Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Tukutumie hiyo buku then ujue majina yetu!?Japo hutojua yupi ni yupi lakini majina utapata.
Bye ndugu
 
Mleta uzi umeokoka lakini bado una makando kando.....sisi mchango wetu Ni Kama sadaka tu,ukiwa nacho unatoa kadiri ya unavyoguswa..

Unapotulazimisha tuinunue hii story ambayo Ni kitu kimekutokea katika harakati zako za kimaisha unakuwa unatukosea. ...Bora ingekuwa story ya kutunga tungesema tuchangia angalau muda ulioupoteza kwenye utunzi,

Huna tofauti na wale watu kwenye simulizi walioingia kwenye mgahawa pale uyole wakasali kabla ya kula lakini haikuwasaidia kulishwa mauchafu
 
Tatizo sio elfu 1 .......tatizo ni kuihamisha akili na kuanza kufikiria process za kwenda huko telegram (baadhi yetu umetutoa katika mstari mkuu)

Kwa upande wangu naishia hapa.
Yote kwa yote pole kwa uliyopitia.
 
Lengo la kutuokoa ndo limeishia hapa?
Unaweza kwenda huko telegram hata watu 50 wasifike..
Na hapa ungesema uchangiwe hata watu mia tano unawapata
Pole kwa aliekushauri.
Umepewa ushuhuda uokoe mamia ya watu humu,umeugeuza ushuhuda mtaji kisa shida za dunia.
Mungu akusaidie.
 
Acha povu dada,kama buku huna kaa kwa kutulia wenye nayo wakasome
 
The law of mirror!!
 
Msiniambie thinkers ni wachache ina maana hakuna mtu aliyejua kwa utunzi huu na jinsi anavyopangilia matukio mwisho wa siku mngelipia ????

Mbon ailikuw clear kwamba ukiachana na story huyu ni mtunzi mwenye uwezo waku create attention kubwa ya watu

Hivi hamuoni flow nzuri ya matukio iliyopangaliwa.Huyu mtu sio muhadithiaji story tu ni mtunzi kabisa tena mzuri.Ametoa dose ya story ambye ni very addictive, story ya kweli mixer na mpangilio wenye kuvutia vzr hilo jambo sio rahisi km sio mtunzi..

Nyie kalipeni hizo buku mumusapoti jamaa kwani kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…