blackhawk
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 262
- 587
Dah mkuu mimi nimezaliwa Tarime nimekukulia huko pia nimesoma Turwa Primary Secondary niliaoma Nkende yani kwa jinsi unavyoelezea maeneo ya mji naamini hiki kisa ni cha kweli
Bomani ya Tarime ndio kama Masaki huku DSM kwa wazito na viongizi wa serikali
Sema miaka ya 2,000 kulikua na mambo ya kishirikina na ujambazi sana ule mji mimi nina stori za ujambazi nilizowahi shuhudia nikiwa mdogo ni mambo ya kutisha
Sema sasa hivi Tarime iko shwari makabila mengi watu wengi mambo ya ovyo yamebaki vijijini tu