Dickson mwaipopo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 481
- 455
NiceNilipompokea Yesu sikubaki na mali ya Ibilisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NiceNilipompokea Yesu sikubaki na mali ya Ibilisi
Mkuu maswali tutakuuliza utakapo maliza story, we endelea kushusha episode tuWakuu habarini za mida
Kuna watu wananifata inbox wanataka niwaambie namna ya kufikia kama mimi nilivyokuwa na wanaenda mbali sana wanasema wamechoka na maisha ya umasikini!
Labda tu niwaambie kwamba ni heri kufa masikini kuliko kuwa tajiri wa mali za kishirikina!,Maskini wanamaisha ya raha sana na kuwa na amani japo kwa akili ya kawaida unaweza kudhani wao ndo wanaopata taabu!
Muogopeni sana Ibilisi,hafai hata kwa sekunde moja!
Nilipompokea Yesu japo kuna wakati nalala na njaa lakini nimesharizika kuliko ambavyo nilikuwa kwa Ibilisi.
Hivyo niwaombe sana vijana muacheni tamaa za muda mfupi!
............................................................
Leo kwa muda kadhaa nitakaribisha maswali kabla ya kuendelea na niliyo yafanya nikiwa huku duniani!
Karibuni!
Ulifanikiwa kumilia mali kwa muda wa miaka mingapi hadi pale ulipoamua kuukata huo utajiri wa majini??Nilipompokea Yesu sikubaki na mali ya Ibilisi
Elewa kuwa kutokana na dharau za shemeji yake alikua tayari kwa lolote...unasoma kwa kuruka ruka weweMkuu, hiv akati unakwenda kutafuta utajiri huo ulishawah kupata taarifa kua hua kuna mashart magumu??? Au ndo ulienda bila idea yoyote??
Subir amalize ilo swali ni la badae sanaUlifanikiwa kumilia mali kwa muda wa miaka mingapi hadi pale ulipoamua kuukata huo utajiri wa majini??
Mkuu maswal nitakusaidia kujib mana nipo na ww mwanzo hadi mwisho,ww malizia tuNilifahamu hayo yote lakini nilikuwa nimedhamilia kufanya hivyo
ㄗㄘㄍㄆㄓㄞㄝㄦㄌ😂😂😂ㄷㄴㅅㅈㄷㅎㄱㄹᆞ
Ingependeza maswali na majibu yawe mwisho wa story. Kuna utamu utakatwa ukianza maswali na majibu katikati ya simulizi. Shusha nondo maswali mwishoni kabsa.Wakuu habarini za mida
Kuna watu wananifata inbox wanataka niwaambie namna ya kufikia kama mimi nilivyokuwa na wanaenda mbali sana wanasema wamechoka na maisha ya umasikini!
Labda tu niwaambie kwamba ni heri kufa masikini kuliko kuwa tajiri wa mali za kishirikina!,Maskini wanamaisha ya raha sana na kuwa na amani japo kwa akili ya kawaida unaweza kudhani wao ndo wanaopata taabu!
Muogopeni sana Ibilisi,hafai hata kwa sekunde moja!
Nilipompokea Yesu japo kuna wakati nalala na njaa lakini nimesharizika kuliko ambavyo nilikuwa kwa Ibilisi.
Hivyo niwaombe sana vijana muacheni tamaa za muda mfupi!
............................................................
Leo kwa muda kadhaa nitakaribisha maswali kabla ya kuendelea na niliyo yafanya nikiwa huku duniani!
Karibuni!
Ok sawa, shusha vitu sasa mkuu.Endelea kufatilia
Kama kuna ka ukwel hiviBlock pm yako watu wasikupate
Kuna watu watakufuata huko Kama watu wema lakini huwezi jua Wana malengo gani
Kumbuka hapo umeelezea ulipewa unga kumbe ulikuwa mifupa ya albino
Ndugu unaweza kujikuta matatani
Pia ujue Kuna Siri unazitoa Sasa kwa watu ambao Bado wanamtumikia shetani hawapendi Siri zao zitolewe hvyo wanaweza kukutafuta kwa malengo mabaya kuwa makini sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
koneksheni ya MatikuHabarini za kutwa wanajamvi ,Bila shaka wote mko bìèn!
Kwanza kabisa nianzè kwa kusema ninayo mìkasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na hii mikasa inanihusu mimi moja kwa moja! Kuna nyuzi kadhaa humu nimekuwa nikizisoma za watu mbalimbali kusimulia visa na mikasa ya maisha yao au jamaa zao ambayo waliwahi pitia. Hivyo nami nkaona sasa ni muda muafaka kuleta simulizi nilizo-experience katika maisha!
