Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Hivi elf moja ni pesa ya kutoa povu? Aisee umaskini mbaya sana

Kijana wa watu kagoma kuuza yawezekana angepewa pesa kubwa tu ila kaomba bukubuku ili angalau apata vocha na mb bado wanatoa povu

Achen ujinga na mawazo ya kimaskini ilipaswa tugome buku ndogo tumwambie apansdishe bei

Tabia za kimaskini
Mawazo ya kimaskini

Stupid
Watu poooovu linawatoka
 
Kwa msiotaka kulipia hizo buku buku si basi tulizeni vyumbu na mitindi waacheni wanaoweza kulipia walipie.... Na bora mana wapingaji mlikuwa wengi mara stori tu mara sijui niki aya tulizeni mishono iyo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna manzi inalalamika muda ote mara kitoabu mara banzuka sijui mara telegram sijui yani itakuwa imezoea kuhongwa mana inapenda vya bure buku tu inamuua na kuna baadhi ya wana nao nadhani ni pisi kali tu mwanaume huwezi lia lia kuhusu buku... kuna goma la p mawenge ft zaid linaitwa pisi kali ukilisikiliza hakika utalipa buku mwenyewe bila bughuza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom