Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

episode zaidi ya 3 anaongelea ngono tuu haina maana kabisa
 
Najua watu hawamuamini haya ninayoandika ila ni ukweli yalitokea kabisa. Wengine wanafanya utani wanadhani mimi nimejitungia tu.
We ndo ulisusia uzi kisa Mods wameuhamisha? Vip ulikuwa na LwandaMagere kipindi hayo yote yanatokea au yule Dada muuza phamarcy ndo alikuwa anakuhadithia kupitia wale viumbe wake?
Au wewe ndiye LwandaMagere mwenyew una ID mbili, maana umeandika as if we ndo unaisimulia huo mkasa wa Lwanda
 
ukishafilisika Ni ngumu sana kurudia utajiri hasa Kama utajiri wenyewe ulikuwa wa waganga.
 
Chizi Maarifa ndiyo LwandaMagere
 
Ngoja nikujibu Mimi ambae nimeelewa mana mkuu we ulisoma fasta na auku elewa ni ivi alinunua nyumba mpya aka karabati ikakamilika fresh na akahama kule geto, ile nyumba mpya katika vyumba vinne akatenga kchumba kimoja akaweka kile kibuyu cha damu nkwa jili ya mungu kibonge na hats pesa alikua anazikuta humo, yusta na zainat aliwaleta kwenye hii nyumba yake mpya na kila mmoja akamuweka kwenye chumba chake so akawa anapga shipa zamu kwa zamu anatoka chumba hiki anahamia chumba hiki pasipo wao kufahamu. Bila shaka jibu swaafiiiiii na umeelewa mkuu bila shaka kuuliza si ujinga Bali nikutaka kujua.
 
Hivi ni kweli watu tuna maisha magumu ya kufikia kukosa hata buku au ni maamuz ya kuongea na kulaumu
 
Hivi ni kweli watu tuna maisha magumu ya kufikia kukosa hata buku au ni maamuz ya kuongea na kulaumu
kama una buku lako nunua fanta tuu unywe huko hakuna hata inshu wabongo wamepewa uwanja sasa vurugu mtindo mmoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…