Mwalubadah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 222
- 271
Twende duniani sasa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe this shit is real? nilijua ni story tuHii ndiyo alama ambayo malikia alinitoboa na kuweka irizi iliyokuwa ndogo kama mbegu ya aragwe!View attachment 1656771
Duh ila we ni jasiri sanaaaHii ndiyo alama ambayo malikia alinitoboa na kuweka irizi iliyokuwa ndogo kama mbegu ya aragwe!View attachment 1656771
Mzee, hata kama atakupa pesa, haitakuwa na thamani sawa na raia ambao utawaponya kupitia story hii. Malizia stroy then tafuta publisher mzuri ongea nae mchongo then uipangilie hadithi kwa marefu na mapaa zaidi utoe kitabu na bado tutakusupport kununua. Utapata pesa za kitabu na utakuwa umeponya raia as well. Tunajifunza mangi sana ktk hii simulizi!!Wakuu habarini za kazi
Kuna jamaa kanifata inbox kaniambia nisimalizie kusimulia hiki kisa kwani anataka kunipatia hela halafu yeye akinunue akiandike kwenye kitabu hivyo nikisimulia chote anaweza akakosa wateja!,Bado hajanambia anataka kunipa bei gani ndo namsubiri anieleze vizuri!
Nyie ndugu zangu mnaonaje?
Tatizo Lupatu haikukingi na Mapanga au risasi. So ukiwa na Lupatu wachawi na waganga watakuogopa kukuloga tu ila wakitumia chuma hauchukui round afu wanaendelea na mambo yaoMimi nataka nifike LUPATU!
Kuna mtu sijui ni wewe au coincedence tu hajawahi kudanganyaJamaa anaandika kasema baada ya dakika 10 anashusha hvyo mtulie muache midomo
Wakuu habarini za kazi
Kuna jamaa kanifata inbox kaniambia nisimalizie kusimulia hiki kisa kwani anataka kunipatia hela halafu yeye akinunue akiandike kwenye kitabu hivyo nikisimulia chote anaweza akakosa wateja!,Bado hajanambia anataka kunipa bei gani ndo namsubiri anieleze vizuri!
Nyie ndugu zangu mnaonaje?
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI
NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
kabisa mkuuDunia Ina mengi sana
Una akili kama za jamaa yangu fulaniKula hela hiyo wewe, wanaotaka story watanunua kitabu.
Halafu kwa taarifa yako utashangaa watu wataitengenezea kitabu wapige hela kwa kuchukua humu na usiambulie kitu.
Una akili kama za jamaa yangu fulani
Yaani furaha yake ni kuharibia watu furaha
[emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa yupo njema kwa kutunza kumbukumbu,
Mie hata majina ya maex nimesahau[emoji41]
AiseeeMKASA WA PILI - Sehemu ya 17
Inaendelea.............
Zamu hatimaye ilifika na nilisimama mbele ya mungu ambaye alikuwa mnene ajabu mpaka nyama za ngozi yake zilifunika kile kiti!
Nilimsalimia na wakati huo nilikuwa nikitetemeka kwa uoga!,Aliniambia usiogope!
"Unaitwa nani"?,aliniuliza,nikamtajia jina langu!
"Umefata nini huku"?,Aliendelea kuuliza
Nilimwambia ninataka kuwa tajiri!,Aliniuliza "Bila shaka utakuwa umeelezwa kila kitu"!
Nilimwambia hapana sijaambiwa chochote!
Basi alimwita yule dada aliyekuwa uchi aliyetupeleka hapo akamwambia huyu bado,hebu mpeleke akapate maelekezo kwanza ndo umrudishe hapa!
Yule dada alinichukua tukaingia chumba kilichokuwa mkono wa kushoto wa kile kiti cha mungu!,Nilipofika humo ndani nilimkuta mwanamke mmoja aliyekuwa mzuri ajabu halafu alikuwa kakaa kwenye kidimbwi kama swimming pool iliyojaa damu akiwa anaoga humo,Yule mwanamke mikononi alijaa vito vya thamani tupu!,vidole karibia vyote alikuwa kavaa pete zilizokuwa zinang'aa sana na shingoni napo hivyo hivyo!,Alikuwa na nywele ndefu sana kiasi kwamba ziliishia kwenye hiko kidimbwi cha damu!
Nilimsalimia lakini hakuitikia!,na alikuwa bize na mambo yake kana kwamba hajatuona!
Yule dada nilieingia naye mle ndani aliniambia kwa sauti kali "Sujudu mbele ya malikia",Bila kupoteza muda na uoga mwingi nilisujudu na ndipo nilimsalimia akaitikia!
Alianza kuniambia safari yangu yote ya maisha anaifahamu na ametokea kunipenda sana kwakuwa mimi ni jasiri!
Aliendelea kuniambia kwamba kuna utajiri wa aina mbili ambao inapaswa nichague!
Moja ilikuwa kumtoa mama yangu kafara na ningepata utajiri mkubwa wa kutisha huko duniani maana ningekuwa Tajiri mkubwa sana,lakini pia aliniambia ilipaswa mama yangu awe chakula changu(yaani niwe nasex na bi mkubwa wakati huo nimemchukua kama msukule)!
Pili,aliniambia ilikuwa kutoa kafara za watu mbalimbali kila mwezi na ilipaswa nipewe nguvu za ziada ili kutekeleza adhma yangu hiyo na endapo sitafanikiwa kutoa kafara kwa mwezi hata mmoja basi ningefanywa kafara mimi!
Huyo malikia aliniambia nichague moja!
Kiukweli sikuwa na muda hata wa kupoteza maana ilikuwa nijibu pale pale,Basi mimi nilichagua huo utajiri namba mbili maana niliona siwezi kumtoa mama yangu kafara kwa maana huo utajiri nilienda kuutafuta kwa ajili yake kutokana na kudhauriwa na yule shemeji na baadhi ya watu!
