Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Sehemu ya 12...

Basi, baada ya Mimi kunasa kwenye mtego wa bi mkubwa nilianza kujisemea kimoyomoyo kuwa Leo ndio siku yangu ya mwisho kuwepo hapa duniani maana zile hasira za bi mkubwa zilikuwa hazina mfano..

Aisee sitasahau siku ile nilicharazwa na ule waya yaani kile kichapo sikuwahi kukipata kilikuwa ni kichapo heavy Tena nikaambiwa asubuhi nikaitafute pederi Hadi niipate, Sasa kitu kilichonishangaza kesho yake asubuhi nilipo amka nikashangaa kuikuta pederi ipo pale pale kwenye ile baiskeli yaani ni Kama haikufunguliwa kabisa.....

Aisee nilishikwa na kitete nikajipa jibu kuwa kwenye hili lazima ashura atakuwa anahusika......hahahahaaaaaaa....!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama bongo muviii
Aisee tuheshimiane mkuu,hahah.
EpMh_baVoAALCIQ.jpg
 
Sehemu ya 12...

Basi, baada ya Mimi kunasa kwenye mtego wa bi mkubwa nilianza kujisemea kimoyomoyo kuwa Leo ndio siku yangu ya mwisho kuwepo hapa duniani maana zile hasira za bi mkubwa zilikuwa hazina mfano..

Aisee sitasahau siku ile nilicharazwa na ule waya yaani kile kichapo sikuwahi kukipata kilikuwa ni kichapo heavy Tena nikaambiwa asubuhi nikaitafute pederi Hadi niipate, Sasa kitu kilichonishangaza kesho yake asubuhi nilipo amka nikashangaa kuikuta pederi ipo pale pale kwenye ile baiskeli yaani ni Kama haikufunguliwa kabisa.....

Aisee nilishikwa na kitete nikajipa jibu kuwa kwenye hili lazima ashura atakuwa anahusika......hahahahaaaaaaa....!
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom