Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Umeshasema Mungu kakuokoa ndomanaa ukaamua uje utoe ushuhuda hapa JF ili nasi tunaowaza hayo mambo tukapate kuokoka. Sasa ukisitisha kuleta story unadhani utakua umetuokoa au umetupa hamu zakuutaka utajiri wa namna hiyo??? Maliza story ili kila mtu apate chakujifunza. Trust me! Kupitia story yako hii utakua umeokoa watu wengi sana kuliko hata yaunavodhani.
 
LwandaMagere

Hapana, usikubali. Kataa kabisa.

Kwa kisa hiki kuna roho za Watu zinaenda kuponywa. Huu ni utumishi mkubwa sana.

Hizo hela hata ukipokea hutafanyia chochote cha maana kwenye maisha yako, itakuwa Sawa na kujipotezea muda tu. Kataa hizo hela mapema, wala usichelewe.

Mungu hakushindwa kukupa huo utajiri Kwa hizo hustle ulizo hustle, lkn Mungu alitaka uwe mjumbe wake ila kwa ufahamu wako ukajua una hustle kusaka utajiri.

Malizia episode nukta kwa nukta, bila kuacha hata neno moja
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI


NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
 
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI


NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
LwandaMagere mkuu ubarikiwe sana,maana umeamua kutoa ushuhuda wa maisha maovu uliyopitia,sasa kwann uuze na hapa watu wanajifunza kupitia shuhuda hii,achana nae huyo ni shetani kabisa
 
Back
Top Bottom