Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

VP ameanza upya au anaendelea na alipoishia??
 
Cc

anasbo Kuhani Noah mrangi

Mwambie mwana awape conneci muende huko Kuna pisi Kali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
acha Mchezo jamaa kaua Mada zote za JF hata hao wenzetu wamekimbia Mada zao wamekuja kwa Mlume Ndago wapate ujuzi unafanya mchezo kuuziwa chakula Hotelini na binti kavua nguo na anapangusia.....
au dawa ya mti wa Tabora unawakusanya wanawake 10 kitanda kimoja na wanaridhika
nendeni Telegram kule unaweza toa zaidi ya Buku hata ukifurahi mtupie kibuku10 sio huku Like kibao
 
VP ameanza upya au anaendelea na alipoishia??
aliendelea toka hapa jf kule anaingia episode ya 27, huyu Mchungaji kiboko anajua kuvuta ngawira akichanganya na Sadaka maisha yataendelea, kuliko mnavyomwambia aandike kitabu halafu hao Printer wamlize
 
Kuna haja ya JF kugeuzwa kuwa money making tool yaani iwe na kitufe Cha kudonate instantly Hasa Kama stoori inaletwa hapa Ina mashiko atakayependezwa anadonate hata jero tu kwa Mpesa au Airtel money

Mfano stori Kama hii jamaa Ni Kama muvi hivi na inaweza zalisha amount of money kwa muhusika .

Sasa badala ya kwenda huko kwingine kwanini asianze kufaidika akiwa hapa

Maana JF Ni Kama First publisher wa hii storii

Lifikirieni Hilo wazee
 
wazo zuri hata mm nimeliunga mkono, kitufe kiwepo pesa iende Direct kwake
pia hata jukwaa lichujwe bado humu watoto wa primary wanaingia bila kikwazo jamaa tafsida hada mishipa inatembea, mashine zinavuja, bibie kainama mtoni ni kuingiza tu
wazo la Jukwaa letu lirudi naunga mkono tutalilipia au kumlipa mtunzi km hao tcra waje tu. kule na twitter hawaingii kublock
 
siwezi kuongeza zaidi Ila M.Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Shemeji yangu.. Very humble maskini amepewa gari Siku Hiyo na Siku hiyo ikawa Mwisho wake.
 
Kama ww hutaki acha sisi wenye uhitaj tumemfuata tupo sehemu ya 26 kuna mtoto wa geti Kali yusta acha kabisa anashepu huyo dunian hakuna kabisa
 
Kama ww hutaki acha sisi wenye uhitaj tumemfuata tupo sehemu ya 26 kuna mtoto wa geti Kali yusta acha kabisa anashepu huyo dunian hakuna kabisa
Nmetoa ushauri wangu tu mkuu uspanic sana ukajihis wewe kutoa buku umebarikiwa sana kuliko wengine
 
Kuhusu hapo kwenye ushauri, mimi pia nimemshauri exactly kama hivyo.





NB: Kuna mdau anasema hata hiyo issue ya kitabu alikuwa anatuandaa.
Ha ha ha ha inawezekana ili tuwe na huruma sio mbaya.. Kila mtu ana namna yake ya kuona jambo kwa upana
 
Naunga mkono hoja
 
Sikieni ambae anaona telegram miyeyusho anaweza kununua vocha ya jero aipige picha anitumie PM na mie nitazicopy kule episodes zote alizopost kule halafu nazipaste kwenye pm yake maana sasa hivi kaishampa shipa la kimkakati Zainati shombe shombe na Yusra pisi kali sana na kaishamuweka kwenye rada shemeji kingine kizuri zaidi katutajia ule mti wa kunywea na chai kiufasaha
 
Kumbuka sio asilimia zote watachangia labda fanya 20% tu
km view wnaosoma ktk JF ni 122698 ni wengi sana akitoza buku siamini akiwahamishia Telegram anapata 122,698,000.00
pesa ndefu
 
Buku mkuu unadhan nashindwa??tatizo kuwepa ma app mengi kwenye simu huo mda sina,ila najua nitaisoma tu [emoji23][emoji23] ,afe kipa afe beki
Mimi ni mtumiaji wa telegram mzuri tu shida kwanini asingezichangisha hapa hapa?? Sababu telegram ameweka kwenye private group au channel angefanya hivyo hapa pia ukituma iyo buku unatupiwa episode pm. Mambo ni yale yale sema ana agenda ya siri
 
Dahh ulivotamka mbeya n kwel kabisa pale uyole ni junction inayoconnect barabaran kutoka border(Malawi na TZ)-kasumulu-kyela-tukuyu(wilaya ya rungwe na shule ya rungwe Boyz)pia iyo KIMO ni kijisehem tu ndan ya tukuyu panaandikwa KYIMO.....big up sana
 
🤗🤗🤗🤗
tupieni episode zilizoendelea huko telegramuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…