MKASA WA KWANZA
Mnamo mwaka 2000 nikiwa mkoani Mara, wilaya ya Tarime mimi, ndugu zangu pamoja na wazazi wangu tukiishi mitaa ya Bomani(wenyeji wa Tarime wanaielewa vizuri hii mitaa) Sisi hatukuwa wenyeji wa Tarime ila Mama na Mzee walikuwa kule kikazi hivyo nasi pia elimu yetu tuliipata huko.
Mzee alikuwa ni mtu wa kusafiri kikazi na mama alikuwa yeye kazi anazifanyia pale japo walikuwa wakitoka anaweza kukaa hata miezi 6 hajarudi nyumbani, Bi mkubwa alikuwa akifanya kazi kwenye kampuni ya Ujenzi so nadhani zile pilika pilika za ujenzi pia zilimfanya kuwa bize kidogo!
Mzee alipata safari ya kwenda kikazi mkoani Singida ambako alikaa kama miezi miwili na aliporudi alirudi na mwanadada mmoja mwenye asili ya kiarabu akiwa kama mfanyakazi,Nakumbuka bi mkubwa alim-maindi sana mzee akimtuhumu kwamba uenda yule anaweza akawa mchepuko wa Mzee ila mzee anazuga kwamba ni mfanyakazi(siunajua tena mambo ya wivu),Baadae mambo yalikaa sawa na kweli yule bi dada akawa mfanyakazi pale maskani
Kiukweli alikuwa mzuri na sisi kwa sababu tulifundishwa nidhamu na heshima hivyo tulimheshimu kama dada na tukampenda!
Miezi ikakata,hatimaye mwaka pia ukakata tukiishi kwa furaha,amani na upendo!
Mzee alihamishwa kikazi kupelekwa Dar esa salaam hivyo pale tukabaki na Bi mkubwa ambaye pia alianza kusafiri kikazi na kukaa hata miezi 5 au 6 hajarudi nyumbani, kilichokuwa kinafanyika yeye ni kutuma pesa tu ya matumizi na kutupigia simu kutujulia hali!
Baada ya siku kadhaa kukatika yule dada (Binti wa kazi), alituita sebuleni wote mimi pamoja na ma-sister zangu na akatueleza kwamba yeye anawageni wake ambao ni ndugu zake watakuwa wanakuja kumtembelea kila mwisho wa mwezi! Kwa kuwa tulifundishwa ukarimu na wazee hivyo hatukuona taabu, ila alitueleza ya kwamba hao ndugu zake wanamashariti makali na inapaswa tuyaelewe ili watakapokuja tusipate taabu. Kwa hiyo kutuita pale ilikuwa ni kutupa namna iliyo bora ya kuwapokea hao ndugu zake!
Kiukweli mimi nilipata mshituko kidogo, nijiuliza maswaĺi kadhaa lakini sikupata majibu, tulikuwa tumezoea kuwapokea wageni mbalimbali siku zote na walikuwa wakija bila masharti! sasa nkawa najiuliza hao ni wageni wa namna gani waliokuwa na masharti tena akasema ni makali na kila mtu anapaswa ayafuate si ombi bali ni lazima!
Watu wote pale sebuleni tulikaa kimya na nilikuwa nkiziangalia sura za ma-sista zangu zilibadilika ghafla na kuonyesha huzuni!
Basi masharti yenyewe yakawekwa bayana kama ifuatavyo:-
1. Siku hiyo wote tutavaa nguo za kulalia(pajama)nyeupe
2. Siku hiyo vyumba vya kulala vihakikishwe vinakuwa safi isionekane hata nukta ya uchafu
3. Siku kama ukienda kuoga basi hakikisha unaenda kuoga na sabuni ambayo alikuwa akiitumia yeye,siikumbuki ile sabuni lakini ilikuwa na marashi sana!
4. Akawaambia ma-sista kwamba kama siku hiyo ambayo wageni walikuwa wanakuja kuna mtu atakuwa kwenye siku zake basi hakutakiwa aonekane pale nyumbani maana angejuta!,It means ilipaswa aende akalale kwa majirani au ndugu!
Kumbuka hayo maeneo ya Bomani yalikuwa maeneo fulani ya wazito na miji ilikuwa iko mbalimbali na ilikuwa geti kali,sijajua nowadays maana sijakwenda Tarime kitambo sana!
Hayo ndo yalikuwa masharti tuliyopewa siku hiyo!
Fuatana nami kujua nini kitaendelea................................
Muendelezo 1
Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu mwenyewe,mkasa wa kwanza ulituhusu mimi na ndugu zangu ambapo wakati huo nikiwa nina miaka 14 - 15 mwaka 2000 -...www.jamiiforums.com
Muendelezo 2
Muendelezo 3
kunawahuni wanawaza mbali Mungu kibonge hahaUyo anayetaka kununua uyo ni atakuwa anashirikiana na yule mungu kibonge
Askari mtiifu[emoji23]Mkuu maswal nitakusaidia kujib mana nipo na ww mwanzo hadi mwisho,ww malizia tu