Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

𝓓𝓾𝓶𝓲𝓪 𝓷𝓲 𝔃𝓪𝓲𝓭 𝔂𝓪 𝓽𝓾𝓷𝓪𝓿𝓸 𝓲𝓳𝓾𝓪
 
Oi huy malikia alikuwa ameonya k.
Au kam Ilithyia wa kweny Spartacus kimuonekano.
 
Mkuu icho kiharage MKONONI ulikitoa au kipo bado
 
Kuna mijitu haielewi somo..wafuate maelekezo uliyoandika waende wasikuchoshe.

Nife tu masikini jamani
 
Mkuu, hiv akati unakwenda kutafuta utajiri huo ulishawah kupata taarifa kua hua kuna mashart magumu??? Au ndo ulienda bila idea yoyote??
 
Hivi watu hawakomi tu, badala hata wakuulize nn kilikusibu hadi ukahasi ushetani, wao wanataka kuelekezwa tena! Hahahahahaa wabongo ni konyooo![emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…