Buku sio ishu, we mwenyewe unajua humu jf hakuna mtu anaeshindwa kutoa buku tatizo mleta maada Hana heshima wa adabu,kutuchezesha akili zetu...Kwahy buku tu ndo inakutoa povu hivi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buku sio ishu, we mwenyewe unajua humu jf hakuna mtu anaeshindwa kutoa buku tatizo mleta maada Hana heshima wa adabu,kutuchezesha akili zetu...Kwahy buku tu ndo inakutoa povu hivi..
Uzuri wa kule kwenye telegram alisema ataandika kila kitu nukta kwa nukta hivyo kuwa mpoleepisode zaidi ya 3 anaongelea ngono tuu haina maana kabisa
We ndo ulisusia uzi kisa Mods wameuhamisha? Vip ulikuwa na LwandaMagere kipindi hayo yote yanatokea au yule Dada muuza phamarcy ndo alikuwa anakuhadithia kupitia wale viumbe wake?Najua watu hawamuamini haya ninayoandika ila ni ukweli yalitokea kabisa. Wengine wanafanya utani wanadhani mimi nimejitungia tu.
Ikishajaa hata ukfuta bado haitak ingiza ktu kingineikishajaa nini?
kuna simu ikishajaa storage yake
inaruhusu kudownload vitu?
whatsapp ina limit ya watu, telegram hailimit watu
katika group..
kitulize hiko,Acha kupenda vya bure mtoto wa kiume
Mi nakupenda tu my only.Same here dear! Niko nimeishia sijui sehemu ya tano ,ngoja niendelee na bazoka huko telegram siwez aisee
Asante my one,tutatengezena nzuri zaid ya hiiMi nakupenda tu my only.
Nataka kutengeneza story na wewe iwafikie hadi wajukuu zetu.
You are welcome
ili ugundue niniwale Wa tulioko kule telegrm tujuane
Chizi Maarifa ndiyo LwandaMagereWe ndo ulisusia uzi kisa Mods wameuhamisha? Vip ulikuwa na LwandaMagere kipindi hayo yote yanatokea au yule Dada muuza phamarcy ndo alikuwa anakuhadithia kupitia wale viumbe wake?
Au wewe ndiye LwandaMagere mwenyew una ID mbili, maana umeandika as if we ndo unaisimulia huo mkasa wa Lwanda
Ngoja nikujibu Mimi ambae nimeelewa mana mkuu we ulisoma fasta na auku elewa ni ivi alinunua nyumba mpya aka karabati ikakamilika fresh na akahama kule geto, ile nyumba mpya katika vyumba vinne akatenga kchumba kimoja akaweka kile kibuyu cha damu nkwa jili ya mungu kibonge na hats pesa alikua anazikuta humo, yusta na zainat aliwaleta kwenye hii nyumba yake mpya na kila mmoja akamuweka kwenye chumba chake so akawa anapga shipa zamu kwa zamu anatoka chumba hiki anahamia chumba hiki pasipo wao kufahamu. Bila shaka jibu swaafiiiiii na umeelewa mkuu bila shaka kuuliza si ujinga Bali nikutaka kujua.Swali moja nauliza, moja ya masharti muhimu na kuu kabisa aliambiwa ahakikishe anakua na chumba kimoja ambacho ataingia peke yake.
Ilikuaje akawa anaingia na wanawake kwenye geto lake kuwapiga kimkakati na chumba hichohicho ndio ameweka mitambo yake?
Tokea mwanzo ningeshangaa sana hizi chengachenga zisingetokea, nilivyoona tu nimeokoka na kumpokea Yesu huku kuna baadhi ya maneno anaandika hadi Carleen anaenda madhabahuni kutubu, nikajua tunatengenezwa tujae vizuri...kisha akapima upepo kwa kusema watu wamemwendea PM asitishe wanunue stori...nikajua maandiko yametimia kama ilivyonenwa na manabii.
Hata hivyo kuna mengi nimejifunza. Tunashukuru kwa yote hadi kufikia hapa.
Kitoabu anaendelea kubaki Mlume Ndago wa ukwelikweliiii. Akianza, anamaliza hakuna vumbi vumbi.
kama una buku lako nunua fanta tuu unywe huko hakuna hata inshu wabongo wamepewa uwanja sasa vurugu mtindo mmoja...Hivi ni kweli watu tuna maisha magumu ya kufikia kukosa hata buku au ni maamuz ya kuongea na kulaumu
Hapana ishu smart kitochi azikubal teregram tunashindwa tu kusema ukweliHivi ni kweli watu tuna maisha magumu ya kufikia kukosa hata buku au ni maamuz ya kuongea na kulaumu
Ni ww umetumia ID nyingine au ni msaidiz wake?Hali ya telegram inazidi kunoga Lisa hiki ni moja ya visa matata kwa Karne hii
Jisogeze tuwe wengi