fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Kama ndio huo basi mi ni mteja wao mkubwa maana natoka town uhindini naenda kula Uyole na kurudi home, hii likizo yote ndipo ninapokula pale kwenye coaster zinazoenda Dar upande wa kushoto ukitokea town mbele ya bank ya NMB. Asante kwa huu uzi.....Hii habari imenitisha. Siku chache zilizopita nimetoka kupata msosi kwenye mgahawa hapo hapo Uyole karibu na zinapopaki Coaster za Dar.