Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISILwandaMagere
Hapana, usikubali. Kataa kabisa.
Kwa kisa hiki kuna roho za Watu zinaenda kuponywa. Huu ni utumishi mkubwa sana.
Hizo hela hata ukipokea hutafanyia chochote cha maana kwenye maisha yako, itakuwa Sawa na kujipotezea muda tu. Kataa hizo hela mapema, wala usichelewe.
Mungu hakushindwa kukupa huo utajiri Kwa hizo hustle ulizo hustle, lkn Mungu alitaka uwe mjumbe wake ila kwa ufahamu wako ukajua una hustle kusaka utajiri.
Malizia episode nukta kwa nukta, bila kuacha hata neno moja
Shukrani sana mkuu tunasubiri muendelezo[emoji120][emoji120]Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
Safi sana, kama ungesitisha bhasi lengo lako lakuelimisha watu lisingetimia na hii ingekutafuna sana.Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
T11 napata hasira,watakuwa matajir wa mbezi na tegeta hawaonlyalvira kuna boya anatibua mchongo huku
Mkuu ina maana fitna zangu hazijafua dafu?Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
Mkuu kuna mtu ana chura hatari,muache amalizie mm nitakupa huyu mtu mwenye chura[emoji23][emoji23]Mimi ndiye nimetia kitumbua mchanga huko pm!
Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Amen.Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mkuu kuna mtu ana chura hatari,muache amalizie mm nitakupa huyu mtu mwenye chura[emoji23][emoji23]
LwandaMagere mkuu ubarikiwe sana,maana umeamua kutoa ushuhuda wa maisha maovu uliyopitia,sasa kwann uuze na hapa watu wanajifunza kupitia shuhuda hii,achana nae huyo ni shetani kabisaAhsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
Kuja hapa,fitna zako zimegonga mwamba[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahahaha kumbe ni wewe.Mkuu ina maana fitna zangu hazijafua dafu?
[emoji23][emoji23]ili tuamini dondosha episode 1 mkuu
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA