Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Kabisa,ni kujificha na id kama zote
Vp tatizo lako la kupungua hedhi lilishaisha?[emoji23]

Kibibi una gubu wewe? Pilipili usiyoila yakuwashiani?[emoji1787]

Bukubuku tutoe sisi, roho ikuume wewe? Sasa kwa taarifa yako walotoa buku ni wachache sana, watu wengi wametoa kaki/misimbazi kadhaa[emoji38]

Kakojoe ukatafute watoto ili upate pa kutumia muda wako vzr sio unakomalia vitu vidogodogo tena mitandaoni[emoji41]
Unforgetable
 
Kukatishwa kwa hii stori kumekuuma sana dada yetu....

#nguvuyabuku
Kumbe, inaonekana unanijua sana, hebu niambie zaidi maana niko very interest

Siku nyingine uwe unauliza kwanza kabla hujafanya utabiri fake mkuu

Kama hujaisoma sema tu umeishia episode ya ngapi nikutumie muendelezo mkuu
 
Now say it without crying[emoji23][emoji23]

Niko kwa dada wa mkopo......vp una mwendelezo????
Kutwa kumnanga Lwanda "master" Magere huku stor unaitolea macho
 
Now say it without crying[emoji23][emoji23]

Niko kwa dada wa mkopo......vp una mwendelezo????
Kutwa kumnanga Lwanda "master" Magere huku stor unaitolea macho
Tatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli,

Hamna mahali niliposema hiyo stori ni mbaya,
na wala sio lazima nikubaliane nae kwenye kila kitu which is very okay, hata wewe pia kutokukubaliana na mitazamo yangu ni sawa pia sa sijui povu la nini
 
You are a real definition of "povu".......just incase you didn't notice your reactions on this thread
 
Vp tatizo lako la kupungua hedhi lilishaisha?[emoji23]

Kibibi una gubu wewe? Pilipili usiyoila yakuwashiani?[emoji1787]

Bukubuku tutoe sisi, roho ikuume wewe? Sasa kwa taarifa yako walotoa buku ni wachache sana, watu wengi wametoa kaki/misimbazi kadhaa[emoji38]

Kakojoe ukatafute watoto ili upate pa kutumia muda wako vzr sio unakomalia vitu vidogodogo tena mitandaoni[emoji41]
Unforgetable
Vp mbona povu ndugu,wewe toa hata milion ni upande wako
Ki babu unapenda ugomvi wewe maana hata sijakutag ila umeparamia comment yangu,hebu pambana na wengine mm sijaongea na ww,vp kwan
 
Nimekusudia hicho hapo juu ni kisa au hadithi ya kutunga na chizi maarifa ni nani
 
Msjal jomon story itaendeleaah mwandish kaenda kupga yope kwnzah !!
 
Duh nasikia na huko telegram Napo anapost anapojisikia mwanzo ilikuwa episodes zaidi ya tatu kwa siku ila sasa hivi hata hiyo moja mpk abembelezwe na pesa kachangiwa
Habar mnazo[emoji23][emoji23]

Lwanda "master" Magere unawapa stress watu huku
 
Mwenyewe anadai ni kisa cha kweli,[emoji23][emoji23]
Mimi siamini tena kama ni kisa cha kweli, angalia mwandiko wake kwenye hadithi (Nadra sana kukosea, lakini akiwa anajibu comments za wadau makosa mengi sana). Wakati huo huo anasema anatumia simu kuandika. Story ya kweli huwezi kukumbuka mambo yote yale anayo yaandika kwani kwa binadamu wa kawaida ukiambiwa hata uandike maisha yako ya week moja nyuma tu ni ishu sana.
 
Back
Top Bottom