Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Porojo tupu, majini hawana masharti hayo katika hali halisi ila kwa tungo kama hizi ama kwenye video ndo unasikia jini anakuja kwa kishindo, ama ile cheka yake ya makelele

jini kupanda hahitaji bwebwe anapanda kistarabu na anaeleza yake

mapepo /misukule ndo wanazingua ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…