Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Usirudi tu na kisa cha pederi nakuunga mkono..ila this time utuletee utamu na uchungu wote.. tafadhali.
 
Aaaaaah watu wasio wavumilivu wametukosesha mimi jana nililala nawaza juu ya kisa cha pedal, ila inabidi nizoee inauma.
 
Ila wabongo sisi niwajuaji sana, halafu sasa ujuaji wenyewe ni wa magumashi. sasa tungekua wajuaji original ingekuaje?

Mtoa Mada: Big up, tunasubiria kisa kinachofuata. Tafadhali naomba uwe jiwe, usikubali kupangiwa.
 
Sasa mkuu umeruka sana vipengele hapa kisa tu maneno ya watu kukusema wakati wengine tulikuwa tunafatilia vizuri UMEKATISHA SANA MZEEE ongezea nyama kabla ya story inayofuata
 
Kwa kweli hii baskel angeitoa kabisa yan angeikata
Ameshasema mapema yeye sio mtunzi wala sio storyteller so hii ni ukweli umemtokea yeye na hii tunayokula hapa ni materials raw tuwe na shukrani hatumlipi
 
Mafurushi na maandazi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umetisha sana, kweli haya mafurushi yanazingua wengine hatunywi bia hapa ndio pa kupumzikia baada ya kazi za kuusake mkate wetu
 
Oya mwanangu mm nimekaa na kukulia tarime, maeneo yote hayo hadi sirari na movie za sh 50 au 100 asubuhi hadi jioni nazipata. Hakuna kamba hata moja uliyotupiga.

Ila mkuu naomba tu kwa ufupi mlimalozananje na tall mtundi kwenye issue ya bike?
Mkuu Bike ile pedel si ilirudi? Naona hapo so liliisha
 
Wakuu kuna kazi naifanya hapa homu na nkimaliza nadhani usiku huu ntaanza kusimulia kisa cha pili kama nilivyoeleza hapo awali,ni kisa kirefu kidogo hivyo muwe na subra!!
 
Alafu Don na wenzio...ohooo

Wakuu kuna kazi naifanya hapa homu na nkimaliza nadhani usiku huu ntaanza kusimulia kisa cha pili kama nilivyoeleza hapo awali,ni kisa kirefu kidogo hivyo muwe na subra!!

Wewe leta story, sisi subra hatuna.

Wewe ndiyo uwe mvumilivu kwa maneno yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…