Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Huyo jamaa anayetaka kukupanpesa achana naye ingewesekana ungeweka group la whatsap tukachangia wenyewe
 
Mzee, hata kama atakupa pesa, haitakuwa na thamani sawa na raia ambao utawaponya kupitia story hii. Malizia stroy then tafuta publisher mzuri ongea nae mchongo then uipangilie hadithi kwa marefu na mapaa zaidi utoe kitabu na bado tutakusupport kununua. Utapata pesa za kitabu na utakuwa umeponya raia as well. Tunajifunza mangi sana ktk hii simulizi!!

Naelekea kwa mangi kuchukua mahindi ya bisi nikaange mwenyew maana nimegundua kununua bisi zilizo tayari hazitoshi hata kumaliza episode 1 ijayo
 
Jamaa anaandika kasema baada ya dakika 10 anashusha hvyo mtulie muache midomo
Kuna mtu sijui ni wewe au coincedence tu hajawahi kudanganya

Akiongea haipiti nusu saa
 

Chukua mpunga huo, ila ukiweza ingia naye mkataba wa royalty, kwamba pamoja na kiasi atakachokupa kama kianzio, wewe na yeye mkubaliane uwe na % kidogo kwenye mauzo.

Na nina uhakika mkikifanyia marketing vizuri, mtauza.

Media tours kama zile za wasanii wanapotoa nyimbo lazima mzifanye.
 
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI


NITAENDELEA KAMA KAWAIDA

Kula hela hiyo wewe, wanaotaka story watanunua kitabu.

Halafu kwa taarifa yako utashangaa watu wataitengenezea kitabu wapige hela kwa kuchukua humu na usiambulie kitu.
 
Una akili kama za jamaa yangu fulani

Yaani furaha yake ni kuharibia watu furaha

Opportunity mkuu, idea ni mali.

Wenzetu wakiwa na idea unakuta wanaiuza na wanakuwa na royalty ya kueleweka, hii kitu ingeweza kuuza kama jamaa akiamua.

Mwisho wa siku tulioko humu tutakitafuta hicho kitabu kama kweli story tumeipenda.
 
Aiseee
Hatari Sana
Tunapaswa kumtegemea Mungu sana maana dunia hi unawwza kutolewa kafara kimasihara

Kumbe watu tunakutana nao kila Mtu na malengo yake

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huko chini ya ziwa yule mungu bonge na malkia wake ni watu wa asili gani? weupe au waswahili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…