Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Wakuu nawaomba vumilieni tu maana sitaweza kurudi kwenye kisa cha pederi maana watu walitaka stori iishe na mimi sikuwa na namna nimeona niimalizie,Pia nimejifunza kwa komenti zenu za kunitia moyo!,Nawaahidi ya kwamba kisa kinachofuata ntahakikisha nayasimulia yale yote ntakayo yakumbuka na sita Acha kitu chochote!
Usirudi tu na kisa cha pederi nakuunga mkono..ila this time utuletee utamu na uchungu wote.. tafadhali.
 
Wakuu nawaomba vumilieni tu maana sitaweza kurudi kwenye kisa cha pederi maana watu walitaka stori iishe na mimi sikuwa na namna nimeona niimalizie,Pia nimejifunza kwa komenti zenu za kunitia moyo!,Nawaahidi ya kwamba kisa kinachofuata ntahakikisha nayasimulia yale yote ntakayo yakumbuka na sita Acha kitu chochote!
Aaaaaah watu wasio wavumilivu wametukosesha mimi jana nililala nawaza juu ya kisa cha pedal, ila inabidi nizoee inauma.
 
Sasa mkuu umeruka sana vipengele hapa kisa tu maneno ya watu kukusema wakati wengine tulikuwa tunafatilia vizuri UMEKATISHA SANA MZEEE ongezea nyama kabla ya story inayofuata
 
Kwa kweli hii baskel angeitoa kabisa yan angeikata
Ameshasema mapema yeye sio mtunzi wala sio storyteller so hii ni ukweli umemtokea yeye na hii tunayokula hapa ni materials raw tuwe na shukrani hatumlipi
 
Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??

Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,

LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
Mafurushi na maandazi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??

Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,

LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umetisha sana, kweli haya mafurushi yanazingua wengine hatunywi bia hapa ndio pa kupumzikia baada ya kazi za kuusake mkate wetu
 
Oya mwanangu mm nimekaa na kukulia tarime, maeneo yote hayo hadi sirari na movie za sh 50 au 100 asubuhi hadi jioni nazipata. Hakuna kamba hata moja uliyotupiga.

Ila mkuu naomba tu kwa ufupi mlimalozananje na tall mtundi kwenye issue ya bike?
Mkuu Bike ile pedel si ilirudi? Naona hapo so liliisha
 
Wakuu kuna kazi naifanya hapa homu na nkimaliza nadhani usiku huu ntaanza kusimulia kisa cha pili kama nilivyoeleza hapo awali,ni kisa kirefu kidogo hivyo muwe na subra!!
 
Alafu Don na wenzio...ohooo

Wakuu kuna kazi naifanya hapa homu na nkimaliza nadhani usiku huu ntaanza kusimulia kisa cha pili kama nilivyoeleza hapo awali,ni kisa kirefu kidogo hivyo muwe na subra!!

Wewe leta story, sisi subra hatuna.

Wewe ndiyo uwe mvumilivu kwa maneno yetu.
 
Back
Top Bottom