Sana.
Ningekuwa Mimi hata maswali nisingejibu...yani unatufanyia msaada wa kutupatia mkasa na bado tunakuvimbia...kudadekii!!.ona sasa mwisho ulivyodorora.
Binamu zake ashura humu wanamatatizo Sana.
Alafu Don na wenzio...ohoooCritics ni part ya game, ni kazi ya mwandishi kuhakikisha ana deal nazo hizo.
Akishindwa kudeal nazo ndo ameshindwa sanaa.
Ahahahahahaa!!!,Mkuu mwezio enzi hizo za miaka 14 -15 nilikuwa hata sijui habari za wanawake,Wanawake nimekutana nao ukubwani Mkuu nikiwa sekondariMkuu ulikuwa hata hut***mbi nn?? maana sijaona hata siku moja umechukua pisi kali na kwenda kula kimasihara
Uzi haujakamilika kabisa...au mi muongo MABAHARIA!!!!!!!????