Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Dah mkuu mimi nimezaliwa Tarime nimekukulia huko pia nimesoma Turwa Primary Secondary niliaoma Nkende yani kwa jinsi unavyoelezea maeneo ya mji naamini hiki kisa ni cha kweli

Bomani ya Tarime ndio kama Masaki huku DSM kwa wazito na viongizi wa serikali

Sema miaka ya 2,000 kulikua na mambo ya kishirikina na ujambazi sana ule mji mimi nina stori za ujambazi nilizowahi shuhudia nikiwa mdogo ni mambo ya kutisha

Sema sasa hivi Tarime iko shwari makabila mengi watu wengi mambo ya ovyo yamebaki vijijini tu
 
Mzee umewasikiliza ma punguani umeshindwa kuweka detail zote kisa li mdude flani ivi linasema stor ya kutunga wakat unatunga alikuepo acha kuskiliza watu na izo negative comments achana nazo

watoto wadogo wanazingua sana awakatae
 
Mkuu LwandaMagere
Shukrani kwa kisa ulichokileta jukwaani. Binafsi nimeinjoi kukisoma. Lakini zaidi nimefurahia kuisoma mitaa niliyokulia pia. Nimekaa Bomani hapo na nimesoma Buhemba mazoezi, hivyo mitaa unayoitaja mingi nimeiishi. Maisha ya Tarime yalinijenga mno, hasa namna ya kukabiliana na ubabe kwa ubabe, so kusoma hapa mitaa hii imenipa kumbukumbu nzuri.

Kuhusu critics, usiziweke sana akilini. Ukiona mtu anakuponda huku anasoma hadi episode ya mwisho, jua anakukubali kiaina. So write what and how you feel. Tusiofurahia ulichoandika tutakuponda ila bado tutarudi tena kukusoma. Jukwaa lahitaji waandishi wengi so keep them stories coming.
 
Si ndiyo hapo yanajifanya yanaponda na bado yanasoma..mfyuuu
 
Dah mkuu mimi nimezaliwa Tarime nimekukulia huko pia nimesoma Turwa Primary Secondary niliaoma Nkende yani kwa jinsi unavyoelezea maeneo ya mji naamini hiki kisa ni cha kweli

Bomani ya Tarime ndio kama Masaki huku DSM kwa wazito na viongizi wa serikali

Sema miaka ya 2,000 kulikua na mambo ya kishirikina na ujambazi sana ule mji mimi nina stori za ujambazi nilizowahi shuhudia nikiwa mdogo ni mambo ya kutisha

Sema sasa hivi Tarime iko shwari makabila mengi watu wengi mambo ya ovyo yamebaki vijijini tu
Haya nawewe usisahau kutuletea story za ujambazi.. tafadhali
 
Ningekuwa Mimi hata maswali nisingejibu...yani unatufanyia msaada wa kutupatia mkasa na bado tunakuvimbia...kudadekii!!.ona sasa mwisho ulivyodorora.
Binamu zake ashura humu wanamatatizo Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa Mimi hata maswali nisingejibu...yani unatufanyia msaada wa kutupatia mkasa na bado tunakuvimbia...kudadekii!!.ona sasa mwisho ulivyodorora.
Binamu zake ashura humu wanamatatizo Sana.

Critics ni part ya game, ni kazi ya mwandishi kuhakikisha ana deal nazo hizo.

Akishindwa kudeal nazo ndo ameshindwa sanaa.
 
Mkuu ulikuwa hata hut***mbi nn?? maana sijaona hata siku moja umechukua pisi kali na kwenda kula kimasihara

Uzi haujakamilika kabisa...au mi muongo MABAHARIA!!!!!!!????
Ahahahahahaa!!!,Mkuu mwezio enzi hizo za miaka 14 -15 nilikuwa hata sijui habari za wanawake,Wanawake nimekutana nao ukubwani Mkuu nikiwa sekondari
 
Wakuu nawaomba vumilieni tu maana sitaweza kurudi kwenye kisa cha pederi maana watu walitaka stori iishe na mimi sikuwa na namna nimeona niimalizie,Pia nimejifunza kwa komenti zenu za kunitia moyo!,Nawaahidi ya kwamba kisa kinachofuata ntahakikisha nayasimulia yale yote ntakayo yakumbuka na sita Acha kitu chochote!
 
Back
Top Bottom