Yule malikia aliniambia "Nimekupenda sana kijana jasiri"!
Aliinuka kutoka kwenye lile dimbwi lililokuwa limejaa damu na alinisogelea na kiukweli alikuwa mzuri ajabu na muda huo alikuwa uchi kama alivyozaliwa,sijawahi kukutana na mwanamke mzuri kama yule huku duniani,uenda labda kwakuwa sijatembea nchi za watu lakini kwa Tanzania hii sijapata kuona!
Alinishika mkono wangu wa kushoto na akaniambia ananiwekea kitu kama irizi ambayo nitafanya chochote kile huko duniani nitakachokitaka,nitaweza kulala na mwanamke yeyote nitakaye mtaka,nitaweza kuingia popote nitakapotaka kwa kutumia ile irizi!,Aliniambia pia kutumia ile irizi na dawa zile nilizofundishwa kuchanganya kule msituni nitaweza kutoa kafara mahala popote nitakapo na kwa wakati wowote!
Alochukua kidole chake ambacho kilikuwa na kucha ndefu akanitoboa pembeni ya mkono na akaniwekea kitu kidogo mithili ya mbegu halafu akapalamba mahale pale palipokuwa na damu na pakajiziba!
Kiukweli niliona kama miujiza lakini ndo ilivyokuwa!
Aliniambia nitatenga chumba hapo nitakapokuwa nikiishi na hiko chumba asiingie yeyote yule ila mimi peke yangu na itakapokuwa inafika tarehe 15 ya kila mwezi nitakuwa ninaingia kwenye hicho chumba kuchukua pesa itakayokuwa nyingi!
Pia aliniambia kila mwisho wa mwezi baada ya kuwa nimetoa kafara itanibidi zile damu ambazo nitakuwa nimeziweka kwenye kibuyu kidogo ambacho aliniambia Mzee nchabironda atanipatia niwe naziweka kwenye hicho chumba ambako zitakuja kuchukuliwa hapo!
Aliendelea kuniambia nitakapofika duniani nihakikishe natafuta mwanamke ambaye nitakuwa nikimpa ujauzito wale watoto wanachukuliwa kwa ajili ya kafara maana kupitia watoto wa damu yangu ndo ulipo utajiri wangu!
Nilimuuliza kuhusu nyota yangu maana nilimweleza kwamba niliambiwa nyota yangu ya utajiri alikuwa nayo marehemu baba!,
Alinijibu kwamba "Tangu siku umefika hapa kila kitu kilirudishwa kwako na ondoa mashaka kuhusu nyota",Aliendelea kuniambia "Haya maagizo ninayokupatia hapa ni zaidi ya kuwa na nyota na utafanikiwa kila engo ya duniani cha msingi ukienda kafanye niliyokuagiza"
Baada ya yale maelekezo ilibidi arudi ndani ya lile dimbwi lililokuwa limejaa damu!,Yule dada alinichukua tena kurudi kwa yule mungu!
"Bila shaka umepata maelekezo"aliniuliza yule mungu ambaye pamoja na unene wote ule alikuwa akiongea sauti kama ya mtoto mdogo!
Nilimjibu "Ndiyo"
Basi akasema kafanye kama ulivyoelekezwa na usipofanya wewe ndo utakuwa kafara!
Yule dada alinichukua na kunirudisha kule kwenye lile jumba la mara ya kwanza tulikofikia nikavalishwa kile kinguo changu cha ngozi kilichokuwa kinafunika nyeti zangu!
Wale jamaa tulioenda nao kule sikufahamu mpaka wakati huo wako maeneo gani kwani baada ya kutenganishwa sikuwaona tena!
Nilimuuliza yule dada namna ya kutoka huko na akaniambia hiyo irizi uliyowekewa mkononi ndo kila kitu,akaniambia nitamke nirudi nilipokuwa mwanzo!
Nilitamka kwamba nataka niwe ufukweni muda ule!,Kufumba na kufumbua nilishitukia nipo pale ufukweni tulipopandia ule ungo!
Baada ya muda kidogo alifika mzee Nchibaronda pale na akainipongeza sana!,Nilimuuliza siku hiyo ilikuwa lini na akanimbia ilikuwa jumatatu!,Niliguandua kwamba kule chini nilikaa siku zipatazo tatu tu!
Basi mzee aliniambia nimshikirie na baada ya sekunde tukawa tumefika pale kwake kijijini Kirungu!
Ndugu zangu labda tu niseme kwamba siku zote utajiri na uchawi/ushirikina haviachani!,ni kama watoto mapacha!,Mimi pamoja na kwenda kuuusaka utajiri lakini nikajikuta naufahamu na ushirikina ambao ulinisaidia kwenye mambo yangu ya kafara!
Alama ambayo yule malikia alinitoboa mkononi nitapiga picha na nitaiweka hapa muione!
Basi tulivyofika hapo kirungu kwa mzee nilipumzika kwa uchovu niliokuwa nao na kwakuwa kule hakukuwa na usiku wala kulala !,nilipotoka huko nilijikuta nina usingizi wa ajabu,nililala pale na nilimwambia mzee kwamba kesho yake mimi ningeondoka zangu!
Itaendelea.....................
Mkuu huko chini ya ziwa yule mungu bonge na malkia wake ni watu wa asili gani? weupe au waswahili??MKASA WA PILI - Sehemu ya 17

Na mm nadhani ginimbi hakufa bahati mbayaMambo ya akina ginimbi hayooo..unapangilia bugati na Ferrari kama zote yani..hadI tra wenyewe wakipiga hesabu wanadunda
Hahaa ukikosea unaenda weweee